Friday 21 September 2012

Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA

Amour, kwa uwezo huo wa kufikiri kama ungelikuwa Egypt, Tunisia au Libya unafikiri ungelikosekana kweli kwenye kundi la watu waliokuwa wakivamia balozi za Amerika?
Unaposema mliongoza kwa miaka 50, mliua  Mwembechai nk, unamaaninisha ni akina nani hao? Kwa hiyo unaimani fika kwamba uongozi wa sasa ni wa kiislamu kwa vile kiongozi ni muislam? Nakuomba uwaze tena, kiongozi wa serikali ngazi yoyote ile ni kiongozi wa wote habagui anaongoza watu wenye imani gani, nasikitika kwa vile kiongo aliyeongoza nchi kuanzia 1961alikuwa na imani fulani, najaribu kuwaza asingelikuwa mkristo au muislam sijui waislasm wangelikuwa wanasingizia kitu gani tena mpaka hapo tulipo sasa.


From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 21 September 2012, 19:28
Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA


Ni kweli imani ya kikristo imesema akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto. Na ukipigwa na la kushoto...

Kama ukweli ni tusi,na tusi linakuwa nini?Ndugu zangu,acheni kudanganyana.Hakuna shortcut,dunia ya leo unachopanda ndicho utavuna.if u invest on quality,u get quality and if u invest on abundance u get abundance. ..quality and abundance are vicevesa.

Rafiki,hivi tunakotoka na tunakokwenda wapi ni nafuu?miaka 50 unayoisema na miaka 3 ya Jk iliyobaki,how do u compare?To tell u,70& ya watz haiwaingii akilini hata kama miaka hii 3 iliyobaki tutamaliz kwa amani.Ni miujiza ya Mungu tu. Kwa mtazamo wangu ni afadhali matukio ya kama mwembechai yakajirudia kama kuna wapumbavu wasiotaka kuelewa kuliko kulea ujinga  Naungana na wewe bwana Amour kuwa ukiona giza limezidi ujue kumekaribia kuchwa. Mungu aliyetuvusha miaka 7 salama,hawezi shindwa ku2vusha the rest remaining 3.  Bwana Amour,umewah sikia msikiti umechomwa Tz au wakristo wametoa matamko ya kuangamiza waislam?amua mwenyewe ni nani mwenye chuki kwa mwezake?na hata usipotambua,hakuna upendo wa kumbeleza mjinga.  Mungu irehemu tz na watu wake..,
On Fri, Sep 21, 2012 20:57 EEST amour chamani wrote:

>Ndugu zangu,
>Imani ya kikristo ninayoijua mimi inasema ukipigwa kulia unaageuza kushoto au siyo?
>Ila kwa chuki ya namna hii bila shaka Tanzania tutaijenga.
>Mnaongoza nchi au mnafisadi nchi.Miaka yote 50 mkiwa madarakani mmefanya nini?
>Maskini mnaaujua uchochezi leo lakini alichokuwa akikifanya mchungaji Mtikila kilikuwa ni nini?
>Mnatutukana mpaka hili la kuzaa basi twambie na la ushoga makanisani.
>Mnapata tabu gani na watu WAJINGA,WASIOSOMA na WASIO NA MADARAKA NCHINI?
>Mmeua Mwebechai na Mwembetogwa Zanzibar na viongozi wenu wakasifia leo mnataka na Kikwete aende kwa speed hiyo hiyo? Mbona ya Iringa yanauma na michango kwa wingi lakini vipi huyo kuku aliyekufa Morogoro hata picha yake sijaiona.
>Ila ndugu zangu ukiona giza limezidi jua kunakucha.
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>________________________________
> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Friday, September 21, 2012 8:31 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
>
>Inteligensia ilikuwepo na ipo, tatizo mitambo yao iko insensitive na
>mambo kama hayo na hivyo hayasomeki vizuri kwenye mitambo yao. Wala
>hawana sababu ya kurekebisha mitambo kwa vile yaliyo ya msingi kwao
>yanasomeka. Nafikiri yanayosomeka kwao mwayajua
>
>2012/9/21 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
>>
>> frmapunda,si wewe tu unayeumia.Wakristo wengi wanaumia sana kwa vituko vya waislamu na ukimya wa serikali.Kwa mtazamo wangu kwa hali hii naona ni hatari sana kwa Tanzania kuongozwa na raisi muislam kwani hawa jamaa kama ambavyo hawaamiki  kumiliki hata bunduki kwa jamii ya kimataifa,hawaamiki hata kidogo kushika dhamana ya juu ya uongozi kama raisi.Tumeona hivyo kipindi cha Mwinyi na sasa Jk pia. Kuishi na jamii ya watu hawa inahidi umakini na ukali wa hali juu na sio kuwachekeachekea tu.Wakristo wanapoamua kuzaa na kuoa kwa mpango ili kutoa malezi bora kwa watoto wao,wao wamepanga kuzaliana kwa ustaarabu wa kuku,hao wakristo wakipanda hizo baiskeli,wao kinawauma nini? Mimi binafsi ninawashauri sana,wabadikike kama ulimwengu ulivyobadilika,wapange uzazi  wa mpango na watafute maisha bora kwa watoto wao,waache majungu.
>>
>> Fr,huku  mwanza kuna radio kwa neema,imewafungua watu kuhusu haya yanayotokea na kanda ya ziwa we are very aware. Jamii ya kikristo iko makini sana na ina mipango madhubuti sana ktk chaguzi zijazo.maombi pia yanaendelea na umakini wa hali ya juu unachukuliwa.Hakika,wanazaa watoto kama kuku kwa lengo la kuijaza tz wjtafanikiwa lak4ni ni ktk magereza na magereji.Maisha bora kwa mtanzania yataletwa na mtazania mwenyewe. Wahutu waliwaua watusti,leo hali ikoje huko burundi?anayetawala ni nani?wahutu au watusti?.vipaji akili na hekima ni tunda la kumcha Mungu wa kweli.Mungu wa vurugu hakika yake,hatafanikiwa Tanzania.Regards,Godfrey Ngupula
>>
>> ------------------------------
>> On Fri, Sep 21, 2012 4:40 PM EEST frmapunda91@gmail.com wrote:
>>
>>On Monday, March 28, 2011 6:21:21 AM UTC-7, Henry Kaisi wrote:
>>> Wakati habari juu ya babu huko Loliondo zinapumzika kidogo, naomba niwape na haya niliyoyasikia kwa masikio yangu kutoka redio Imani. Hii ni redio ya Waislamu ambayo inatangaza kutokea mkoa wa Morogoro. Sijui kama husikika nchi nzima au la. Hapa kwetu Arusha kulikuwa na kongamano kubwa la Waislamu wa madhehebu yote, jana Jpili na lilianza tangu asubuhi hadi jioni. Walikuwepo watoa mada mbalimbali, lakini mimi nilifanikiwa kumsikia mmoja, pamoja na immamu wa mkoa aliyetoa maazimio ya kongamano.Bila shaka magazeti yataripoti vizuri. Nimesukumwa kuandika tena kwa urefu kwani nilisikitika sana kusikia maneno ambayo sikuwahi kuyasikia tangu nizaliwe yakiongelewa hadharani ndani ya nchi yangu. Nakumbuka nilisoma maazimio ya Mwanza, lakini hii imenistua sana. Kama tunamwomba Mungu basi tuongeze nguvu, kama hatuombi basi tuanze. Kwa mtindo huu, ninawasiwasi na amani ya Tanzania ambayo tumejivunia miaka hamsini sasa. Mliopata neema ya kupata nafasi za juu
>>  serikalini, sijui serikali inayaonaje mambo haya. Hayajaanza leo, ila imeyaachia yaendelee. Makanisa yanazidi kuchomwa, hakuna msikiti uliwahi kuchomwa kama sijakosea. Wakristo wanavamiwa na kupigwa, hakuna mhadhara wa Waislamu uliwahi kuvamiwa. Redio Imani na magazeti ya Kiislamu (mfano Al-alnuur) yanazidi kumwaga sumu ya udini, na ubaguzi, na chuki, lakini sijawahi kusikia vyombo hivi vikikemewa. Huu, ukimya wa serikali na vyombo vyake, sijui maana yake ni nini? Sumu hii ikiishapandwa kuing'oa ni kazi. Jamaa hawa walifanya mambo yao sirini tangu enzi za Mwinyi, na sasa, wameamua kuyaweka wazi na kuhamasisha Watanzania waziwazi tuuane. Haiingii akilini mwangu. Je, viongozi wetu wa dini wanazo taaarifa za kutosha kuhusu mambo haya? Wanachukua hatua gani? Je, sisi tuchukue hatua gani? Shehe Ilunga Hassan ndiye niliyeweza kumsikia. Ameongea mambo mengi, lakini yote ni ya kupandikiza chuki ndani ya Watanzania. Ameanza kwa kutoa pongezi kwa kile
> Waislamu
>>  walichokifanya huko Mto wa mbu (Arusha) kwa kuwapiga wachungaji, na kuwajeruhi, nk. Amesisitiza kuwa Tanzania inaongozwa na mfumo Kristo. Na sasa umefika wakati mfumo huo uondolewe na hiyo ndiyo itakuwa pona ya Waislamu. Serikali inaongozwa na maaskofu. Wao ndiyo wanaweza kumwambia rais tunataka hiki au la. Amesisitiza kuwa amani tunayoiona TZ ipo kwa gharama ya Waislamu. Umefika wakati Waislamu waseme basi kwa mfumo Kristo ili na Wakristo wabebe gharama ya amani hii. Ametoa takwimu kuwa mwaka 1992 Serikali iliingia mkataba na Wakristo, na tangu hapo imekuwa ikitoa fedha za kuwaendeleza wao huko Waislamu wakibaki nyuma. Kwa mfano, mwaka 2009, serikali imetoa bilioni 45, mwaka 2010 bilioni 54, na mwaka huu kwa miezi miwili hii na siku imekwisha toa bilioni 611, zote hizi zikiwa ni kuwaendeleza Wakristo. Wakati serikali ikifanya hayo yote, Waislamu wameachwa nyuma na watoto wao wamezidi kuwa wamachinga huku watoto wa Wakristo wakiendesha baiskeli za
>>  kizungu na kufurahia beach. Amesema ifike mahali Waislamu waamue kama walivyofanya Wahutu dhidi ya Watutsi. Ati Kikwete hawezi kuongoza nchi bila maaskofu, maana kila analotaka kufanya lazima awaone. Amesema kuwa Chama cha kususa na maandamano kipo tu kwa ajili ya maslahi ya Wakristo. Waislamu wanadanganywa wakidhani hicho chama kipo kuwatetea WaTz kumbe kipo kwa ajili ya Wakristo. Makafiri wanasaidiana wao kwa wao hivyo waislamu waamke, waungane hili kuuondoa mfumo Kristo. Amesema mfumo huu ulianza zamani,kwani hata 1964, Nyerere aliwafunga kina Chief Fundikira na wenzake kwakuwa walikuwa Waislamu. Akaendelea kuwa hata Azimio la Arusha lilikuwa kiini macho kwani liliwalenga Waislamu hata mali zilizotaifishwa zilikuwa za Waislamu Wahindi kwani wakati huo wakristo wengi walikuwa makarani na hawakuwa na chochote. Kwa hiyo Azimio lililenga kuwakandamiza Waislamu. Wakristo na mfumo wao wamekanyaga nyoka mkia, au wanamkamata ng'e mkia. Aliendelea
kusema
>>  kuwa imefika sasa Waislamu kuongea lugha wanayoilewa makafiri kwani wao hawataelewa kama waislamu wataendelea kuongea kwa njia ya makongamano kama haya. Kuendelea kudai haki kwa njia hii ya mikutano na makaongamano ni kama mtu anayemwambia mbuzi lugha ya kibinadamu wakati hailewi. Mbuzi lugha yake ni kupigwa ndipo huelewa. Ndivyo walivyo makafiri. Ifike wakati waislamu waseme basi. Usilamu hauna historia ya kushindwa. Allah alikwisha wahaidi waisalamu ahela, hivyo wao wana kazi mbili tu, KUUA au KUUAWA, na ndipo watapata zawadi ya ahela. Hivyo ndivyo wanaweza kuuondoa mfumo Kristo. Akasisitiza kuwa huko Rwanda ilifika ambapo ilipotakiwa kuubadili mfumo, Mtusi na Mhutu hakuna aliyelala ndani, sasa Waislamu waseme basi. Akasema kuwa hata kama kunasemwa mabadiliko ya katiba, nayo hayatakuwa na maana kama bado kuna mfumo Kristo. Akasema kwa mfano waislamu wanabaguliwa hata kama katiba inakataza ubaguzi, hivyo, shida si katiba bali ni mfumo Kristo.
>>  Amesisitiza kuwa Waislamu hawana historia ya kushindwa hivyo hata sasa watashinda tu. Amekiponda sana chama cha kususa na maandamano akiwasihi Waislamu wasikiunge mkono. Jamani yamesemwa mengi, laiti ningekuwa mwanahabari ningeadika mengi. Kwa ufupi yule bwana amehamasisha chuki, uuaji, kuchuk

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment