Thursday 6 September 2012

RE: [wanabidii]DOWANS YAIBWAGA TANESCO TENA MAHAKAMA KUU LEO

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imetupilia mbali ombi la Shirikal la Tanesco lilokuwa likiomba mahakama hiyo itoe amri ya kuizuia kampuni ya Dowans isikazie hukumu iliyotolewa na jaji Emilian Mushi Septemba 28 mwaka 2011 ambayo ilikubali tuzo ya Dowans waliyopewa na mahakama ya kimataifa ya Kibiashara (ICC) ya dola za Kimarekani 65,812,630.03.

Uamuzi huo umetolewa leo asubuhi na Jaji Dk.Fauz Twaib ambalo alisema alisema mahakama yake haina mamlaka ya kukubali ombi la tanesco kwababu haina mamlaka hayo kwasababu ni Tanesco ndiyo wamewasilisha taarifa ya nia ya kukata rufaa Mahakama ya Rufaa kupinga hukumu ya Jaji mushi na kwamba ni tanesco hao hao wamewasilisha mbele yake ombi hilo la kutaka Dowans izuiwe kukaza hukumu.

Jaji twaib alisema mahakama huu ilikuwa na mamlaka ya kukubali ombi la tanesco kabla ya Tanesco kuwasilisha hati ya nia ya kukataa rufaa mahakama ya rufaa na kwasababu hiyo hivi sasa mahakama yake haina mamlaka ya kukubali ombi hilo kwasababu tayari Tanesco wameishawasilisha hati ya nia ya kukata rufaa mahakama ya rufaa.
Dowans ilikuwa ikitetewa na wakili wa kujitegemea Kennedy Fungamtama.

mwisho
--- On Wed, 9/5/12, Monica Malle <moninaike@hotmail.com> wrote:

From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] AIRTEL TANZANIA KUGOMA ?
To: "Wanabidii googlegroup" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, September 5, 2012, 3:05 AM

Sishangai Wahindi wakisha ingia kwenye kampuni  ni zulumati kwa kwenda mbele. wacha wagome.
 
Date: Wed, 5 Sep 2012 12:28:12 +0300
Subject: Re: [wanabidii] AIRTEL TANZANIA KUGOMA ?
From: denis.matanda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Hata mimi nilidhani tayari wako kwenye mgomo!

On Wed, Sep 5, 2012 at 11:14 AM, Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com> wrote:
Aisee hao hata wakigoma na wagome tu maana sijaona customer care service mbovu na careless kama ya airtel.

2012/9/5 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Wanadai nini?

2012/9/5 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Nimesikia tetesi kwamba Airtel Tanzania Kitengo cha Huduma kwa wateja
wanajiandaa kugoma kama ilivyo kwa wenzao wa nchi ya Kenya .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment