Sunday 2 September 2012

Re: [wanabidii] Re: UZINDUZI WA OPERESHENI MCHAKAMCHAKA YA CUF

Hata ije operesheni Sangara2, M4C4, Zinduka 10 etc hii nchi haifiki popote kutokana na vitu vya kimumunda (attitudes danganya toto, silika kataa na poteza ukweli; tamaa, uroho, tamaa, ubinafsi;kibanzi jiwe na mtazamo mgando)vilivyo ndani ya ubongo wetu.
-Tazama yanayoendelea huko mipakani-wageni wanaingia kwetu wanachukua ardhi-tunawapa pia; wanalima, tunawaoza, tunawachagua uongozi, wanahamia na mifugo na makabila yao lakini kwao sisi wa mipakani hatuwezi hata kuhamia kwao kuoa na kujenga au kulima kule kisha tunaita jeshi la polisi lituokoe. Mnawapaje ardhi, watoto wetu kuoa (tena bila ya kupima HIV na kuwachagua uongozi?) ardhi yako kisha unakuwa mtumwa wa mgeni uliyemwita mwenyewe? Kamati za ardhi na Mabaraza ya Ardhi Kata inakaa inaamua vitu kirushwa na baardhi ya viongozi kuwapa haki wezi wa ardhi na kuvidhulumu vizee na koo hapo kijijini ambapo hata hivyo waliowengi ni ndugu kikabila (samaki mkubwa kumla mdogo na uonevu kutumia power za mila-mzee wa mila au baba, mjomba haojiwi).
-Hizo operesheni sangara, M4C4 na uharakati ungefanyika mara nyingi katika mazingira ya maendeleo mijini kuhamasisha usafi pale ambapo majumba makubwa ya hotel, watu binafsi na walala hoi mitaani wanapounganisha mabomba ya vyoo vyao katika mitaro wazi maandamano kupita mtaa hadi mtaa wakafanyakweli kumtoa nje aliyefanya hivyo akazima matundu yake, akasafisha mtaro anaochafua si ingekuwa lesson learnt na miji, Mitaa ingekuwa safi watu wakaogopa uovu. Mabadiliko ya kweli yakatokea. Huwezi ukaweka kila mtu mchafu jela utawalisha nini, na huwezi kuweka polisi kila nyumba kulinda uovu na uchafu wa makusudi.
-Jee, hiyo revolutionary movement ingeanzia majimboni hivi wanakijiji wangekaa wanacheza pool saa moja ya asubuhi na kunywa gongo kutwa amidst plent of natural resources mainly land? wanafyatua tofari za kuchoma wanauza, kuna mawe kibao wanaweza wakayapanga kujenga kisima bila hata ya kutumia cement maana mawe ya gypsum yapo au mawe kawaida. Ila wapo wanatumbukua na miguu, mufugo katika madimbwi kibao kunywa maji machafu na kuhara, kufa na kulazwa. Wanakunywa gongo kutwa lingine wanaomba waletewe na bhangi ili ndio wahesabiwe ktk sensa. Lakini kutoa 10,000/= kwa mwaka kununua card ya CHF ili watu sita watibiwe kwa card hiyo kwa mwaka 'NO'-hela hakuna. Kuongeza mke baada ya janguo la nazi au kwa mifugo 'Yes' pamoja na umasikini.
 
-Ikiwa ni era ya climate change, miti inapata fungus inakufa, matunda yanakauka sababu ya fungus na mizizi haipatikani, wanyama wanakufa kwa maradhi kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, utaendelea kukataa kubadilika kiufugaji, kimaisha, kilimo kutumia mbegu ya aina moja ya kuchukua miezi mingi hutaki alternative seeds eti ladha ya kande au ugali huwa mbaya utafika kuweza kumudu maisha. Mbunge wako na Diwani wapo mapumzikoni home au kuhamasisha maandamano sio kukaa katika eneo na watu wake kufanya community-based education, mobilization, action planning na utekelezaji pamoja nanyi kwa kushirikiana na watumishi ugani. Ikiendelea hivi, Hata Mtume Issa arudi hatutabadilika. Tutaandamana, tutauana, tutachomana hadi kiama maana mabadiliko yaanzie pale chini kimatenda na kila pale mtu alipo kona zote kwa mitazamo chanya. Ama sivyo leo tutarukia CCM mbaya, kesho Chadema, kesho kutwa CUF, NCCR mageuzi etc unatoka chama hiki na kuhamia kule au kuunda kimpya lakini ukweli ni maamuzi na matendo ya kila mmoja wetu mpaka ndani ya familia ubongo ufanyekazi ipasavyo. Unasema ardhi ni tatizo lakini unavamia ya watu unauza, unakunywa pombe na unakaribisha wageni wanaokulimisha na kukata miti ya mbao na kukutumia uchome mkaa, ubebe magunia kuvusha nchi jirani. Kichwani kuna nini?
 
-Nani ambaye amezaliwa hajaona kipofu ambaye anaweza kusuka jamvi, mkeka, nywele; kiwete kuwa mtaalamu wa kutengeneza baiskeli, kushona nguo, kofia,majamvi; kiwete analima pia maeneo mengine na watu kuja na malori kununua mihogo, viazi na anaoa wake wengi mapaka mahala hapo pakajulikana kwa jina la kituo cha bus-pa kiwete? Leo kiwete mwenye macho na mikono, kipofu na mwenye ukoma azagae miji yote mitaani na watoto anaomba omba. Huku wewe mwenye jimbo unahamasisha maandamano? Inakuja kweli? Jenga taasisi ya kuwaweka wasio na makwao, tafuta wahisani wako (Sabodo) atoe hizo milioni 500 ujenge kambi kijijini mkuranga na utumie mamilioni hayo kuwaanzishia maradi, chuo hapo, maduka na chain ya kupeleka sokoni wazalishavyo. Usipopata soko au vikiibwa bandalini ndio sasa andamana, italeta maana.
 
-Maandamano bila problem-solving actions ya matatizo yako na  watu wako kubweteka wakitegemea mkate ushuko kama enzi za Waislael kuondoka Misri wakiongozwa na Mtume Musa haitotokea tena. Matatizo ambayo yapo katika mtaa, kijiji, jimbo, kabila lako ulipo kama kiongozi-Usipoyashughulikia pamoja nao Ni danganya Toto!! Wao wenyewe huingiliana mashimo ya uchimbaji madini na kuibiana, kuvamiana ujambazi vijijini, kuuana, ushirikina, uvivu, ulevi. Mfano gani unaonyesha tuje study tour tuone na tujifunze zaidi ya maandamano yanayowapa nafasi vibaka na wauwaji? Copy and Paste haitokuletea mabadiliko? Hata Hakimu maakamani akihukumu kesi ki-haki wanafamilia waliohukumiwa ki-haki wanaunda njama ya kumuhukumu kwa kumpa kipigo au kumtendea uovu pamoja na kwamba sheria imetenda haki naye kukataa rushwa na upendeleo lakini hatuutaki ukweli. Kuandamana kutatubadili? Hata kuhama chama kwenda kingine huonyesha tamaa ya kitu fulani maana ulikuwa huko ulipokuwa na hukufanya chochote cha maendeleo pamoja na kuwa na watu na resources huko uendako nako utatoka tu usipopata ulichotegemea au kufilisika maneno ya kudanganya.
 
-Hata wale wasemao wanaonewa kidini au kikabila-waandamane haitobadilika hata ukichoma mahekalu ya dinifulani!! Badala ya kujituma binafsi, kwenda shule, kusomesha au kusoma akajikwamua uweze kushika madaraka ukabadili mfumo; akatumia raslimali kikamilifu kujiendeleza badala ya kukaa barazani kutwa unapiga utaranta au kutembea na mifugo miaka bila ya kuitumia ukajiendeleza au kuhamahama kilimo leo Mwanza kesho Goba, Kwa-ndege Mkuraka mara Rufiji lakini hubadiliki unalimbikiza wake au mifugo na watoto utitiri. Ukiwa mfanyakazi-ndoa kibao na wake wote umewaacha na nyumba ya shirika umehama anakaa mke na watoto wewe upo uwanja wa fisi. Tutafika? Haya na tuandamane tu na kubeba mabango lakini nje ya ofisi zetu matakataka yamejaa na ofisi tuliopangisha kama wanaharakati zinatiririsha maji machafu ktk mtaro ili tusiite na kutumia hela kulipa cess-pit emptiers ambao kwa sasa ni private operated tankers. Au nje za ofisi hizo kuna malundo ya solid waste au invaded waste stabilization ponds by local residents lakini hatuna muda wa kuongea na jamii iliotuzunguka hapo ila kubeba mabango ya maandamano-Poa. Vibanzi hivyo machoni mwetu una. Kwa madhumuni ya kutaka amani tu-Tubadilike!!

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 2 September 2012, 9:40
Subject: [wanabidii] Re: UZINDUZI WA OPERESHENI MCHAKAMCHAKA YA CUF

M4C ni muundo wa kampeni alizofanya barrack obama katika uchaguzi wa
marekani wa mwaka 2008 uliomwingiza madarakani na hiyo ndio ilianza
kutumika hapa nchini tanzania kwa M4C katika uchaguzi wa mwaka 2010 na
kuendelea nao mpaka leo , kwahiyo hata hii ni igizo tofauti pengine ni
uwasilishaji tu .

Hata kwenye vitabu , taarifa na machapisho mbalimbali watu wanaweka
ref

Tusipende kuzarau na kubeza vitu haswa vijana kama sisi , bado tuna
njie ndefu sana za kwenda na nchi hii ni yetu sote , ukidharau leo
hujui kesho au hata dakika 30 zijazo .

On Sep 1, 11:13 pm, Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com> wrote:
> Nimemkumbuka sana Joti! Na hakika Joti ni mbunifu sana! Mpoki anaseme
> "Mtoto huyo ni kilaza, anae taka kufaulu kwa utelezi! Yaani ana kopi
> kisha ana pesti!" Huyu tuna mwita kichwa maji au kuokoa nguvu na muda
> anaitwa bumunda!
>
> On 9/1/12, Ephata Nanyaro <nanyar...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> > Wakati tunaanza na Operesheni Sangara walikuja na operesheni yao
> > inaitwa Zinduka,wala haikufanya kazi,
> > Tulipoanzisha M4C Cuf wakataka kuanzisha M4V yaani movement for
> > vision,sijui nayo imeshia wapi
>
> > On 9/1/12, jonaskiwi...@gmail.com <jonaskiwi...@gmail.com> wrote:
> >> Kweli this is Copy n Paste
> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> >> -----Original Message-----
> >> From: paul lawala <pasamila292...@gmail.com>
> >> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> >> Date: Sat, 1 Sep 2012 11:43:37
> >> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> >> Subject: Re: [wanabidii] UZINDUZI WA OPERESHENI MCHAKAMCHAKA YA CUF
>
> >> Hakuna kama M4C,magamba waliiga wakashindwa,ngoja tuone ngangari
>
> >> On Sat, Sep 1, 2012 at 11:28 AM, Nicomedes Kajungu
> >> <nicomede...@gmail.com> wrote:
> >>> Hahahahahahaha, tunawatakia kila lakheri. Ngoja tusubiri kukimbia
> >>> mchakamchaka.
>
> >>> On Sat, Sep 1, 2012 at 8:34 PM, <gm26...@gmail.com> wrote:
>
> >>>> The Original comedy kuna kijihesemu  wanaita " COPY AND PASTE"
>
> >>>> Anyway all the best
>
> >>>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> >>>> -----Original Message-----
> >>>> From: Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com>
> >>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> >>>> Date: Sat, 1 Sep 2012 10:01:29
> >>>> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> >>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> >>>> Subject: [wanabidii] UZINDUZI WA OPERESHENI MCHAKAMCHAKA YA CUF
>
> >>>> Prof lipumba atazindua operation mchakamchaka katika viwanja vya
> >>>> jangwani kuanzia saa 4 asubuhi siku ya jumapili tarehe 9/9 , ambapo
> >>>> viongozi wote wa chama na serikali wa chama cha cuf watakuwepo kabla
> >>>> ya kuelekea mkoani Arusha.
>
> >>>> --
> >>>> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >>>> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >>>> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >>>> ukishatuma
>
> >>>> Disclaimer:
> >>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>>> legal
> >>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >>>> must
> >>>> be
> >>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>>> agree
> >>>> to
> >>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >>>> --
> >>>> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >>>> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >>>> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >>>> ukishatuma
>
> >>>> Disclaimer:
> >>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>>> legal
> >>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >>>> must
> >>>> be
> >>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>>> agree
> >>>> to
> >>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >>> --
> >>> Nicomedes M. Kajungu
> >>> P.O.Box 7520, Mwanza.
> >>> Cel: +255 782 315 688,
> >>>         +255 767 48 32 71,
> >>>         +255 719 451 850
>
> >>> Email: nicomede...@gmil.com
> >>> Skype add: nkajungu
>
> >>> --
> >>> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >>> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >>> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >>> ukishatuma
>
> >>> Disclaimer:
> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>> legal
> >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >>> be
> >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>> agree
> >>> to
> >>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >> --
> >> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to
> >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >> --
> >> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> >> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to
> >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> > --
> > Ephata Nanyaro
> > P.o.box 15359
> > Arusha
> > +255 754 834152
> > Skype.nanyaro.ephata
>
> > --
> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> "Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
> --
> Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
> Alternative: +255 784 24 67 64
> Skype: Mohamedi.Mtoi
> Facebook: Mohamedi Mtoi
> Twitter: @mohamedimtoi
> Jf: Mohamedi mtoi

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment