Friday 7 September 2012

Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...

Wakubwa, mimi nilifikiri Press club pamoja na mambo mengine ingewasaidia wasiojua haki zao?
Mfano wangeweza kuwaalika wazoefu wakatoe mada ili kuwawezesha kujua abc ya kazi!
Ina maana wanahabari nao wanafanya kazi za dai waka?
 
Anzieni hapo: Tengenezeni inventory kujua nani hana Bima nani Anayo?  Bima ni muhimu sana hasa katika vipindi vya majanga! kuchanga kuna nafasi yake katika jamii.
 
Nawaza kwa nguvu tu!
Anna

From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 7, 2012 6:26 AM
Subject: RE: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...
Matinyi,

Kwanza Ahsante kwa ufafanuzi. Binafsi nimewahi kufanya kazi kama correspondent wa mashirika ya habari ya nje na nitatoa mfano wa hivi karibuni wa Al-Jazeera.

Mwaka jana Septemba nilipewa mkataba wa miezi mitatu na Aljazeera siyo kama mwajiriwa bali kama correspondent ambaye kazi yangu ilikuwa ni kutafiti, kuchunguza na hatimaye kuandaa programme ya TV kuhusu kuibuka upya kwa mauaji ya albino, Kanda ya ziwa.

 Mkataba huu pamoja na mambo mengine ulieleza haki zangu za msingi kama malipo, bima ya usalama kwa kipindi hicho, mambo ninayotakiwa kufanya na nisiyotakiwa kufanya, na mengineyo mengi ya kisheria.

Pia nilisaini nilitakiwa kupeleka ripoti ya daktari inayoeleza kama niko fit kiafya.

Pili nikasaini mkataba mwingine kuhusu usalama wangu kazini kwamba endapo nitaumia au kufariki kazini haki zangu ni zipi, na nani awe msimamizi. unaweza kuchagua mkeo, nduguyo, mwanao au mwanasheria wako.

Huu mkataba wa usalama unakuonya wazi kwamba kazi unayokwenda kuifanya inaweza kugharimu maisha yako na unakubali kwamba unalijua hilo.

 Kwa miezi mitatu nilikuwa na bima ya usalama kazini toka Uingereza, inayosimamia kila kitu na kama ningefia kazini familia yangu ingelipwa paundi laki 2 lakini kama ningeumia matibabu yote yangegharimikiwa na Insurer.

Sasa Tanzania hali ikoje? TV na radio zetu hazina mikataba na correspondents wao—zaidi ya makubaliano ya kwenye simu. Kwenye print, ni Mwananchi na The Guardian Ltd ambao wanaingia mikataba na correspondents ambao wako retained. Huko kwingine sijui.

 Ndiyo maana saa nyingine sitaki kujadili mambo haya maana ni aibu. Kuna mtangazaji wa TV maarufu sana alikufa ndio ikagundulika kwamba hana mkataba.

 Makosa ni ya pande zote mbili: Wewe unayefurahia kuripoti habari toka Mara na kuonekana kwenye luninga wakati huna mkataba na wewe unayefurahia(Dina Chahali) kurusha habari kwa makeke toka kwa watu ambao huna mkataba nao wala hujawahi kuonana nao achilia mbali kujua kiwango chao cha weledi.

 Mkifanya sensa ya haraka mtagundua kwamba sura nyingi mnazozitazama kwenye luninga toka mikoani au sauti mnazosikiliza ni za watu ambao hawana mikataba—lakini wanaaga wanakwenda kazini.

 Walaaniwe wahariri na wakuu wa vyombo vya habari wanaowafanyisha kazi waaandishi wao bila kuwa na mikataba inayotambulika kisheria.

Vivyo hivyo walaaniwe wanahabari wanaolewa sifa za kuwa kwenye luninga au kusikika redioni huku hawana mkataba wowote.

 Wakati wanahabari wanapokuwa wanaandika ya wengine kutokuwa na mikataba au kulipwa mishahara midogo wakumbuke pia kushughulikia haki zao wakiwa hai na nguvu tele wanazo.

Nitarejea 
--- On Thu, 9/6/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...
To: "Wanabidii googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, September 6, 2012, 6:08 AM

Mollel, Nagusia suala lako la haki za mwandishi anapokufa kazini iwapo ama wakati hakuwa mwajiriwa: 1. Si lazima mwandishi awe mwajiriwa na ndivyo ilivyo duniani kote. Anaweza kuwa kitu kingine kwa mujibu wa makubaliano. 2. Ajira ni utamaduni uliozoeleka Tanzania lakini ajira si kila kitu maishani, kwa hiyo tusilazimishe ajira kwenye kila kitu. 3. Mtu anaweza kupata haki zake hata bila kuajiriwa ili mradi kuwe na mkataba wa kazi unaojulikana kisheria na sheria za nchi zinazoheshimiwa hata kama mkataba haupo. 4. Pale ambapo mtu hana mkataba wa kisheria, bado ana haki zake nje ya kazi, mfano hakuna anayezuiwa kuwa na bima ya maisha. Hili sasa ni suala la utamaduni na ufahamu wa mambo au tuseme maendeleo ya jamii yetu wenyewe. Kwani itakuwaje iwapo mtu hutaki kuajiriwa au kuwa chini ya mkataba wenye masharti? 5. Kwa tukio la kifo cha Daudi Mwangosi Channel Ten inawajibika kisheria kuilipa fidia familia yake bila kujali alikuwa na hadhi gani ya ajira kwa kuwa amekufa akiitumikia Channel Ten. Hili ni suala la kwenda mahakamani na kupata hukumu na halikwepeki duniani pote. 6. Kwa kuwa Mwangosi ameuawa na Jeshi la Polisi, basi inatakiwa familia ya marehemu na ikibidi hata na Channel Ten yenyewe waende mahakamani kudai haki na hili nalo ni la kawaida kabisa. Familia ya Lt. Jen Imrani Kombe ilishinda kesi mahakamani na ililipwa. Ni suala la kuzijua haki zilizopo kisheria. Familia ya marehemu huyu ina haki zake zimekaa mahali tuli zinasubiri kuchukuliwa. Asante kwa udadisi wako, Matinyi.    
> Date: Wed, 5 Sep 2012 23:55:59 -0700> From: aramakurias@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...> To: wanabidii@googlegroups.com> > > Mjengwa kwa hili ni usaliti wa kifani. Hv mfano mh mjengwa ungekua ww ndo ulotumbuliwa utumbo ungejisikiaje huko akhera kuona wenzako wanaendelea tu bila hata kukutetea! Kusimama aside eti ww na blogu yako utaendelea kureport habari za kipolisi ni usaliti. Hz habari utareport vp wakati tayar kuna uhasama kati yao na cc! Huoni kua hz habari ni za utetezi tu hao mapolisi, ili mambo yaende lazima walazimishwe kujua umuhimu wanahabari, that we depend each other,bila wanahabari polisi cant perform their duties properly, sasa hata kama wao hawajaua kwanini washindwe kutuprotect! Kuna haja ya kugomea kureport habar zao. Mjengwa kama vp nae atengwe tu make hes like betraying, hafu jamani wapi press clubs zetu, wapi journalist associations, kwa hili ilikua na kutoa tamko la pamoja kutoshiriki tena shughuli zozote za kipolisi bw. But its seem kuna gap hapa. We need to think big jamani na tujitetee make 2015 bado hatujafika na cjui itakuaje, nahisi waandishi> wataogopa na kuhama fani. Lingine nimeambiwa daud hakua na mkataba rasmi na channel tena, this is another gap, hv umoja wa wanahabari, au jukwaa la wahariri kwanini msilazimishe moat watu waajiriwe jamani. Embu chek sasa david kafia kazini who will pay his family, na itakuaje? Watoto wake wataishije, hakuna insurance yoyote! This is another gap. Eh taabu tupu hapa> ------------------------------> On Thu, Sep 6, 2012 2:26 AM EDT martin pius wrote:> > >Ukweli ni kuwa,> >> >Katika migomo huwa wapo watu wachache ambao hawaoni sababu ya kufanya hivyo na huwa wana sababu nzuri zinazowaridhisha wao kufanya hivyo. Ila nilichojifunza ni kuwa wanakuwa wanajitoa kwenye jamii au kundi lao taratibu na kwa uhakika! Siku yakiwakuta wao wanajikuta wako peke yao. > >> >> >> >--- On Thu, 6/9/12, Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com> wrote:> >> >From: Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>> >Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...> >To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>> >Date: Thursday, 6 September, 2012, 9:05> >> >Mjengwa kwenda kinyume na maazimio ya wanahabari wenzako ni usaliti wa hali ya juu. Kama ulikuwa na hoja ya msingi ulistahili kuijenga hoja hiyo kwenye kikao cha maamuzi na kuweza kuwashawishi wanahabari wenzako juu ya kila unachokiona kuwa ni sahihi; namna nyingine yeyote kwa maelezo yoyote yale, hakuna maelezo mazuri zaidi kuwa utakuwa ni msaliti wa wanahabari wenzako.> > > >Siku zote ni Umoja unaoleta mabadiliko.> > > >Nakubaliana na Matinyi kuwa mgomo ni lazima ukuumize wewe kwanza kabla ya kumwumiza unayemgomea, na ndipo mafanikio yapatikane. Mjengwa hujanishawishi bado kuweza kuamini kuwa uamuzi wako wewe mmoja ni wa busara kuliko uamuzi wa wanahabari wenzako wote kwa pamoja.> > > >Bart> >> > > >> >From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>> >To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com> > >Sent: Thursday, September 6, 2012 8:49 AM> >Subject: RE: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...> >> >> >> >> > > >> >> >> >> >Mgomo una sifa moja, kwamba yule anayegoma ni lazima aumie kwa upande fulani lakini mwisho wa siku anakipata kile anachokitaka.   > >> >> >Date: Wed, 5 Sep 2012 22:38:24 -0700 From: ansbertn@yahoo.com Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi... To: wanabidii@googlegroups.com > >> >> >> >> >Mjengwa,> >> >Wasikilize kwanza waandishi wenzio, si polisi. Usiwavunje moyo, an usiwe mgumu kuguswa na hili linalotusibu. Katika hali hii ya msiba huu mbichi kabisa, kukejeli au kupuuza waandishi wale wale ambao mwenzao kauawa juzi eti kwa kuwa alikuwa "anauliza uliza maswali sana" ni dhambi kubwa; na harakati wanazofanya waandishi zinakuhusu, na zinalenga kukunusuru, hata wewe. > >> >Kumbuka, hata waandishi ni sehemu ya jamii. Lakini hawataki kutumiwa kama mifereji ya kupitisha propaganda chafu za polisi katika mazingira ambao polisi wenyewe wanataka kutumia fursa hiyo kunyanyasa jamii. Wewe andika, lakini ujue kuwa huitendei haki jamii hiyo hiyo unayoizungumzia.> >> >> >Ansbert Ngurumo> >Deputy Managing Editor> >Free Media> >> >P.O. Box 15261> >Dar es Salaam> >Tanzania> >> >Mobile      .+255 719 001 001> >                  +255 767 172 665> >http://www.freemedia.co.tz/> >http://www.voxmediatz.com/ > >http://www.ngurumo.wordpress.com/> >http://www.ngurumo.blogspot.com/> >> >> >> >> >--- On Thu, 9/6/12, maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:> >> >> >From: maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>> >Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...> >To: wanabidii@googlegroups.com> >Date: Thursday, September 6, 2012, 1:16 AM> >> >> >Mubelwa, Nakushukuru kwa kunielewa, na umeliweka vizuri hasa unapoandika; " Huwezi kumkomoa mtu kwa kutenda kile asichojali". > >2012/9/5 Mubelwa Bandio <changamoto@gmail.com> > >Salaam Mwenyekiti.> >Waliogomea kuandika habari za kiPolisi wanaamini kuwa POLISI HAWAJALI KUHUSU JAMII.> >LABDA NI KWELI.> >Na...Ni kwa sababu hiyohiyo naamini kuwa kwa kuwa habari za kipolisi haziwanufaishi polisi bali jamii, kugoma kuandika ni kuipa adhabu ya pili jamii.> >Huwezi kumkomoa mtu kwa kutenda kile asichojali> >> >Nakuunga mkono.> >ANDIKA TU....KWA MANUFAA YA JAMII> >> > On Wednesday, September 5, 2012 6:04:33 PM UTC-4, maggid mjengwa wrote:> >> >Ndugu zangu,> >> >> >Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la  polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti  habari zinazotoka kwenye  jeshi la polisi.> >> >> >Mjengwablog, kama chombo cha habari na mawasiliano ya kijamii,  ina mtazamo wa kuendelea kuripoti habari za kipolisi, za kutoka ndani na nje ya jeshi hilo  ikiwamo taarifa za kichambuzi.> >> >> >Tunafanya hivyo tukiamini, kuwa habari za kipolisi kwa kiasi kikubwa ni habari zenye kuihusu jamii.> >> >> >Maggid Mjengwa,> >Mwenyekiti Mtendaji,> >Mjengwablog.> >Iringa0788 111 765> >http://mjengwablog.com> >-- > >Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/> >Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/> >Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/> > > >Kujiondoa Tuma Email kwenda > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma> > > >Disclaimer:> >Everyone posting to this Forum bears the> > sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.> > > > > > -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and> > Guidelines.     -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.     -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.     > >> >> >> >-- > >> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com> >> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com> >> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com> >> > > >> >Kujiondoa Tuma Email kwenda > >> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma> >> > > >> >Disclaimer:> >> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.> >> > > >> > > >> >-- > >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com> >> >Kujiondoa Tuma Email kwenda > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma> >> >Disclaimer:> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.> >> >> > -- > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com> > Kujiondoa Tuma Email kwenda > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma> > Disclaimer:> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.> >
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

0 comments:

Post a Comment