Hili si ndio lile sakata lililopoteza maisha ya Mwangosi??? Mungu atawaadhibu waliohusika!! Tatizo la nchi yetu ni kila mwenye mamlaka anataka atumie ubabe bila kufuata sheria! Kamhanda angetumia hekima kidogo tu, angeepusha madhara makubwa yaliyotokea!! Ndio maana pale Mbeya mambo mengi yanaenda vizuri pamoja na ukweli kuwa vugu vugu la mabadiliko ni kubwa na mbunge Mbilinyi ni wa CHADEMA! Lakini, RPC wa pale nadhani pamoja na mambo mengine, atakuwa amesomea Saikolojia ya binadamu! Anatoa maamuzi bila jaziba wala uonevu!!! RIP David Mwangosi!!
From: mngonge <mngonge@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Breakingnews: Kada wa Chadema 43 wafutiwa kesi na Mahakama ya Mafinga:YALIYOJIRI To: wanabidii@googlegroups.com Date: Monday, July 1, 2013, 7:54 AM
Wote huo ni woga wa sisiem kuondolewa madarakani, nafikiri kwa sasa hakuna cha kuangalia sheria wala nini bali tukio lolote linaloonekana kuwaimarisha wapinzani ni kulizuia tu bila kuangalia sheria au taratibu zinasemaje. Mzee piga piga, ua ua upo? Uelewe siyo kila unayoita amri halali au sheria ni halali, angalia sasa sheria zinavyowaumbua mchana kweupe. Nchi ingekuwa na akina hakimu Nyakunga wengi watakaoangalia sheria bila kukiogopa chama tutapiga hatua kubwa katika mambo ya kisiasa na demokrasia.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment