Sunday 2 September 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] YANGA vs COASTAL UNION

Hahahaha sio wanazi mkuu.Jamaa walishikwa pabaya acha tu.Sema busara ilitumika wasije aibika.si unajua ili kulinda heshima ya mkubwa hata akikosea mdogo anabeba lawama!! Kumsitiri mkubwa.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com>
Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Mon, 3 Sep 2012 06:35:25 +0200
To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [Mabadiliko] YANGA vs COASTAL UNION

Niangalie wapi ndugu yangu, nimesoma humu humu jinsi wanazi walivyokuja kasi mapema

2012/9/3 <jonaskiwia39@gmail.com>
Rukoma mpira uliuangalia?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com>
Date: Mon, 3 Sep 2012 06:26:04 +0200
Subject: Re: [Mabadiliko] YANGA vs COASTAL UNION

wanazi mnasemaje hapo maana mliingia kwa gia kali wakati mpira unaanza sasa umekwisha na matokeo ndo hayo. Mpira ni dk. 90, wakati mwinginw hata kama una mkali wa kinazi ni kuzisubiri dakika hizi kwani si nyingi. Niki kumbuka enzi ya sheringamu, york, smiling boy nimesahu jina lake, walikuwa na uwezo wa kufunga hata magoli matatu ndani ya dakika tatu za mwisho kutoka pasi za bekamu. haya sasa meza maneno yenu

2012/9/2 A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com>
Nyoka (Fin wa imbeye)

Mimi sikuwepo uwanjani jana..lakini waliokuwepo wanasema haya haya akina mbega, chambua na mwakyembe wanayokuambia. Yanga jana nasikia ilitota ki mchezo...mashabiki wanazi wa yanga nasikia walijuuta kumwona Twite sijui Twitter akicheza mayenu tu pale uwanjani. Kuna waliodiriki hata kusema kuwa ..."juu ya nini tulikwenda kumpokea papaa mkuyu Mbuyu Twite pale uwanjani kwa mbwembwe?"..wengine wakafika mbali hata kumtaka Rage aje na RB yake amkamate pale pale uwanjani mara akimaliza mpira...ha ha haa--mimi napita tu sikuwepo uwanjani

From: Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@yahoo.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Sunday, September 2, 2012 1:03 PM

Subject: Re: [Mabadiliko] YANGA vs COASTAL UNION

Mbega,

Yanga ndiye Bingwa wa Kombe la Kagame miaka miwili mfululizo, mwaka jana tuliwanyoa ninyi Simbwa goli moja kwa nunge, mwaka huu wadogo zenu, Azam goli mbili bila ,sasa mpira wa magazeti uko wapi hapo?? Mtakiona cha mtema kuni msimu huu mpaka muweke tena mipra kwapani kama miaka kumi iliyopita!!!

wa Simbeye

--- On Sun, 9/2/12, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com> wrote:

From: Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com>
Subject: Re: [Mabadiliko] YANGA vs COASTAL UNION
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Sunday, September 2, 2012, 10:19 AM

Yanga inabidi wajihadhari na mpira wa magazetini. soka iko uwanjani, siyo kwenye magazeti na ninavyoona magazeti ya udaku wa michezo yanavyoandika, siyo ajabu mgema akalitia maji tembo.

2012/9/1 <jonaskiwia39@gmail.com>
Nipo uwanjani kuangalia mechi ya watani wetu wa Jadi.
Kituko kimetokea.Kocha Seintif kaitoa timu uwanjani baada ya kuona mechi haianzi na muda umeenda

Regards,
Jonas
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.

TEMBELEA Facebook yetu:
 http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

--
"Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995

0 comments:

Post a Comment