Monday 3 September 2012

[wanabidii] Eloi Eloi Lama Sabachthani!

Mungu wangu Mungu wangu, kwanini umeniacha?
 
Kwanini umewaacha Polisi wakiua bila woga viumbe wako uliowaumba kwa mfano wako?
 
Kwa nini kila Polisi wanapoua unawaruhusu wakisingizie "kitu chenye ncha kali"?
 
Je Polisi aliyafyatua lile bomu lililomwua kiumbe wako David Mwangosi utamwacha hai ili kesho aue tena?????

0 comments:

Post a Comment