Monday 3 September 2012

[wanabidii] 4th Vunja Mbavu Comedy Night


Ndugu wapenzi wa Vunja Mbavu,  Inaelekea kumekuwa na mkanganyiko wa taarifa kuhusu Tarehe ya Vunja mbavu ijayo. Tunawaomba radhi sana wote mliofika Ijumaa (Agosti 31). Tarehe sahihi ya Vunja Mbavu ni Ijumaa ijayo (Septemba 7)- maelekezo zaidi yapo kwenye maelezo hapo chini na kiambatanisho. KARIBUNI SANA

Dear Vunja Mbavu fans, It seems there has been some confusion regarding the date of our 4th Vunja Mbavu Comedy Night. Apologies to all those who came on Friday (31 Aug) thinking it was a Vunja Mbavu night. Our 4th Vunja Mbavu Comedy Night is Scheduled to take place this Friday, 7th Sept-Please find attached poster, and details below. KARIBUNI SANA


Tumerudi tena Ijumaa hii...

USIKU WA VUNJA MBAVU KOMEDI

Watakuwepo:

MLUGALUGA &
MLUNGWANA
(Komedi)

TIA MAJI TIA MAJI
(Ngoma)

PAA (Present as absent.)
(Mziki)

NA, MAONYESHO YA VIPAJI VYA WASHIRIKI


TAREHE: IJUMAA, SEPTEMBA 7

MAHALI: MKAHAWA WA VITABU SOMA (Kitalu 53 Mlingotini Close, Mtaa wa Regent, Regent Estate-Mikocheni A)

MUDA: SAA 1 JIONI - SAA 3 USIKU

KIINGILIO NI BURE, MICHANGO YA HIARI INAKARIBISHWA

Vinywaji na vitafunwa vitapatikana kaunta

Kwa wapenzi wa michezo ya mezani(Scrabble, Chess, Monopoly, Bao, Cards, etc) wahi ucheze kabla ya onyesho..

Karibuni Sana...
_______________________________________

We are back this Friday...

4th VUNJA MBAVU COMEDY NIGHT

Featuring:

MLUGALUGA &
MLUNGWANA
(Stand-up Comedy)

TIA MAJI TIA MAJI
(Traditional Dance)

PAA (Present as absent.)
(Live Music)

AND, AUDIENCE JAM SESSION


DATE: FRIDAY 7th SEPT 2012

VENUE: SOMA BOOK CAFÉ (Plot 53 Mlingotini Close, off Regent Street, Regent Estate-Mikocheni A)

TIME: FROM 7 PM – 9:00

FREE ENTRANCE BUT DONATION WILL BE APPRECIATED.
Open Cash Bar: Snacks, Drinks, Tea, Coffee and much more

Lovers of Board Games (Scrabble, Chess, Monopoly, Bao, Cards, etc) come early for a round or two..

Karibuni Sana...

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment