Monday 3 September 2012

Re: [wanabidii] ZOEZI LA KUANGAMIZA KUNGURU WEUSI JIJINI DAR ES SALAAM

Kwanini pia wasifikirie jinsi ya   kuwamaliza kwa kuharibu mfumo mzima wa uzazi(Walishwe vyakula ambavyo wakila hawatazalia tena.
Baada ya miaka kadhaa kizazi chote kitatoweka.

2012/9/3 Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com>

Hao kunguru wangeachana nao kwanza tumalize zoezi la kuangamiza mafisadi!Mazoezi magumu ya kendeleza nchi hatufanyi.

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Samuel Sasali
Sent: Monday, September 03, 2012 3:56 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] ZOEZI LA KUANGAMIZA KUNGURU WEUSI JIJINI DAR ES SALAAM

Kwanini Wanaangamizwa??

Samuel Sasali.

Think Differently and Make a Difference

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, September 3, 2012 3:52 PM
Subject: [wanabidii] ZOEZI LA KUANGAMIZA KUNGURU WEUSI JIJINI DAR ES SALAAM

TAARIFA KWA UMMA
ZOEZI LA KUANGAMIZA KUNGURU WEUSI JIJINI DAR ES SALAAM
Wizara ya Maliasili na Utalii imewataarifu wananchi waishio katika
jiji la Dar es Salaam kuchukua tahadhari wakati huu ambapo Wizara
inaendesha zoezi la kuwaua kunguru weusi jijini kwa kutumia sumu
tulivu iitwayo SRC 1339.

Ingawaje sumu hiyo haina madhara makubwa kwa binadamu, wananchi hasa
watoto, wametakiwa kutocheza na mizoga ya kunguru ambao watakuwa
wamekufa kutokana na sumu hiyo. Endapo mtu atakuwa ameishika mizoga
hiyo anatakiwa anawe kwa sabuni.

Aidha wananchi wametakiwa wasitupe mabaki ya chakula kiholela maana
kufanya hivyo ni kukaribisha kunguru katika sehemu husika.

Wizara, kwa kushirikiana na wananchi na wadau mbalimbali, ilianza
kuwaangamiza kunguru weusi jijini Dar es Salaam tangu mwezi Desemba
mwaka 2010 chini ya mradi maalum unaofadhiliwa na Serikali, kwa
kushirikiana na Balozi za Denmark na Finland, na Shirika la USAID la
Marekani.

Tangu mradi huo uanze mwaka 2010 jumla ya kunguru 750,000
wameshaangamizwa kwa njia ya mitego maalum na sumu. Hata hivyo ndege
hao bado wapo Dar es Salaam na wanaendelea kuleta kero jijini. Ndiyo
maana zoezi la sasa linafanyika kwa njia ya operesheni ili kunguru
wengi zaidi waweze kuuwawa. Tangu operesheni inayoendelea ianze tarehe
27 Agosti 2012 jumla ya kunguru 1,000 wameshaangamizwa.

Wananchi wametakiwa kutoa ushirikiano kwa kikosi kazi ambacho
kitahusika kuokota mizoga hiyo, kwa kuonyesha iliko. Pia wanatakiwa
kutoa taarifa pale watapogundua kuwa kuna idadi kubwa ya ndege hao
sehemu yoyote ili hatua za kuwangamiza ziweze kuchukuliwa.

Taarifa zipelekwe katika ofisi za Manispaa au kwa kupiga simu 0754
498957 (Wilaya ya Kinondoni), 0757 585 358 (Wilaya ya Ilala) na 0714
119200 (Wilaya ya Temeke).

[MWISHO]

George Matiko
MSEMAJI
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
1 Septemba 2012

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment