Sunday, 31 March 2013

[wanabidii] TANZANIANS AND FEAR TO SYSTEMATIC ANSWERS

Mara nyingi kwenye blog zetu,nimekuwa nikiona wana jamvi wakichangia sana sana kwa mambo ambayo majibu yake hayako wazi.Mfano mambo ya dini ambayo kila mtu anakuwa na jibu lake yamekuwa yakiongoza kwenye post.Na pia mambo ya majungu nikimaanisaha mambo ambayo kiukweli hamna wa kuthibitisha yamekuwa yakipata wachangiaji,na cha kusikitisha mchangiaji anajiita MSOMI.Ila kuna mambo mengine ambayo,japo yana kasoro ila yakipata mtu...
Read More :- "[wanabidii] TANZANIANS AND FEAR TO SYSTEMATIC ANSWERS"

Re: [wanabidii] SAKATA LA GHOROFA, PINDA AJIUZULU HARAKA

Kumbuka mlm Nyerere alisema ' ukiona serikali inafukuzana na wafanyabiashara wadogowadogo ili kudai kodi huku ikiwaacha wafanyabiashara wakubwa hiyo ni serikali legelege. Kama serikali tuliyoiweka ni legelege basi ujue hao wenye fedha ndiyo serikali inayotuendeshea nchi bila kufuata utaratibu wala sheria tunazozijua sisi. Tafakari na uchukue hatua 2013/4/1 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> Madam Kiwasila, Umeeleza...
Read More :- "Re: [wanabidii] SAKATA LA GHOROFA, PINDA AJIUZULU HARAKA"

Re: [wanabidii] Pasaka

A very good piece of information to allOn Sun, Mar 31, 2013 at 10:25 PM, Peter <aabctz@yahoo.com> wrote: PASAKA NJEMA One of the greatest dangers that faces the Christian in his pursuit of a holy life is that of ending up being religious and not spiritual. Religiosity is often mistaken by the undiscerning believer for spirituality. But there is a world of difference between the two. The former is human, the latter is divine....
Read More :- "Re: [wanabidii] Pasaka"

Re: [wanabidii] SAKATA LA GHOROFA, PINDA AJIUZULU HARAKA

Madam Kiwasila,Umeeleza mambo mengi sana hapa chini na daima umekua ukieleza. What is the root cause ya haya mambo haya yote? Kwanini madam leo tusikubaliane kua gvt imeshindwa jukumu la kuongoza hii nchi?? Kumbuka ni serikali ndio imetunda hizo sheria na ina machinery mbalimbali za ku-enforce hizo sheria. Lakini nchi imekua kama haina mwenyewe. Sina hakika kama ulisikia kisa cha Tegeta cha wananchi kubomolewa nyumba na mfanya...
Read More :- "Re: [wanabidii] SAKATA LA GHOROFA, PINDA AJIUZULU HARAKA"

[wanabidii] The simplicity of China-Africa relations

    Good people,     China is expanding and greasing corruption in Africa using corrupt leaders who agree to steal from taxpayers. Chinese influence in Africa is taking away wealth and resources from Africa to boost their Economy. When they do not pay taxes, how is that profiting Africa in return.........How...
Read More :- "[wanabidii] The simplicity of China-Africa relations"

[wanabidii] Fw: Real Peace is in Wisdom........Kwe gi Lamo........!!!

    Good friends,       Culturally healthy, valuable and excellent.........salamu kwa Mali ya Mungu.......       Ogwe chalre kata obed ogwe lwanda duto chalre. Docta ka docta bende osomo thieth, to Docta ka docta ni gi mare...... chuopo mar sandan opogore to docta ka docta ni gi mage ......Check it out......       Aseyie.....Wabiro ......!!!...
Read More :- "[wanabidii] Fw: Real Peace is in Wisdom........Kwe gi Lamo........!!!"

Re: [wanabidii] SAKATA LA GHOROFA, PINDA AJIUZULU HARAKA

Dr Mlingwa. Hizo boards, na hata ofisi ya waziri mkuu, zina uhuru na mamlaka ya kuamua chochote? Tangu Chang'ombe mwaka 2008 hadi leo majengo mangapi yameporomoka? Wiki iliyopita bodi ya wakandarasi imesitisha shughuli za contractors wengi tu. Ni mwanzo wa meno kuota katika fizi za toothless bulldog au ni window dresssing? Basi sasa tuone viwanda vya nondo za udongo na cement rebagging vikichukuliwa hatua. La sivyo ni business...