Saturday, 13 July 2013

Re: [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA WAKE

Hawa jamaa wa sisiemu ni wa ajabu sana pamoja na majeshi yote kuwa mikononi mwao bado wameunda kikosi cha kigaidi (Green Guard).Ni waroho wa kila kitu hadi kwenye vikosi vya kujilinda. Hawajiamini kwa kila kitu wanajishuku kwamba ipo siku watanzania wataamka na kuwatia adabu. Tumeshuhudia matukio mengi ambapo wamelitumia jeshi la polisi kama kampuni yao ya mfukoni lakini bado wanaona haijatosha. Wanacholalamika leo ni juu ya nini? Chadema wameamua kutangaza wala hawakiundi kikosi hicho kinyemela

 Mimi siwaelewi kabisa CCM, kelele ni za nini wakati wanaelewa fika kwamba jeshi la polisi limekuwa likiwakandamiza wapinzani kwenye swala zima la ulinzi? Juzi juzi kinala wao kaamua kuvunja haki za binadamu na kutangaza hadharani kwamba wote wenye fikra tofauti na wao lazima watandikwe hata kabla ya kuwapeleka mahakamani. Kwa sasa wao ndo mahakama na kila kitu, alichosahau kuweka wazi ni wao kutoa hukumu za kuua moja kwa moja, sijui mahakama zitakuwa na kazi gani huko tuendako.  Jeshi tunalofikiri ni la serikali ya Tanzania limekuwa likitenda mambo ya kinyama kwa wafuasi wa upinzani na hasa hasa Chadema na hata kwa raia yeyote wanayemuhisi. Bila shaka wadau munavikumbuka vipigo vya watu kama Dk Ulimboka na wengine hata vifo vya watu kama Mwangosi.

 Aliyerusha bomu katika mkutano wa Arusha hadi leo ni kitendawili. Sisiemu kwa vile wanafikiri watanzania hawana kumbukumbu wanaanza kutufanya majuha (imbeciles) na kurukaruka kama wavuta bhangi na kupiga kelele zisizokuwa na mashiko. Waacheni Chadema wajilinde maana vyombo vya usalama vimekuwa upande wa pili na kuwa maadui wa chadema. Munaopiga kelele ebu twambie mlinzi wa hao chadema ni nani? Au ndo hivyo munataka muendelee kuwapiga hadi kiama 

2013/7/13 Fred Hans Kipamila <fhkipamila@yahoo.com>
GREEN GUARD IPO, KAZI YAKE INAJULIKANA NA ANYEISIMAMIA KWA SASA ANJULIKANA. IMEUMIZA NA KUPOTEZA MAISHA YA VIJANA WENGI WASIO NA HATIA ILA KOSA LAO NI KUTOFAUTIANA KIMTAZAMOI NA CCM. Sipendi hoja ya vyama kuwa na vikundi vya wahuni kama hawa green guard na vinginevyo, lakini cha msingi ni kujitazama upya kwa vyama vyote na wala si Chadema peke yao. Vyombo vya dola vina kurupuka kukemea matamshi ya Mbowe lakini havijawahi kuionya wala kuikemea green guard. Hatutafika salama kama tunabagua wa kuwatendea haki
--------------------------------------------
On Thu, 7/11/13, Didas Clemence <didasclemence@yahoo.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA WAKE
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, July 11, 2013, 1:57 AM

 Naona
 katika suala hili CCM kama kawaida wamebanwa, Nimeona
 Mwigulu anahangaika JF. CHADEMA akili mingi aisee.

 From: flano
 mambo <flein47@yahoo.com>
  To:
 "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>
  Sent:
 Thursday, July 11, 2013 3:04 PM
  Subject: Re:
 [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA
 WAKE

 Dr Kigwa naona hapo
 umemung'unya maneno na kupepesa macho, yaani nahisi kama
 kuna ukweli kwenye kauli au andishi lako kuwahusu green
 guard basi yamkini ni 20% tu. bila shaka umeona moja ya
 posting zinazoonesha picha ya hao vijana wako. Je unaweza
 kuelezea mhamasishaji wa chama anavaa military safety boot??
 military belt? je hii si kweli kwamba inaashiria mafunzo
 maalumu ya ukakamalu maalumu?? mimi nilifundishwa hivi,
 ukisema au kufanya kitu cha uongo au uovu fulani na usitake
 watu waujue basi kuulinda usijulikane ni gharama kumbwa na
 pengine ya muda mrefu. sasa kwakuwa watu waovu hutenda maovu
 mengi hata wanasahau kuendelea kuyalinda maovu ya nyuma
 automatically maovu hayo yanakuwa hadharani. si mnakumbuka
 mambo ya EPA na makadhalika mengin tu!! hata ukweli wa
 green, red na
  blue guard utazidi kujulikana tu na tutajua
  nani mkweli.
         From: Dr. Hamisi A.
 Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
  To: wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
  Sent:
 Wednesday, July 10, 2013 5:00 PM
  Subject: Re:
 [wanabidii] CHADEMA NA MAFUNZO YA KUJIHAMI KWA WANACHAMA
 WAKE

 Green Guards si jeshi
 wala halina makamanda wala mafunzo maalum ya kijeshi, wale
 ni wahamasishaji chama na wanatokana na umoja wa vijana
 tu...

 2013/7/10 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

 Yona,
 Hata wewe kwa kauli zako kuna watu hatukushangai. Chochote
 kinachofanywa na Chadema ni kibaya.
 Maovu yanayofanywa na CCM wewe bado huyaoni. Sijakusikia
 hata siku moja ukiwanyooshea kidole.

 em

 2013/7/10 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>

 Ndugu Mtoi 
 Wewe sikushangai kwa kauli yako hiyo maana hata
 kule JamiiForum siku chache zilizopota uliwahi kugusia suala
 hili la kuwa tayari kwa mapambano na CCM baada ya ndugu yako
 mmoja kuumizwa kwenye vurugu huko arusha , utayari ule ndio
 ninao uona hapa na pengine mafunzo tayari yameshaanza
 kutolewa kama nilivyowahi kudokeza kwenye mchango wangu
 fulani kwamba aina ya fujo zinazotokea mijini na jinsi
 zinavyopangiliwa ni kama zinafanywa na watu waliopata
 mafunzo .

 Sasa hivi naona wanatangaza rasmi .

 On Wednesday, July 10, 2013 3:09:22 PM UTC+3, Mohamedi Mtoi
 wrote:

 YM.

 Kwa taarifa yako chadema na viongozi wao kwa ujumla wamekuwa
 na busara

 na hekima kwa muda mrefu sana, wamevumilia manyanyaso,
 mateso, maumivu

 na hata vifo vilivyo sababishwa na  Green guard kwa
 muda mrefu sana.

 Busara na hekima zao ndio zimeendelea kuifanya Tanzania
 ibaki kuwa na

 amani kwa kipindi chote walicho nyanyaswa, kuteswa, kuumizwa
 na hata

 vifo kwenye mikutano yao, mara zote mikutano ya chadema na
 wafuasi wao

 ndio wamekuwa wahanga wakuu wa matukio mabaya. Walilaani na
 kukemea

 lakini hakuna juhudi za kulindwa kwa dhati kama upande wa
 pili.

 Green guard walisha tajwa siku nyingi kuwa wanamiliki silaha
 za moto

 na mpaka namba ya moja ya silaha ilisha tajwa hadharani,
 mpaka leo

 hakuna hatua zozote stahiki zilizo chukuliwa.

 Ili kuepusha maafa kwa viongozi wa chadema na wanachama wao,
 kujilinda

 ni jambo muhimu kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote ule.

 On 7/10/13, Reginald Miruko <rsmi...@gmail.com> wrote:

 > Bora hao waliosema. Wengine hawajasema hadharani,
 vikundi hivyo wanavyo,

 > vinafundishwa na maofisa wa majeshi ambayo ni rasmi, na
 hawajakamatwa.

 >

 > RSM

 >

 >

 > 2013/7/10 Yona F Maro <oldm...@gmail.com>

 >

 >> Ndugu zangu

 >>

 >> Nimesoma sehemu fulani kwamba CHADEMA wana mpango
 wa kuanza kutoa mafunzo

 >> kwa wanachama wake ili waweze kujihami na sasa
 wamechoka kuonewa .

 >>

 >> Kwangu mimi hii sio iashara nzuri haswa inapotamkwa
 na kiongozi wa juu wa

 >> chama hicho ambaye anajua kabisa kazi ya kulinda
 wananchi na mali zao ni

 >> ya

 >> jeshi la polisi na sio makundi yoyote yanayoamua
 kujichukulia sheria

 >> mkononi .

 >>

 >> Taratibu CHADEMA na viongozi wenu , sasa hivi
 mnahitaji busara zaidi na

 >> uvumilivu kama kweli mnataka kuendelea kuwa chama
 kikuu cha upinzani

 >> nchini

 >> .

 >>

 >> --

 >> Send Emails to wana...@googlegroups.com

 >>

 >> Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >> wanabidii+...@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha

 >> ukishatuma

 >>

 >> Disclaimer:

 >> Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility for any

 >> legal

 >> consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must

 >> be

 >> presented responsibly. Your continued membership
 signifies that you agree

 >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.

 >> ---

 >> You received this message because you are
 subscribed to the Google Groups

 >> "Wanabidii" group.

 >> To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails from it, send an

 >> email to wanabidii+...@googlegroups.com.

 >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

 >>

 >>

 >>

 >

 > --

 > Send Emails to wana...@googlegroups.com

 >

 > Kujiondoa Tuma Email kwenda

 > wanabidii+...@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha

 > ukishatuma

 >

 > Disclaimer:

 > Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility for any legal

 > consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be

 > presented responsibly. Your continued membership
 signifies that you agree to

 > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 > ---

 > You received this message because you are subscribed to
 the Google Groups

 > "Wanabidii" group.

 > To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails from it, send an

 > email to wanabidii+...@googlegroups.com.

 > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

 >

 >

 >

 --

 "Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo
 Tusameheane". Regia Mtema.

 --

 Mobile: +255 (0) 713 24 67 64

 Alternative: +255 (0) 784 24 67 64

 Skype: Mohamedi.Mtoi

 Twitter: @mohamedimtoi

 Facebook: http://www.facebook.com/mouddymtoi

 --

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

 "Vision is the ability to see the invisible!"
 Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
 P.O.Box 22499,
 Dar es salaam.
 Tanzania.
 Phone No: +255 754 636963

                 +255
 782 636963
 website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com

 Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or
 info@hamisikigwangalla.com
 Skype ID: hkigwangalla

 Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment