Wednesday 5 September 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Tafakuri Ya Usiku: Je, Uwezo Wetu Wa Kufikiri Umepungua?

tafakari ni hatua muhimu sana kuelekea "collective actions."
mabadiliko katika nchi nyingi yalitanguliwa na thinking and dialogues,
tuko katika hatua nzuri sana! kitendo cha 'hatua" ni kitendo ambacho
huchukua muda mfupi ikilinganishwa na ile hatua ya sasa. kwa maneno
mengine hatua tuliyopo ni hatua ndefu kuliko ili ya kuchukua
hatua...tunahitaji kubuni mbinu nyingi zaidi za kupeleka ujumbe ili
kuibua mjadala katika jamii. ile siku za "hatua" zikifika, the whole
mass is activelly involving"

2012/9/5 hamisi kilimba <matyois@yahoo.co.uk>:
> Kuna watu wanafikiri sanaaa !
> Tatizo ya fikira nyingi hakuna hatua kama alivyosema Rukoma.
> Watu wanaishia kuongea na kubadilishana mawazo lakini kufanyia kazi hayo
> mwazo hakuna
>
> From: Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com>
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Wednesday, 5 September 2012, 10:08
> Subject: Re: [Mabadiliko] Tafakuri Ya Usiku: Je, Uwezo Wetu Wa Kufikiri
> Umepungua?
>
> Majidi kwa sasa watanzania tunafikiri sana, tena sana na sana mpaka
> vichwa vinataka kupasuka ila hatuchukui hatua
>
> 2012/9/4 maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>:
>>
>>
>> Ndugu zangu,
>>
>> Yanayotokea nchini mwetu yanatutaka sio tu tufikiri, bali, tufikiri kwa
>> bidii. Lakini swali ni hili; Je, uwezo wetu wa kufikiri umepungua?
>>
>> Yumkini si kwa aliyekuwa na
>> ujasiri wa kuipiga picha hiyo hapo juu. Alifikiri sana pia. Na si kwa
>> aliyekaa chumba cha habari na kuumiza kichwa, kisha akaamua picha hiyo
>> ipambe sura ya mbele ya gazeti la Mwananchi la juzi. Hapa Iringa gazeti
>> hilo
>> liligombaniwa kama njugu, na bila shaka sehemu nyingine za nchi.
>>
>> Naam, siku hizi utasikia ikisemwa; " Tumefika pabaya!" Mwingine atasema; "
>> Tunakokwenda ni kubaya!". Lakini, ni Watanzania wangapi wenye kuuliza
>> maswali haya; " Tumefikaje hapa?" Na " Je, tunaendaje?" Maswali hayo
>> yanamtaka mwanadamu afikiri kwa bidii.
>>
>> Wakati mwingine nafikiri, kuwa Watanzania tumechoka kufikiri. Hata kwenye
>> maswali magumu yenye kutuhusu tunataka wengine wafikiri kwa niaba yetu.
>> Unaweza kukutana na Mtanzania mwenzako ukamwuliza; " E bwana ee, unafikiri
>> nini juu ya jambo hili?". Jibu lake; " Kwani wewe unaonaje?"- Ni moja ya
>> maswali yenye kuashiria anaykujibu swali lako amechoka kufikiri.
>>
>> Na wakati mwingine tatizo si kutofautiana kifikra, bali kutofautiana namna
>> au jinsi ya kufikiri. Swali moja, lakini unaweza kuona namna
>> tunavyotofautiana katika kuchagua njia ya kulisogelea ( approach) swali
>> husika.
>>
>> Na kuna wenye kukimbilia kutafuta njia za mkato. Ndio, majawabu ya mkato.
>> Na
>> baadaye itakuwaje? Inshallah na BwanaYesu Asifiwe!
>>
>> Maggid Mjengwa,
>> Iringa
>> 0788 111 765
>> http://mjengwablog.com/
>
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>
>> TEMBELEA Facebook yetu:
>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>
>>
>>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
>
>
>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
>
>



--
___________________________________________
Executive Director
Actions For Democracy and Local Governance (ADLG)
P.O.Box 1631
Mwanza
Tanzania
Cell: +255 754 388 882

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment