Hongereni kwa kupata fursa nyingine ya kuwapo wakati mwaka mpya unaopoanza. Jana na leo ni mabadiliko ya usiku na mchana kupokezana nyakati. Lakini kwa kuwa tunaamini kuwa jana tulikamilisha mzunguko wa siku 365 na leo ni mwanzo wa mzunguko mwingine, inatosha kutufanya tujiulize namna gani tumefaidika na mzunguko uliopita.Karibuni katika mwaka 2013(ndio nimeandika huu mwaka kwa mara ya kwanza!). From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>...
Monday, 31 December 2012
[wanabidii] Analojia to digitali
Salamu za mwaka mpya 2013. Kuna hivi dikoda za Digtech zinatangazwa sana itv na eatv...wapi zinauzwa na kama kuna mwenye uzoefu nazo atujuze. Asante On Dec 29, 2012 9:48 PM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote: Ndugu Benn HaidariAhsante kwa mchango...
RE: [wanabidii] Heri ya mwaka mpya 2013.
Asante Magesa. Mwaka huu uwe wa Watanzania kuacha kulalamika na kuanza kutenda. Watanzania tunalalamikia kila kitu, siku hizi eti mpaka watu wanalalamikia ujenzi wa barabara kwamba hazina maana kwa watu maskini wakati enzi zile tulipokuwa hatuna barabara kila mtu alilalamika kwamba nchi hii huwezi kusafiri wala kusafirisha kitu. Ni kulalamika tu, asubuhi, mchana, jioni hadi usiku. Zanzibar hata mtu akikimbiwa...
[wanabidii] Heri ya mwaka mpya 2013.
Nawatakia wote heri ya mwaka mpya 2013.
Tubadilike sasa ili tuweze kutimiza wajibu wetu vizuri.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
Magesa,P.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU...
Re: [wanabidii] MWAKA MPYA WA 2013
Naona sasa hivi mambo mengi yamatulia hapo kabla mtandao wa internet nao ulikuwa down haswa kwa watumiaji wa Tigo , lakini kwa ukaguzi uliofanyika sasa hivi na taarifa zake anga yetu ya mawasiliano iko salama . Nakutakia usiku mwema tena na tena .On Tue, Jan 1, 2013 at 1:20 AM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote: Nawe pia ---------- Sent from my Nokia Phone ------Original message------ From: Yona F Maro...
Re: [wanabidii] MWAKA MPYA WA 2013
Nawe pia
----------
Sent from my Nokia Phone
------Original message------
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, December 31, 2012 1:00:43 PM GMT-0800
Subject: [wanabidii] MWAKA MPYA WA 2013
Naona umeshafika , Hongereni sana wadau
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL...
Re: [wanabidii] Salamu Za Mwaka Mpya Kutoka Mjengwablog!
Happy New Year all friend and fellow relative!wanabidii oyeeeeeeeeeeeeeeee nguvu mpya mwaka 2013 kupambana na mafisadi. From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com> Sent: Monday, December 31, 2012 8:19 PM Subject: [wanabidii] Salamu Za Mwaka Mpya Kutoka Mjengwablog! Ndugu zangu, ...
[wanabidii] MWAKA MPYA WA 2013
Naona umeshafika , Hongereni sana wadau
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda...
Fw: Re: [wanabidii] Katiba Ndani ya Siku 100 – Dr Slaa V/S Dr Mursi wa Misri
Hivi Wewe Yona, Ni kweli hakuna jema hata moja toka Dr. Slaa? I think something must be wrong up stairs--- On Wed, 12/26/12, Flano Mambo <flein47@yahoo.com> wrote: From: Flano Mambo <flein47@yahoo.com>Subject: Re: [wanabidii] Katiba Ndani ya Siku 100 – Dr Slaa V/S Dr Mursi wa MisriTo: Date: Wednesday, December 26, 2012, 9:18 AM Hapana Yona nadhani aidha hukumuelewa vizuri au unapindisha kwa makusudi Dr. Slaa kipindi...
Fw: Re: [wanabidii] Re: HAKI ZA BINADAMU : CHADEMA ILIVYOBORONGA MWAKA 2012
Mbona we mtu unayejiita Yona unachangia michango mingi sana humu lakini kwa sura tofauti tofauti? hii ni dalili tosha kwamba wewe si mwaminifu. Kwa maana nyingine una sura na roho ya uhalifu. Target ya uhalifu wako ni CHADEMA. Ni nani anakufadhili ndugu yangu?--- On Thu, 12/27/12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote: From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>Subject: Re: [wanabidii] Re: HAKI ZA BINADAMU : CHADEMA...
Fw: Re: [wanabidii] DR.SLAA TAMBUA MWOSHA HUOSHWA
Wewe Kallulunga, Acha kutumia muda mwingi kulamba miguu ya chama tawala. Umekaa na akili yako ilivyo unashindwa kwenda na wakati. Ebu jiulize wewe umefanya nini huko kwenye pazia la system kuwasaidia watanzania?Jiulize unafanya nini wakati huu wakati maliasili zetu zinaporwa? Wakati wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere the security system had only one responsibility to safeguard a Tanzanian citizen and resources. Nowdays your responsibility...
[wanabidii] STAYING THE REFORM ACCORD CAUSEWAY AND ASHAME THE DEVIL

STAYING THE REFORM ACCORD CAUSEWAY AND ASHAME THE DEVIL People in reply to Paul Nyandoto's response about "It is better the devil you".......I have the following interjection that, it will be futile as some of us stand to loose our livelihood and survival and our hope shall be doomed.........as...
Subscribe to:
Posts (Atom)