Friday 7 September 2012

Re: [wanabidii] Ughali wa umeme umeturudisha kwenye uijma

ajabu kweli mada hii haikupata mtu wa kusema lolote isipokuwa aliyeileta.labda tujiulize wewe unaufaidi umeme wetu kwa mahitaji yako ya kawaida. ndugu yetu kafanya utafiti na kugundua kuwa kati ya 10 walio na majiko ya umeme 2 tu ndio wanayatumia kwa sababu gharama ni kubwa. ni ukweli ni nana anaweza kwa mshahara hata kwa biashara sijui ya kitu gani kununua unit 1 kwa shs 270.huu ndio kukaribisha uchafuzi wa mazingira na umaskini wa hali ya juu. umeme umebaki kwetu kuonekana anayeutumia lazima awe tajiri. jamani nchi za wenzetu haziko hivyo.jameni tuseme tu hata kama wahusika hawasomi huku

--- On Fri, 9/7/12, Monica Malle <moninaike@hotmail.com> wrote:

From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] Ughali wa umeme umeturudisha kwenye uijma
To: "Wanabidii googlegroup" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, September 7, 2012, 9:44 AM

Ughali wa umeme umefanya watu turudi kwenye zama za ujima za kutumia mkaa na kuni na kuzidisha uharibifu wa mazingira.
Nimejaribu kufanya utafiti sehemu ninyoishi ambayo wakazi wake ni watu wa kipato cha kati.
Wengi wana majiko ya umeme lakini kati ya watu 10 watu wawili tuu ndio wanatumia majiko hayo, tena kwa kupikia vitu kama chai na vyakula vyepesii na sio kuchemsha nyama wala maharage. kwa hiyo majiko mengi ya umeme yamebakia kama mapambo tuu ndani ya nyumba zetu. Umeme tunautumia kuwashia taa, frige na Tv tuu.
Kwa hili jamani zama hizi za sayanai na tekinolojia tutafika kweli? Serikali iangalie upya bei za umeme ili wananchi tuondokane na ujima wa kupikia kuni na mkaa na kuharibu mazingira. Unit ya umeme ni sh. 270 nani ataweza? Gasi ndio usiseme tunaelekea wapi?
Tunarudi nyuma au tunaenda mbele? Na bado TANESCO wanang'ang'ania kupandisha tena bei.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment