Saturday 22 September 2012

[wanabidii] Wachina wauziwa Kilo 90 za Dhahabu Bandia

Ndugu zangu

Taarifa zilizonifikia zinasema kuna wachina wameuliziwa dhahabu feki na wajanja fulani wa Dar es salaam , walishitukia mzigo huo baada ya kukaguliwa katika uwanja wa ndege wa Dar es salaam .

Baadaye wachina hao walirudi kule walipobandikiwa seal na kulalamika , matokeo yake wao ndio wakawekwa chini ya ulinzi na kupelekwa kituo cha polisi kati .

Mwenye Taarifa zaidi atujulishe .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment