Saturday 22 September 2012

Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA

Mtu asiyeelewa sera na mikakati ya nchi katika sekta fulani asipoteze watu. Niielewavyo kiasi sekta ya Afya serikali ina jinsi inavyoweka viwango vya huduma za afya. Iwapo hakuna hospitali ya wilayani au zahanati ya Kata au Health Centre ya GVT inaweza ikachagua yoyote iliyopo private hapo ambayo ina viwango ikawa designated health facility. Hiyo inaweza ikawa ya bakwata, Aga khan, St Kizito etc. Kama ni ya Kiwilaya-Ikawa designated District Hospital. Ikiwa ya Kitaifa pia na rufaa zote toka zahanati zikaenda health centre hiyo au ya DDH (iwe ya dini ya kikristu, anglican, islam, Lutheran, suni,etc).
 
Ikachagua hupata mchango wa GVT. Kuna health Kit ya mwezi au kila baada ya miezi kadhaa ambapo wilaya huzinunua kwa facility zilizo wilayani kwake. Zile za Kitaifa huzipata Kitaifa Ki-wizara. Hospitali za Rufaa kimkoa-Kitaifa si zote za GVT ni za madhebebu sio ya Kikristu pekee hii mbona inajulikana? Na siku hizi mahospitali makubwa yameongezeka unaweza ukaambiwa uende ukapige picha au uchunguzi fulani hospitali mojawapo-zinatambulika na capacity na kuna ushirikiano na upelekaji vijana kujifunza, kutibu. Serikali hupeleka watumishi inaowalipa mshahara katika designated health facilities kama mchango wake kwani haiwezi kuweka hapo tena facility kama hiyo. Ndio maana KCMC (ni ya kanisa)inatumika kama referral hospital; Ipo DDH ya Dini Serengeti Mjini; Health Centre ya Mikumi ni ya kanisa na ni ya serikali kwa matumizi wanatoka wagonjwa tarafa nzima ya Mikumi na nje yake wanakwenda pale hata wagonjwa wa ajali barabarani.
 
Aga Khan Hospital, Hindu Mandal nani anasema inachukua wahindi tu? Udini upo wapiila uwezo wa mtu tu na nyingine tele za dini (Wahindi) zinatambulika kitaifa na zahanati za Bakwata.
 
Ni kweli bahadhi ya madhehebu yapo nyuma katika kujenga mashule, huduma za afya na vyuo vikuu. Lakini baadhi za dini zinatoa mafunzo ya wauguzi yanayotambuliwa kitaifa na kimataifa, Wana miradi ya extension services kimkoa taifa inayoitambua (Aga Khan, KCMC). Aga Khan wana miradi ya maendeleo ya kilimo cha kulima mpunga na umwagiliaji maji, shule za watoto wagogo you name it wanayo.Na akija kiongozi wao Taifa linamtambua na kumpokea. Sio tu viongozi wa kikristu. 
 
Baadhi ya madhehebu huduma zao bado hazijakua. Wenzao ni michango ya waumini katika madhehebu yao wanafika kuwa hata na vituo vya kulelea yatima, wazee etc, mashule yenye standard nzuri. Michango ya shs 200/=  kwa kila muumini kwa siku inafika laki 6 sala moja mpaka jioni milioni 4. Kwa mahekalu 10 katika mji ni milioni 40 kwa siku, kwa mwezi, mwaka, miaka-wanajenga huduma mojawapo kutoa huduma kumtukuza Mungu. Kanisa la Efatha Mwenge limeanzisha na Bank inatoa mikopo kwa waumini wake. Mama Lwakatare ana kanisa lake ana misaada huko, mashule na magari kibao, waumini anabeba bure kwa makari yake.
 
Dini yoyote inaweza ikaweka huduma nzuri ikitaka na kama wanaona umuhimu wake-kusitakiwe kushika mchawi. Pia kutumia misaada yao itokayo e.g. Uarabuni kwa matajiri, Ulaya  kwa wazungu wa madhehebu yao au kwa Aga Khan kuboresha shule na Zahanati/hospitali yao/zao. mashule na vituo vya watoto, kuwa na miradi ya shamba darasa etc na shule kuleta hata walimu/wataalamu toka nje wakawaomba wahisani wao. Tuone mbali badala ya lawama na chuki. Nani kwa mfano anazuia hekali lako lisiwe na shule ya watoto wadogo au zahanati kwa michango yenu na kuzingatia sheria ya nchi na wakafundisha watoto wenu mliosomesha elimu dunia na ahera au elimu ya Bwana yesu na ya Kizungu?? Lakini kama tutajali maslahi binafsi michango itolewapo au unapoletwa toka wahisani-inakuwa tatizo.
 
Tanzania utakuta mtu anaamua kutumia zahanati ya Bakwata, ya Kilutheri au Aga khan au ya serikali kwa uwezo wake na hazijali dini hizo kama asemavyo Muhigo na wengineo. Hata kama wametundika misalaba au mwezi ukutani na mlangoni wewe angalia huduma tu kwa uwezo wako.Mzazi anaamua mwenyewe mwanao aende St Mary Bagamoyo au Kinondoni Muslim au St Augustne au Tegeta college ya wahindi au aishie Madrasa tu na atibiwe Bakwata/Mwananyamala. Mzazi anunue health card 10,000/= watibiwe watu 6 kwa mwaka au wanafuzi 5 kwa elfu 10 kwa mwaka au anywe ujimbi na atumie maelfu anapopata dharura ya ugonjwa.
 

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, 22 September 2012, 11:09
Subject: RE: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
Wewe unaamini kuwa Serikali inatoa mabilioni hayo kuimarisha ukristo? Ipo Serikali ya Namna hiyo?
Kama serikali itatoa fedha kwa hospitali za missioni kwa sababu zinatoa huduma wala si biashara huko ni kuimarisha ukristo? Kuna hospitali yoyote inayotoa huduma kama hizo inayonyimwa ruzuku kwa sababu siyo ya kikriso? Kwanza hospitali hizo zinaendeshwa na makanisa tu lakini ni za wagonjwa bila kujali ni wa imani gani. Tunaziona za Agakhan. ni commecial/bussiness as usual. Ni hospitali za wagonjwa tatajili. Mvumi ya Dodoma au Kilimatinde ni za wagonjwa wote. ndiyo maana serikali huzipa ruzuku.
 
Tusiwe wapumbavu kama ndugu zetu hawa ila tujaribu kuona namna gani tutakwenda nao. Wanakoelekea wanaweza kuleta sokomoko. Kama wakikubaliana kuwa uislamu ni kuua na kuuawa itakuwa balaa kwa sababu ipo siku watalaumu kuwa jua halijawaka sana kwenye maeneo yao--- On Fri, 9/21/12, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Subject: RE: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, September 21, 2012, 11:18 PM

Basi kama yanayosemwa ni kweli,nani anayepaswa kuwajibishwa hapa?mtoaji au mpokeaji?Nani tulimpa dhamana ya kulinda rasmali zetu?....ccm ndio iliyoshika dola,si waache tu kutoa? Long time ago nilikuwa nafikiri ni baadhi tu ya watu fulani wasio na uelewa mzuri ndio wanaoendekeza hizi chuki zisizo na ukweli wowote.Now am almost convinced that some religion beliefs are like cancer.They eat every one regardless of his understand. Regards,Godfrey Ngupula------------------------------On Sat, Sep 22, 2012 07:34 EEST MikiDadi Waziri wrote:>Bwana Mbegu>Hayo yanayosemwa yote ni yakweli, Ndio maana hakuna mtu yeyote mwenye>kukanusha..>On Sep 21, 2012 8:52 PM, "Edgar Mbegu" <http://us.mc1612.mail.yahoo.com/mc/compose?to=embegu@hotmail.com> wrote:>>>  Nape yuko wapi kujibu shutuma? Serikali ya CCM inaongozwa na Maaskofu;>> Serikali ya CCM inawapendelea Wakristo kwa kuwapa mabilioni... Serikali>> haifai hii kumbe!>> Kamati ya Ulinzi na Usalama wapo? Hawa watu si wanatangaza vita kama ile>> ya Rwanda? IGP yupo? Hawa watu si wanapanga kuvuruga maandamano ya CHADEMA>> kwa kutangaza kutoka kupambana nao? Hao watu walipewa kibali cha kufanya>> mkutano wa kidini au wa kisiasa au wa uchochezi?>>>> > Date: Fri, 21 Sep 2012 20:31:38 +0300>> > Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA>> > From: http://us.mc1612.mail.yahoo.com/mc/compose?to=mngonge@gmail.com>> > To: http://us.mc1612.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>> >>> > Inteligensia ilikuwepo na ipo, tatizo mitambo yao iko insensitive na>> > mambo kama hayo na hivyo hayasomeki vizuri kwenye mitambo yao. Wala>> > hawana sababu ya kurekebisha mitambo kwa vile yaliyo ya msingi kwao>> > yanasomeka. Nafikiri yanayosomeka kwao mwayajua>> >>> > 2012/9/21 Godfrey Ngupula <http://us.mc1612.mail.yahoo.com/mc/compose?to=ngupula@yahoo.co.uk>:>> > >>> > > frmapunda,si wewe tu unayeumia.Wakristo wengi wanaumia sana kwa vituko>> vya waislamu na ukimya wa serikali.Kwa mtazamo wangu kwa hali hii naona ni>> hatari sana kwa Tanzania kuongozwa na raisi muislam kwani hawa jamaa kama>> ambavyo hawaamiki kumiliki hata bunduki kwa jamii ya kimataifa,hawaamiki>> hata kidogo kushika dhamana ya juu ya uongozi kama raisi.Tumeona hivyo>> kipindi cha Mwinyi na sasa Jk pia. Kuishi na jamii ya watu hawa inahidi>> umakini na ukali wa hali juu na sio kuwachekeachekea tu.Wakristo wanapoamua>> kuzaa na kuoa kwa mpango ili kutoa malezi bora kwa watoto wao,wao wamepanga>> kuzaliana kwa ustaarabu wa kuku,hao wakristo wakipanda hizo baiskeli,wao>> kinawauma nini? Mimi binafsi ninawashauri sana,wabadikike kama ulimwengu>> ulivyobadilika,wapange uzazi wa mpango na watafute maisha bora kwa watoto>> wao,waache majungu.>> > >>> > > Fr,huku mwanza kuna radio kwa neema,imewafungua watu kuhusu haya>> yanayotokea na kanda ya ziwa we are very aware. Jamii ya kikristo iko>> makini sana na ina mipango madhubuti sana ktk chaguzi zijazo.maombi pia>> yanaendelea na umakini wa hali ya juu unachukuliwa.Hakika,wanazaa watoto>> kama kuku kwa lengo la kuijaza tz wjtafanikiwa lak4ni ni ktk magereza na>> magereji.Maisha bora kwa mtanzania yataletwa na mtazania mwenyewe. Wahutu>> waliwaua watusti,leo hali ikoje huko burundi?anayetawala ni nani?wahutu au>> watusti?.vipaji akili na hekima ni tunda la kumcha Mungu wa kweli.Mungu wa>> vurugu hakika yake,hatafanikiwa Tanzania.Regards,Godfrey Ngupula>> > >>> > > ------------------------------>> > > On Fri, Sep 21, 2012 4:40 PM EEST http://us.mc1612.mail.yahoo.com/mc/compose?to=frmapunda91@gmail.com wrote:>> > >>> > >On Monday, March 28, 2011 6:21:21 AM UTC-7, Henry Kaisi wrote:>> > >> Wakati habari juu ya babu huko Loliondo zinapumzika kidogo, naomba>> niwape na haya niliyoyasikia kwa masikio yangu kutoka redio Imani. Hii ni>> redio ya Waislamu ambayo inatangaza kutokea mkoa wa Morogoro. Sijui kama>> husikika nchi nzima au la. Hapa kwetu Arusha kulikuwa na kongamano kubwa la>> Waislamu wa madhehebu yote, jana Jpili na lilianza tangu asubuhi hadi>> jioni. Walikuwepo watoa mada mbalimbali, lakini mimi nilifanikiwa kumsikia>> mmoja, pamoja na immamu wa mkoa aliyetoa maazimio ya kongamano.Bila shaka>> magazeti yataripoti vizuri. Nimesukumwa kuandika tena kwa urefu kwani>> nilisikitika sana kusikia maneno ambayo sikuwahi kuyasikia tangu nizaliwe>> yakiongelewa hadharani ndani ya nchi yangu. Nakumbuka nilisoma maazimio ya>> Mwanza, lakini hii imenistua sana. Kama tunamwomba Mungu basi tuongeze>> nguvu, kama hatuombi basi tuanze. Kwa mtindo huu, ninawasiwasi na amani ya>> Tanzania ambayo tumejivunia miaka hamsini sasa. Mliopata neema ya kupata>> nafasi za juu>> > > serikalini, sijui serikali inayaonaje mambo haya. Hayajaanza leo, ila>> imeyaachia yaendelee. Makanisa yanazidi kuchomwa, hakuna msikiti uliwahi>> kuchomwa kama sijakosea. Wakristo wanavamiwa na kupigwa, hakuna mhadhara wa>> Waislamu uliwahi kuvamiwa. Redio Imani na magazeti ya Kiislamu (mfano>> Al-alnuur) yanazidi kumwaga sumu ya udini, na ubaguzi, na chuki, lakini>> sijawahi kusikia vyombo hivi vikikemewa. Huu, ukimya wa serikali na vyombo>> vyake, sijui maana yake ni nini? Sumu hii ikiishapandwa kuing'oa ni kazi.>> Jamaa hawa walifanya mambo yao sirini tangu enzi za Mwinyi, na sasa,>> wameamua kuyaweka wazi na kuhamasisha Watanzania waziwazi tuuane. Haiingii>> akilini mwangu. Je, viongozi wetu wa dini wanazo taaarifa za kutosha kuhusu>> mambo haya? Wanachukua hatua gani? Je, sisi tuchukue hatua gani? Shehe>> Ilunga Hassan ndiye niliyeweza kumsikia. Ameongea mambo mengi, lakini yote>> ni ya kupandikiza chuki ndani ya Watanzania. Ameanza kwa kutoa pongezi kwa>> kile Waislamu>> > > walichokifanya huko Mto wa mbu (Arusha) kwa kuwapiga wachungaji, na>> kuwajeruhi, nk. Amesisitiza kuwa Tanzania inaongozwa na mfumo Kristo. Na>> sasa umefika wakati mfumo huo uondolewe na hiyo ndiyo itakuwa pona ya>> Waislamu. Serikali inaongozwa na maaskofu. Wao ndiyo wanaweza kumwambia>> rais tunataka hiki au la. Amesisitiza kuwa amani tunayoiona TZ ipo kwa>> gharama ya Waislamu. Umefika wakati Waislamu waseme basi kwa mfumo Kristo>> ili na Wakristo wabebe gharama ya amani hii. Ametoa takwimu kuwa mwaka 1992>> Serikali iliingia mkataba na Wakristo, na tangu hapo imekuwa ikitoa fedha>> za kuwaendeleza wao huko Waislamu wakibaki nyuma. Kwa mfano, mwaka 2009,>> serikali imetoa bilioni 45, mwaka 2010 bilioni 54, na mwaka huu kwa miezi>> miwili hii na siku imekwisha toa bilioni 611, zote hizi zikiwa ni>> kuwaendeleza Wakristo. Wakati serikali ikifanya hayo yote, Waislamu>> wameachwa nyuma na watoto wao wamezidi kuwa wamachinga huku watoto wa>> Wakristo wakiendesha baiskeli za>> > > kizungu na kufurahia beach. Amesema ifike mahali Waislamu waamue kama>> walivyofanya Wahutu dhidi ya Watutsi. Ati Kikwete hawezi kuongoza nchi bila>> maaskofu, maana kila analotaka kufanya lazima awaone. Amesema kuwa Chama>> cha kususa na maandamano kipo tu kwa ajili ya maslahi ya Wakristo. Waislamu>> wanadanganywa wakidhani hicho chama kipo kuwatetea WaTz kumbe kipo kwa>> ajili ya Wakristo. Makafiri wanasaidiana wao kwa wao hivyo waislamu waamke,>> waungane hili kuuondoa mfumo Kristo. Amesema mfumo huu ulianza zamani,kwani>> hata 1964, Nyerere aliwafunga kina Chief Fundikira na wenzake kwakuwa>> walikuwa Waislamu. Akaendelea kuwa hata Azimio la Arusha lilikuwa kiini>> macho kwani liliwalenga Waislamu hata mali zilizotaifishwa zilikuwa za>> Waislamu Wahindi kwani wakati huo wakristo wengi walikuwa makarani na>> hawakuwa na chochote. Kwa hiyo Azimio lililenga kuwakandamiza Waislamu.>> Wakristo na mfumo wao wamekanyaga nyoka mkia, au wanamkamata ng'e mkia.>> Aliendelea kusema>> > > kuwa imefika sasa Waislamu kuongea lugha wanayoilewa makafiri kwani>> wao hawataelewa kama waislamu wataendelea kuongea kwa njia ya makongamano>> kama haya. Kuendelea kudai haki kwa njia hii ya mikutano na makaongamano ni>> kama mtu anayemwambia mbuzi lugha ya kibinadamu wakati hailewi. Mbuzi lugha>> yake ni kupigwa ndipo huelewa. Ndivyo walivyo makafiri. Ifike wakati>> waislamu waseme basi. Usilamu hauna historia ya kushindwa. Allah alikwisha>> wahaidi waisalamu ahela, hivyo wao wana kazi mbili tu, KUUA au KUUAWA, na>> ndipo watapata zawadi ya ahela. Hivyo ndivyo wanaweza kuuondoa mfumo>> Kristo. Akasisitiza kuwa huko Rwanda ilifika ambapo ilipotakiwa kuubadili>> mfumo, Mtusi na Mhutu hakuna aliyelala ndani, sasa Waislamu waseme basi.>> Akasema kuwa hata kama kunasemwa mabadiliko ya katiba, nayo hayatakuwa na>> maana kama bado kuna mfumo Kristo. Akasema kwa mfano waislamu wanabaguliwa>> hata kama katiba inakataza ubaguzi, hivyo, shida si katiba bali ni mfumo>> Kristo.>> > > Amesisitiza kuwa Waislamu hawana historia ya kushindwa hivyo hata sasa>> watashinda tu. Amekiponda sana chama cha kususa na maandamano akiwasihi>> Waislamu wasik-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+http://us.mc1612.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment