Friday 21 September 2012

RE: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA

Basi kama yanayosemwa ni kweli,nani anayepaswa kuwajibishwa hapa?mtoaji au mpokeaji?Nani tulimpa dhamana ya kulinda rasmali zetu?....ccm ndio iliyoshika dola,si waache tu kutoa?

Long time ago nilikuwa nafikiri ni baadhi tu ya watu fulani wasio na uelewa mzuri ndio wanaoendekeza hizi chuki zisizo na ukweli wowote.Now am almost convinced that some religion beliefs are like cancer.They eat every one regardless of his understand. Regards,Godfrey Ngupula

------------------------------
On Sat, Sep 22, 2012 07:34 EEST MikiDadi Waziri wrote:

>Bwana Mbegu
>Hayo yanayosemwa yote ni yakweli, Ndio maana hakuna mtu yeyote mwenye
>kukanusha..
>On Sep 21, 2012 8:52 PM, "Edgar Mbegu" <embegu@hotmail.com> wrote:
>
>> Nape yuko wapi kujibu shutuma? Serikali ya CCM inaongozwa na Maaskofu;
>> Serikali ya CCM inawapendelea Wakristo kwa kuwapa mabilioni... Serikali
>> haifai hii kumbe!
>> Kamati ya Ulinzi na Usalama wapo? Hawa watu si wanatangaza vita kama ile
>> ya Rwanda? IGP yupo? Hawa watu si wanapanga kuvuruga maandamano ya CHADEMA
>> kwa kutangaza kutoka kupambana nao? Hao watu walipewa kibali cha kufanya
>> mkutano wa kidini au wa kisiasa au wa uchochezi?
>>
>> > Date: Fri, 21 Sep 2012 20:31:38 +0300
>> > Subject: Re: [wanabidii] Re: NILICHOSIKIA KONGAMANO LA KIISILAMU ARUSHA
>> > From: mngonge@gmail.com
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> > Inteligensia ilikuwepo na ipo, tatizo mitambo yao iko insensitive na
>> > mambo kama hayo na hivyo hayasomeki vizuri kwenye mitambo yao. Wala
>> > hawana sababu ya kurekebisha mitambo kwa vile yaliyo ya msingi kwao
>> > yanasomeka. Nafikiri yanayosomeka kwao mwayajua
>> >
>> > 2012/9/21 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
>> > >
>> > > frmapunda,si wewe tu unayeumia.Wakristo wengi wanaumia sana kwa vituko
>> vya waislamu na ukimya wa serikali.Kwa mtazamo wangu kwa hali hii naona ni
>> hatari sana kwa Tanzania kuongozwa na raisi muislam kwani hawa jamaa kama
>> ambavyo hawaamiki kumiliki hata bunduki kwa jamii ya kimataifa,hawaamiki
>> hata kidogo kushika dhamana ya juu ya uongozi kama raisi.Tumeona hivyo
>> kipindi cha Mwinyi na sasa Jk pia. Kuishi na jamii ya watu hawa inahidi
>> umakini na ukali wa hali juu na sio kuwachekeachekea tu.Wakristo wanapoamua
>> kuzaa na kuoa kwa mpango ili kutoa malezi bora kwa watoto wao,wao wamepanga
>> kuzaliana kwa ustaarabu wa kuku,hao wakristo wakipanda hizo baiskeli,wao
>> kinawauma nini? Mimi binafsi ninawashauri sana,wabadikike kama ulimwengu
>> ulivyobadilika,wapange uzazi wa mpango na watafute maisha bora kwa watoto
>> wao,waache majungu.
>> > >
>> > > Fr,huku mwanza kuna radio kwa neema,imewafungua watu kuhusu haya
>> yanayotokea na kanda ya ziwa we are very aware. Jamii ya kikristo iko
>> makini sana na ina mipango madhubuti sana ktk chaguzi zijazo.maombi pia
>> yanaendelea na umakini wa hali ya juu unachukuliwa.Hakika,wanazaa watoto
>> kama kuku kwa lengo la kuijaza tz wjtafanikiwa lak4ni ni ktk magereza na
>> magereji.Maisha bora kwa mtanzania yataletwa na mtazania mwenyewe. Wahutu
>> waliwaua watusti,leo hali ikoje huko burundi?anayetawala ni nani?wahutu au
>> watusti?.vipaji akili na hekima ni tunda la kumcha Mungu wa kweli.Mungu wa
>> vurugu hakika yake,hatafanikiwa Tanzania.Regards,Godfrey Ngupula
>> > >
>> > > ------------------------------
>> > > On Fri, Sep 21, 2012 4:40 PM EEST frmapunda91@gmail.com wrote:
>> > >
>> > >On Monday, March 28, 2011 6:21:21 AM UTC-7, Henry Kaisi wrote:
>> > >> Wakati habari juu ya babu huko Loliondo zinapumzika kidogo, naomba
>> niwape na haya niliyoyasikia kwa masikio yangu kutoka redio Imani. Hii ni
>> redio ya Waislamu ambayo inatangaza kutokea mkoa wa Morogoro. Sijui kama
>> husikika nchi nzima au la. Hapa kwetu Arusha kulikuwa na kongamano kubwa la
>> Waislamu wa madhehebu yote, jana Jpili na lilianza tangu asubuhi hadi
>> jioni. Walikuwepo watoa mada mbalimbali, lakini mimi nilifanikiwa kumsikia
>> mmoja, pamoja na immamu wa mkoa aliyetoa maazimio ya kongamano.Bila shaka
>> magazeti yataripoti vizuri. Nimesukumwa kuandika tena kwa urefu kwani
>> nilisikitika sana kusikia maneno ambayo sikuwahi kuyasikia tangu nizaliwe
>> yakiongelewa hadharani ndani ya nchi yangu. Nakumbuka nilisoma maazimio ya
>> Mwanza, lakini hii imenistua sana. Kama tunamwomba Mungu basi tuongeze
>> nguvu, kama hatuombi basi tuanze. Kwa mtindo huu, ninawasiwasi na amani ya
>> Tanzania ambayo tumejivunia miaka hamsini sasa. Mliopata neema ya kupata
>> nafasi za juu
>> > > serikalini, sijui serikali inayaonaje mambo haya. Hayajaanza leo, ila
>> imeyaachia yaendelee. Makanisa yanazidi kuchomwa, hakuna msikiti uliwahi
>> kuchomwa kama sijakosea. Wakristo wanavamiwa na kupigwa, hakuna mhadhara wa
>> Waislamu uliwahi kuvamiwa. Redio Imani na magazeti ya Kiislamu (mfano
>> Al-alnuur) yanazidi kumwaga sumu ya udini, na ubaguzi, na chuki, lakini
>> sijawahi kusikia vyombo hivi vikikemewa. Huu, ukimya wa serikali na vyombo
>> vyake, sijui maana yake ni nini? Sumu hii ikiishapandwa kuing'oa ni kazi.
>> Jamaa hawa walifanya mambo yao sirini tangu enzi za Mwinyi, na sasa,
>> wameamua kuyaweka wazi na kuhamasisha Watanzania waziwazi tuuane. Haiingii
>> akilini mwangu. Je, viongozi wetu wa dini wanazo taaarifa za kutosha kuhusu
>> mambo haya? Wanachukua hatua gani? Je, sisi tuchukue hatua gani? Shehe
>> Ilunga Hassan ndiye niliyeweza kumsikia. Ameongea mambo mengi, lakini yote
>> ni ya kupandikiza chuki ndani ya Watanzania. Ameanza kwa kutoa pongezi kwa
>> kile Waislamu
>> > > walichokifanya huko Mto wa mbu (Arusha) kwa kuwapiga wachungaji, na
>> kuwajeruhi, nk. Amesisitiza kuwa Tanzania inaongozwa na mfumo Kristo. Na
>> sasa umefika wakati mfumo huo uondolewe na hiyo ndiyo itakuwa pona ya
>> Waislamu. Serikali inaongozwa na maaskofu. Wao ndiyo wanaweza kumwambia
>> rais tunataka hiki au la. Amesisitiza kuwa amani tunayoiona TZ ipo kwa
>> gharama ya Waislamu. Umefika wakati Waislamu waseme basi kwa mfumo Kristo
>> ili na Wakristo wabebe gharama ya amani hii. Ametoa takwimu kuwa mwaka 1992
>> Serikali iliingia mkataba na Wakristo, na tangu hapo imekuwa ikitoa fedha
>> za kuwaendeleza wao huko Waislamu wakibaki nyuma. Kwa mfano, mwaka 2009,
>> serikali imetoa bilioni 45, mwaka 2010 bilioni 54, na mwaka huu kwa miezi
>> miwili hii na siku imekwisha toa bilioni 611, zote hizi zikiwa ni
>> kuwaendeleza Wakristo. Wakati serikali ikifanya hayo yote, Waislamu
>> wameachwa nyuma na watoto wao wamezidi kuwa wamachinga huku watoto wa
>> Wakristo wakiendesha baiskeli za
>> > > kizungu na kufurahia beach. Amesema ifike mahali Waislamu waamue kama
>> walivyofanya Wahutu dhidi ya Watutsi. Ati Kikwete hawezi kuongoza nchi bila
>> maaskofu, maana kila analotaka kufanya lazima awaone. Amesema kuwa Chama
>> cha kususa na maandamano kipo tu kwa ajili ya maslahi ya Wakristo. Waislamu
>> wanadanganywa wakidhani hicho chama kipo kuwatetea WaTz kumbe kipo kwa
>> ajili ya Wakristo. Makafiri wanasaidiana wao kwa wao hivyo waislamu waamke,
>> waungane hili kuuondoa mfumo Kristo. Amesema mfumo huu ulianza zamani,kwani
>> hata 1964, Nyerere aliwafunga kina Chief Fundikira na wenzake kwakuwa
>> walikuwa Waislamu. Akaendelea kuwa hata Azimio la Arusha lilikuwa kiini
>> macho kwani liliwalenga Waislamu hata mali zilizotaifishwa zilikuwa za
>> Waislamu Wahindi kwani wakati huo wakristo wengi walikuwa makarani na
>> hawakuwa na chochote. Kwa hiyo Azimio lililenga kuwakandamiza Waislamu.
>> Wakristo na mfumo wao wamekanyaga nyoka mkia, au wanamkamata ng'e mkia.
>> Aliendelea kusema
>> > > kuwa imefika sasa Waislamu kuongea lugha wanayoilewa makafiri kwani
>> wao hawataelewa kama waislamu wataendelea kuongea kwa njia ya makongamano
>> kama haya. Kuendelea kudai haki kwa njia hii ya mikutano na makaongamano ni
>> kama mtu anayemwambia mbuzi lugha ya kibinadamu wakati hailewi. Mbuzi lugha
>> yake ni kupigwa ndipo huelewa. Ndivyo walivyo makafiri. Ifike wakati
>> waislamu waseme basi. Usilamu hauna historia ya kushindwa. Allah alikwisha
>> wahaidi waisalamu ahela, hivyo wao wana kazi mbili tu, KUUA au KUUAWA, na
>> ndipo watapata zawadi ya ahela. Hivyo ndivyo wanaweza kuuondoa mfumo
>> Kristo. Akasisitiza kuwa huko Rwanda ilifika ambapo ilipotakiwa kuubadili
>> mfumo, Mtusi na Mhutu hakuna aliyelala ndani, sasa Waislamu waseme basi.
>> Akasema kuwa hata kama kunasemwa mabadiliko ya katiba, nayo hayatakuwa na
>> maana kama bado kuna mfumo Kristo. Akasema kwa mfano waislamu wanabaguliwa
>> hata kama katiba inakataza ubaguzi, hivyo, shida si katiba bali ni mfumo
>> Kristo.
>> > > Amesisitiza kuwa Waislamu hawana historia ya kushindwa hivyo hata sasa
>> watashinda tu. Amekiponda sana chama cha kususa na maandamano akiwasihi
>> Waislamu wasik

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment