Saturday 22 September 2012

Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA

Ni vigumu sana mgonjwa kupona kama daktari wake ataanza kutibu ugonjwa
usikuwa sahihi. Tuache kupotoshana tuuchunguze ugonjwa wetu vizuri
then ndo tutapata dawa ya kutuponyesha otherwise tutaendelea
kuwaongopea wazembe wa kufikiri na kuendelezeza ucantankerous wetu
milele

2012/9/22 Albin Kalolo <kaloloa@gmail.com>:
> Mmmh, haya mambo yanatisha.
> Kwa sasa dini zimekuwa ni chazo cha kukosekana kwa amani duniani. Dini
> zenyewe tumeletewa tu ( kutoka Ulaya na Uarabuni), sasa tunazikumbatia hadi
> inafikia hatua ya kutishiana kuuana. au kuuana. Nadhani ni muda wa
> kutafakari na kutafuta "framework " nyingine kuhusu imani za kidini.Kwa
> sababu dini zimekuwa zinaingilia sana siasa, ingefaa kuangalia utaratibu wa
> kusajili dini/ madhehebu haya kama vyama vya siasa, ili kwa kutumia sheria
> za nchi ''vyama'' hivi viweze kudhibitiwa vinapohatarisha amani ya nchi.
> Hata kama wasiokuwa na dini katika nchi yetu ni wachache ( inasadikika),
> wananyimwa haki ya kuongea mambo yao, maana wao hawana makanisa wala
> misikiti, bali wanaishia kuwa kwenye vyama vya siasa ambapo hata wenye dini
> zao wamo pia.
>
> I wish , ifikie siku, ushabiki wa dini uishe na nchi yetu iongozwe kwa
> misingi isiyo ya kibaguzi kwa kufuata misingi ya usawa ( social justice) na
> haki za binadamu. Hapo ndipo " ujinga " huu wa kusema eti...dini hii
> inafanya hili na ile inafanya ile...utakapoisha.
> 2012/9/22 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>
>> Jamani acheni kutukanana. Sisi wote ni maskini wa kutupwa ndani ya
>> Tanzania. Tuijenge nchi yetu. Umaskini ama ujinga dawa yake ni kuung'oa na
>> siyo kugombana wenyewe.
>> Matinyi.
>>
>>
>>
>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "amour chamani" <abachamani@yahoo.com>
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
>> Date: Sat, Sep 22, 2012 12:49 pm
>>
>>
>> Ngupala,
>> Hebu jenga hoja ya maana wacha kutukana haitawasaidia hata kidogo.Dawa ya
>> haya mambo ni kuacha dhulma mliyoifanya kwa miaka yote tangu na baada ya
>> uhuru.Hiyo mifano ya Sadam na Gadaf inahusiana vipi na hili la hapa?
>> Wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa hiyo dogma yenu ya kanisani kwa
>> nini mnaitumia katika maisha yenu ya kila siku.
>> Kama unajua mifano sema kanisa lilichokifanya Rwanda au ndicho mnacho taka
>> kutufanyia sisi?
>> Hayo hamuwezi kwani sisi mbali ya huo ujinga na wingi wetu kama wa kuku
>> HATUNA CHA KUPOTEZA.
>> TUKO CHALI HATUOGOPI KUANGUKA.
>> Ole wenu ninyi mafisadi,watawala,wasomi(educated fools) nk.
>> Hii nchi ni yetu wote acheni kiburi cha mfumo kristo.
>>
>>
>>
>> Walewale.
>>
>>
>>
>> ________________________________
>> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Saturday, September 22, 2012 7:02 PM
>> Subject: RE: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
>>
>>
>>
>> Ndugu Muhingo,naafikiana nawe mia kwa mia. Hawa jamaa ni lazima waelewe
>> kuwa hakuna njia ya mkato.Kama wanaöa wanaonewa,wajifunge mkanda,wajipange
>> kupitia njia ile ile wenzao wamepitia.Martin Luther king aliwaambia
>> wamerekani weusi,kama mkitaka kujikomboa,basi mwenye uwezo wa kuimba na
>> aimbe,na mwenye uwezo wa kupigana,na apigane na mwenye kusoma na asome.Ndio
>> matunda yake leo hii hata wanaonekana na kushika nafasi za juu serikani. Mtu
>> anayedhani anaweza fanya lolote kwa vita au vurugu,cha muhimu ajiulize
>> atakimbilia wapi asipopatikana? Zanzibar walipokuwa na vurugu walikimbilia
>> Uk.Mbona hawakwenda Bubai? Elimu ya mjinga ni majungu na dawa ya mpumbavu ni
>> upumbavu.Kupanga ni kuchagua.Lakini na ikumbukwe kila amwagae damu,naye damu
>> yake huyo itamwagwa. Wako wapi akina Osama,Saddamu na Gadaffi?.Tunajua
>> wanajifunza judo misikitini,pia kutengeneza mabomu ya petrol nk.Lakini
>> hawatafanikiwa....Ngupula
>>
>>
>> ------------------------------
>> On Sat, Sep 22, 2012 11:09 AM EEST ELISA MUHINGO wrote:
>>
>> >Wewe unaamini kuwa Serikali inatoa mabilioni hayo kuimarisha ukristo? Ipo
>> > Serikali ya Namna hiyo?
>> >Kama serikali itatoa fedha kwa hospitali za missioni kwa sababu zinatoa
>> > huduma wala si biashara huko ni kuimarisha ukristo? Kuna hospitali yoyote
>> > inayotoa huduma kama hizo inayonyimwa ruzuku kwa sababu siyo ya kikriso?
>> > Kwanza hospitali hizo zinaendeshwa na makanisa tu lakini ni za wagonjwa bila
>> > kujali ni wa imani gani. Tunaziona za Agakhan. ni commecial/bussiness as
>> > usual.. Ni hospitali za wagonjwa tatajili. Mvumi ya Dodoma au Kilimatinde ni
>> > za wagonjwa wote. ndiyo maana serikali huzipa ruzuku.
>> >
>> >Tusiwe wapumbavu kama ndugu zetu hawa ila tujaribu kuona namna gani
>> > tutakwenda nao. Wanakoelekea wanaweza kuleta sokomoko. Kama wakikubaliana
>> > kuwa uislamu ni kuua na kuuawa itakuwa balaa kwa sababu ipo siku watalaumu
>> > kuwa jua halijawaka sana kwenye maeneo yao
>> >
>> >--- On Fri, 9/21/12, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
>> >
>> >
>> >From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>> >Subject: RE: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
>> >To: wanabidii@googlegroups.com
>> >Date: Friday, September 21, 2012, 11:18 PM
>> >
>> >
>> >
>> >Basi kama yanayosemwa ni kweli,nani anayepaswa kuwajibishwa hapa?mtoaji
>> > au mpokeaji?Nani tulimpa dhamana ya kulinda rasmali zetu?....ccm ndio
>> > iliyoshika dola,si waache tu kutoa?
>> >
>> >Long time ago nilikuwa nafikiri ni baadhi tu ya watu fulani wasio na
>> > uelewa mzuri ndio wanaoendekeza hizi chuki zisizo na ukweli wowote.Now am
>> > almost convinced that some religion beliefs are like cancer.They eat every
>> > one regardless of his understand. Regards,Godfrey Ngupula
>> >
>> >------------------------------
>> >On Sat, Sep 22, 2012 07:34 EEST MikiDadi Waziri wrote:
>> >
>> >>Bwana Mbegu
>> >>Hayo yanayosemwa yote ni yakweli, Ndio maana hakuna mtu yeyote mwenye
>> >>kukanusha..
>> >>On Sep 21, 2012 8:52 PM, "Edgar Mbegu" <embegu@hotmail.com> wrote:
>> >>
>> >> Nape yuko wapi kujibu shutuma? Serikali ya CCM inaongozwa na Maaskofu;
>> >> Serikali ya CCM inawapendelea Wakristo kwa kuwapa mabilioni... Serikali
>> >> haifai hii kumbe!
>> >> Kamati ya Ulinzi na Usalama wapo? Hawa watu si wanatangaza vita kama
>> >> ile
>> >> ya Rwanda? IGP yupo? Hawa watu si wanapanga kuvuruga maandamano ya
>> >> CHADEMA
>> >> kwa kutangaza kutoka kupambana nao? Hao watu walipewa kibali cha
>> >> kufanya
>> >> mkutano wa kidini au wa kisiasa au wa uchochezi?
>> >>
>> >> > Date: Fri, 21 Sep 2012 20:31:38 +0300
>> >> > Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU
>> >> > ARUSHA
>> >> > From: mngonge@gmail.com
>> >> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> >> >
>> >> > Inteligensia ilikuwepo na ipo, tatizo mitambo yao iko insensitive na
>> >> > mambo kama hayo na hivyo hayasomeki vizuri kwenye mitambo yao. Wala
>> >> > hawana sababu ya kurekebisha mitambo kwa vile yaliyo ya msingi kwao
>> >> > yanasomeka. Nafikiri yanayosomeka kwao mwayajua
>> >> >
>> >> > 2012/9/21 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
>> >> > >
>> >> > > frmapunda,si wewe tu unayeumia.Wakristo wengi wanaumia sana kwa
>> >> > > vituko
>> >> vya waislamu na ukimya wa serikali.Kwa mtazamo wangu kwa hali hii naona
>> >> ni
>> >> hatari sana kwa Tanzania kuongozwa na raisi muislam kwani hawa jamaa
>> >> kama
>> >> ambavyo hawaamiki kumiliki hata bunduki kwa jamii ya
>> >> kimataifa,hawaamiki
>> >> hata kidogo kushika dhamana ya juu ya uongozi kama raisi.Tumeona hivyo
>> >> kipindi cha Mwinyi na sasa Jk pia. Kuishi na jamii ya watu hawa inahidi
>> >> umakini na ukali wa hali juu na sio kuwachekeachekea tu.Wakristo
>> >> wanapoamua
>> >> kuzaa na kuoa kwa mpango ili kutoa malezi bora kwa watoto wao,wao
>> >> wamepanga
>> >> kuzaliana kwa ustaarabu wa kuku,hao wakristo wakipanda hizo
>> >> baiskeli,wao
>> >> kinawauma nini? Mimi binafsi ninawashauri sana,wabadikike kama
>> >> ulimwengu
>> >> ulivyobadilika,wapange uzazi wa mpango na watafute maisha bora kwa
>> >> watoto
>> >> wao,waache majungu.
>> >> > >
>> >> > > Fr,huku mwanza kuna radio kwa neema,imewafungua watu kuhusu haya
>> >> yanayotokea na kanda ya ziwa we are very aware. Jamii ya kikristo iko
>> >> makini sana na ina mipango madhubuti sana ktk chaguzi zijazo.maombi pia
>> >> yanaendelea na umakini wa hali ya juu unachukuliwa.Hakika,wanazaa
>> >> watoto
>> >> kama kuku kwa lengo la kuijaza tz wjtafanikiwa lak4ni ni ktk magereza
>> >> na
>> >> magereji.Maisha bora kwa mtanzania yataletwa na mtazania mwenyewe.
>> >> Wahutu
>> >> waliwaua watusti,leo hali ikoje huko burundi?anayetawala ni nani?wahutu
>> >> au
>> >> watusti?.vipaji akili na hekima ni tunda la kumcha Mungu wa kweli.Mungu
>> >> wa
>> >> vurugu hakika yake,hatafanikiwa Tanzania.Regards,Godfrey Ngupula
>> >> > >
>> >> > > ------------------------------
>> >> > > On Fri, Sep 21, 2012 4:40 PM EEST frmapunda91@gmail.com wrote:
>> >> > >
>> >> > >On Monday, March 28, 2011 6:21:21 AM UTC-7, Henry Kaisi wrote:
>> >> > > Wakati habari juu ya babu huko Loliondo zinapumzika kidogo, naomba
>> >> niwape na haya niliyoyasikia kwa masikio yangu kutoka redio Imani. Hii
>> >> ni
>> >> redio ya Waislamu ambayo inatangaza kutokea mkoa wa Morogoro. Sijui
>> >> kama
>> >> husikika nchi nzima au la. Hapa kwetu Arusha kulikuwa na kongamano
>> >> kubwa la
>> >> Waislamu wa madhehebu yote, jana Jpili na lilianza tangu asubuhi hadi
>> >> jioni. Walikuwepo watoa mada mbalimbali, lakini mimi nilifanikiwa
>> >> kumsikia
>> >> mmoja, pamoja na immamu wa mkoa aliyetoa maazimio ya kongamano.Bila
>> >> shaka
>> >> magazeti yataripoti vizuri. Nimesukumwa kuandika tena kwa urefu kwani
>> >> nilisikitika sana kusikia maneno ambayo sikuwahi kuyasikia tangu
>> >> nizaliwe
>> >> yakiongelewa hadharani ndani ya nchi yangu. Nakumbuka nilisoma maazimio
>> >> ya
>> >> Mwanza, lakini hii imenistua sana. Kama tunamwomba Mungu basi tuongeze
>> >> nguvu, kama hatuombi basi tuanze. Kwa mtindo huu, ninawasiwasi na amani
>> >> ya
>> >> Tanzania ambayo tumejivunia miaka hamsini sasa. Mliopata neema ya
>> >> kupata
>> >> nafasi za juu
>> >> > > serikalini, sijui serikali inayaonaje mambo haya. Hayajaanza leo,
>> >> > > ila
>> >> imeyaachia yaendelee. Makanisa yanazidi kuchomwa, hakuna msikiti
>> >> uliwahi
>> >> kuchomwa kama sijakosea. Wakristo wanavamiwa na kupigwa, hakuna
>> >> mhadhara wa
>> >> Waislamu uliwahi kuvamiwa. Redio Imani na magazeti ya Kiislamu (mfano
>> >> Al-alnuur) yanazidi kumwaga sumu ya udini, na ubaguzi, na chuki, lakini
>> >> sijawahi kusikia vyombo hivi vikikemewa. Huu, ukimya wa serikali na
>> >> vyombo
>> >> vyake, sijui maana yake ni nini? Sumu hii ikiishapandwa kuing'oa ni
>> >> kazi.
>> >> Jamaa hawa walifanya mambo yao sirini tangu enzi za Mwinyi, na sasa,
>> >> wameamua kuyaweka wazi na kuhamasisha Watanzania waziwazi tuuane.
>> >> Haiingii
>> >> akilini mwangu. Je, viongozi wetu wa dini wanazo taaarifa za kutosha
>> >> kuhusu
>> >> mambo haya? Wanachukua hatua gani? Je, sisi tuchukue hatua gani? Shehe
>> >> Ilunga Hassan ndiye niliyeweza kumsikia. Ameongea mambo mengi, lakini
>> >> yote
>> >> ni ya kupandikiza chuki ndani ya Watanzania. Ameanza kwa kutoa pongezi
>> >> kwa
>> >> kile Waislamu
>> >> > > walichokifanya huko Mto wa mbu (Arusha) kwa kuwapiga wachungaji, na
>> >> kuwajeruhi, nk. Amesisitiza kuwa Tanzania inaongozwa na mfumo Kristo.
>> >> Na
>> >> sasa umefika wakati mfumo huo uondolewe na hiyo ndiyo itakuwa pona ya
>> >> Waislamu. Serikali inaongozwa na maaskofu. Wao ndiyo wanaweza kumwambia
>> >> rais tunataka hiki au la. Amesisitiza kuwa amani tunayoiona TZ ipo kwa
>> >> gharama ya Waislamu. Umefika wakati Waislamu waseme basi kwa mfumo
>> >> Kristo
>> >> ili na Wakristo wabebe gharama ya amani hii. Ametoa takwimu kuwa mwaka
>> >> 1992
>> >> Serikali iliingia mkataba na Wakristo, na tangu hapo imekuwa ikitoa
>> >> fedha
>> >> za kuwaendeleza wao huko Waislamu wakibaki nyuma. Kwa mfano, mwaka
>> >> 2009,
>> >> serikali imetoa bilioni 45, mwaka 2010 bilioni 54, na mwaka huu kwa
>> >> miezi
>> >> miwili hii na siku imekwisha toa bilioni 611, zote hizi zikiwa ni
>> >> kuwaendeleza Wakristo. Wakati serikali ikifanya hayo yote, Waislamu
>> >> wameachwa nyuma na watoto wao wamezidi kuwa wamachinga huku watoto wa
>> >> Wakristo wakiendesha baiskeli za
>> >> > > kizungu na kufurahia beach. Amesema ifike mahali Waislamu waamue
>> >> > > kama
>> >> walivyofanya Wahutu dhidi ya Watutsi. Ati Kikwete hawezi kuongoza nchi
>> >> bila
>> >> maaskofu, maana kila analotaka kufanya lazima awaone. Amesema kuwa
>> >> Chama
>> >> cha kususa na maandamano kipo tu kwa ajili ya maslahi ya Wakristo.
>> >> Waislamu
>> >> wanadanganywa wakidhani hicho chama kipo kuwatetea WaTz kumbe kipo kwa
>> >> ajili ya Wakristo. Makafiri wanasaidiana wao kwa wao hivyo waislamu
>> >> waamke,
>> >> waungane hili kuuondoa m
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
>
>
> --
> contacts:
> skype:kaloloa
> http://healthissuescorner.blogspot.com/
> "Of all the forms of inequality, injustice in health care is the most
> shocking and inhumane"
>
> Martin Luther King, Jr
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment