Tuesday 4 September 2012

Re: [wanabidii] Tafakuri Ya Usiku: Je, Uwezo Wetu Wa Kufikiri Umepungua?

Sasa wewe Mjengwa katika jamii iliyochoka kufikiri bado unaleta hoja ya kufikirisha akili kwani point yako umeifisha kwa ndani. Sasa uoni kuwa unazidi kuwatesa wanajamii kwa point zako za kificho?

William Kihigwa

maggid mjengwa wrote:

0 comments:

Post a Comment