Saturday 1 September 2012

Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

How can they be heard if not induced themselves into un profitable debate? I normally wonder why always we prefer listen to them while we no for sure kwamba shari kwao mtaji.and as i think in ten years to come people will also ask why cant the govt distribute equally donations to christian based academuc institution with the islamuc one. Very funy to hear abt these things.actually they could simply understand that no relation btn census and ones faith

------------------------------
On Sat, Sep 1, 2012 3:25 PM EEST Nico Eatlawe wrote:

>Mambo mengine ni upuuzi na kutafuta shari bila sababu. It boring to see naive arguments!
>
>
>
>>________________________________
>> From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
>>To: Wanabidii Mawazo <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Saturday, 1 September 2012, 12:31
>>Subject: RE: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>>
>>
>>
>>Amour (Walewale)
>>Ni nani anawafelisha Waislamu lakini? Na anawafelisha namna gani? Je si namba tu hutumika katika mitihani? Msahihishaji anajuaje kwamba hii ni namba ya wanafunzi Mwislamu na anamfelisha kwa makusudi? Je, hakuna wasahihishaji wa mitihani Waislamu? Je hakuna wanafunzi Wakristo wanaofeli? Je, wale Waislamu wanaofaulu, wamefaulu kivipi? Au kuna baadhi tu ya Waislamu ndio wanaobaguliwa? Waislamu walioajiriwa katika ngazi mbali mbali: uprofesa, ukurugenzi n.k. wemefikaje huko kama wananyimwa ajira? Si wangeishia tu katika utarishi?
>>
>> 
>>
>>
>>
>>________________________________
>>
>Date: Sat, 1 Sep 2012 01:58:56 -0700
>>From: abachamani@yahoo.com
>>Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>Reuben,
>>Mambo siyo rahisi kiasi hicho.
>>Huo ujinga namna ya kuondokana nao baada ya Mwenyeheri Nyerere na watawala wengine kushindwa ni kwa kusoma lakini bahati mbaya ninyi wateule wenye nchi hamtaki.Mnatufelisha na kutukatisha tamaa huku waliobahatika mkiwanyima ajira na vyeo.
>>Unasema hatujafanya utafiti.Narudia tena mnataka utafiti gani akina Tomaso ninyi?
>>Tutaendelea kusema na kufuga ndevu kama alivyofanya bwana YESU hata kama utatutukana kiasi gani.Hii ni imani yetu.Mkimaliza mnasema habari ya undugu na Utanzania.
>>Chamsingi punguza roho mbaya na chuki.Sijui mnaipata wapi ninyi watu.
>>Au ndivyo yalivyo mafundisho ya imani yenu.
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>________________________________
>> From: Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Friday, August 31, 2012 8:05 AM
>>Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>>
>>
>>Comrades;
>>Binafsi naona kuendelea kujadiliana kuhusu hii mada is to involve and use our resource(time) in a very good wrong direction, tunatumia muda wetu kujadili majungu ya hawa ndugu and at a given time watakuja kujisifia kwamba waliweza ku-grab the interest of the whole Group.
>> 
>>Mambo ambayo hawajayafanyia utafiti definetely ni majungu 100% na hasa ukiangalia kuwa wanafanya tu direct translation ya maneno bila kuangalia nini hasa Mission na objectives za hayo wanayoita 'Majeshi'. Inashangaza sana kuona watu wanakwenda mpaka katika vyombo vya habari kudai vitu ambavyo havipo  na pia hawana uhakika na ukiwabana watoe facts wanaishia kutoa vitisho.
>> 
>>Kila binadamu anaweza kuwa na kiwango flani cha ujinga wake kama ilivyo kwa wendawazimu, lakini mtu mstaarabu huwa anajaribu kutoweka hadharani na kuupunguza kwa kutafuta taarifa husika,lakini hii sasa ni kuweka sebuleni ujinga wako ili uonekane kwa kila mtu na bila kuonyesha juhudi zozote za kuondokana nao.
>> 
>>''Every one is responsible for his/her destiny''. Matatizo yaliyotokana na uzembe wangu hayawezi kuisha kwa kusingizia kaka,dada n.k. then mimi niendelee kupiga domo na kufuga madevu tu,lazima juhudi zangu zionekane ndipo hata ndugu wanaweza kusaidia.
>>Reuben
>>
>>
>>----- Original Message -----
>> From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Cc:
>> Sent: Thursday, August 30, 2012 7:47 AM
>> Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>>
>> Mara kadhaa nimesikia baadhi ya madai ya ndugu zetu wakidai kuwa:
>>
>> 1) Wakristo wana jeshi linaitwa 'Jeshi la Wokovu' (Salvation Army)
>> pale Mgulani. Haya niliyasikia kwenye mjadala kati ya Waislamu na
>> Wakristo Kariakoo. Nilikuwepo.
>>
>> 2) Kanisa Katoliki lina Jeshi linaitwa 'Commission for Armed Forces'.
>> Hii nimeshaisoma kwenye magazeti na pia kulikuwa na kipindi fulani
>> kwenye TV baadhi ya mashehe walidai walishaandika barua serikalini
>> kupewa ufafanuzi kwa nini serikali ikubali kuwa na majeshi mawili
>> ndani ya nchi lakini hawajajibiwa. Na hata kwenye kitabu cha
>> mwanabidii mwenzetu hapa anadai hivyo. Nilishauliza jeshi hilo liko
>> wapi, linafanya mafunzo wapi na makamanda wake ni akina nani na
>> wananunua silaha kutoka wapi lakini hadi leo hakuna jibu.
>>
>> Madai kama haya ni uongo mkubwa na kwa vile wanaoambiwa mara nyingi si
>> watu wanaofuatilia jambo na kujua kiini chake matokeo yake ni kuamini
>> kuwa ni kweli wakati siyo.
>>
>> Jeshi la Wokovu siyo jeshi la kupigana - ni dhehebu linalotoa huduma
>> za kijamii na wote walio Dar na wameshafika hapo wanajua. Commission
>> for Armed Forces as far as I know siyo mambo ya kijeshi bali ni huduma
>> inayotolewa kwa askari Wakatoliki walio katika majeshi na ambao pia
>> hawapati nafasi ya kushiriki huduma za kiroho kulingana na kazi zao.
>> Kanisa limepanga utaratibu wa kufikisha huduma kama hizo kwao
>> kulingana na mahitaji yao. Kama kuna mtu mwenye ushahidi tofauti na
>> maelezo haya aumwage hapa! Nimesema haya kuendelea kuthibitisha kuwa
>> baadhi ya madai ya hawa ndugu zetu yametungwa/buniwa na yanachanganywa
>> changanywa na 'apparent facts' ili yaonekane ni kweli.
>>
>> Mimi naamini sisi Watz wote kuna mambo yanafanyika katika nchi/ndani
>> ya serikali yetu na yanatukera wote. Sitaki kuamini kuwa katika
>> matatizo yote haya Wakristo wao wana ahueni na Waisalmu ni mbaya
>> zaidi.
>>
>> On 8/29/12, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:
>>>
>>> Bwana Amour (Wale Wale), pole pole, naona karibu utasema '' Liwalo
>> na
>>> liwe!''
>>> 1. Si kweli kwamba Waislamu hawakuunga mkono CCM kwa sababu ya Mahakama ya
>>> Kadhi. Inategemea unamaanisha Waislamu gani. Ushahidi upo kwa sababu
>>> Mahakama hiyo ilipoanza kudaiwa kwa nguvu zaidi baada ya 2005, hoja kubwa
>>> iliyokuwa ikitolewa na Taasisi nyingi za Kiislamu ilikuwa ni kwamba kama
>> CCM
>>> hatatekeleza suala la kuanzisha Mahakama ya Kadhi, ina maana iliweka
>>> kipengee hicho katika ilani yake ili kupata kura za Waislamu
>>> (iliwadanganya). Wote tulikuwapo na tuliisikia hoja hiyo.
>>> Juu ya kwamba Kikwete aliitwa Mbagala Spiritual Centre mwaka 2005 na
>>> kukubaliana na "wakubwa", sasa huu ndio uongo mkubwa ambao
>> unanifanya
>>> niamini kwamba kuna uongo unaoenezwa kwa sababu ambazo ni vigumu kuzijua.
>>> Nasema hivyo kwa sababu mimi mwenyewe nilikuwapo katika semina hiyo ya
>>> wahusika wa vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kutoka Tanzania nzima
>>> (haukuwa mkutano). Na ilifanyika kabla ya kuanza kwa Kampeni za uchaguzi wa
>>> 2005. Sasa kama waandishi wa habari kutoka mikoani wanaweza kuitwa
>> "wakubwa"
>>> na wakatoa maagizo kwa Rais mtarajiwa naye akayatekeleza, ni jambo la
>> ajabu.
>>> Ni semina iliyokuwa wazi na waandishi wa habari wa vyombo vingine tu
>>> walikuwepo!
>>> 2. Ndoa ya Dr. Slaa (Padri) haikuwa hoja ya Waislamu. Wao hoja yao ilikuwa
>>> eti alikuwa ametumwa na Vatican na Kanisa. (Rejea magazeti ya Sauti ya
>>> Waislamu)
>>> 3. Hoja ya kubaguliwa kielimu ni ajabu kwamba hata wewe uliyesoma
>>> unaiendekeza. Kuna Waislamu wangapi wasomi Tanzania? Hata humu jukwaani
>> wamo
>>> Waislamu wasomi, tuna Maprofesa gwiji, madaktari kibao. Sasa hao
>> walisomaje?
>>> Au ubaguzi ulikuwa kwa ajili ya baadhi tu ya Waislamu? Maksi za wanafunzi
>> wa
>>> Kiislamu zitabadilishwaje wapewe Wakristo? Mbona kuna wnafunzi Wakristo
>>> wanaofeli vibaya? Labda mwenzetu unajua, unajuaje kwamba huyu mwanafunzi ni
>>> Mkristo na huyu ni Mwislamu katika kusahihisha mtihani? Si ni namba tu
>> ndizo
>>> hutumika? Halafu walimu huwa kadhaa, na miongoni mwao ni Waislamu. Ikoje
>>> hii?
>>> 4. Suala la mitihani ya dini ya Kiislamu, kwa vile wewe mwenyewe umesema
>>> tume imeundwa kuchunguza, nadhani ni vyema kusubiri matokeo ya uchunguzi.
>>>
>>> Hitimisho
>>> Bwana Amour (Wale Wale), reference yako kwa Mkutano wa Kikwete na
>> "wakubwa"
>>> pale Mbagala Spiritual Centre (kama ni ule ambao na mimi nilikuwepo) na
>>> kwamba "wakubwa"  hao walimpa maagizo, imenikwaza sana na napenda
>> niamini
>>> kwamba it was just a slip of your pen and you did not mean it. Otherwise
>>> kama hata humu jukwaani tutakuwemo watu tunaoeneza uvumi kwa vitu serious
>>> namna hii, naelekea kuamini kuwa uongo na uzushi ni maadui wakubwa
>>> wanaolipeleka taifa hili katika maangamizi! Na hii ni hatari kubwa.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> Date: Wed, 29 Aug 2012 04:41:23 -0700
>>> From: abachamani@yahoo.com
>>> Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>
>>>
>>> Bwana Magobe,
>>> Nimesoma ulichokiandika zaidi ya mara 2 bado sijakuelewa kabisa kama
>>> unalaumu,unauliza au unaelekeza.Ulichosema sitakiandika ila nitajiribu
>>> kujibu na kueleza na pengine kufafanua ninavyojua mimi.
>>>
>>>
>>> 1.Waislam hawakuunga mkono CCM kwasababu ya mahakama ya kadhi.Kumbuka suala
>>> hili lilianza mapema na lilianzishwa na Mh.Mrema alipokuwa mbunge wakati wa
>>> Mkapa.Waislam 2005 walimpinga sana Kikwetena hili linatokea kwenye matamshi
>>> yake aliyoyasema wakati ule alipoteuliwa na Mwinyi kuongoza Wizara ya Fedha
>>> kutoka kwa Prof.Malima.Alimkejeli na kumtukana shujaa wetu
>>> tukamchukia.Pengine ndiyo maana akazawadiwa nafasi ya kugombea urais kwenye
>>> CCM kilichotokea bila shaka kila mmoja anajua.
>>> Alipoingia 2005 akajua njia ya mafanikio ipo Kanisani akaitwa pale Mbagala
>>> Spiritual Center maarufu kama Misheni akakubaliana na wakubwa kisha akaenda
>>> Mbeya kwenye sherehe za waislam na kusema kam si Kanisa angekuwa Bagamoyo
>>> anauza njugu.Akawashambulia Waislam na tangia hapo akawa anaitwa Chaguo la
>>> Mungu huku Waislam wakisema ni chaguo la Kanisa.
>>> Baada ya kupata ushindi mkubwa bila jasho akaanza kuunda serikali lakini
>> cha
>>> kushangaza zile Wizara nyeti akawapa Waislam mkubwa mmoja wa Wakatoliki
>>> akasema "Kiongizi Ndimi mbili Hafai" kilichoendelea baada ya hapo
>> ni hayo
>>> unayoyaeleza ya uchaguzi wa 2010.Yakatoka maazimio ,matamko nk na Waislam
>>> wakayapinga sana kwamba Dini inachanganwa na Siasa.
>>> Bahati mbaya hawakusikilizwa na lakini kama unavyojua adui wa adui baadhi
>>> wakaingia kumpigia kura mwaka huo na ikawa kama ilivyokuwa.
>>>
>>>
>>> 2.La ndoa ya Padri Slaa hizi ni siasa na halijaanzia kwake.1995 tuliambiwa
>>> Prof.Lipumba hakuwa na mke na hakufaa kuongoza nchi na tukaambiwa si lazima
>>> kiongozi wa nchi awe na elimu kubwa ya uprofesa nk hizo ni siasa na hamna
>> la
>>> kuangalia humo.
>>>
>>>
>>> 3.La kadhi naomba nimnukuu Kikwete alichosema kule Dodoma.
>>>
>>> "Mheshimiwa Mufti, Waheshimiwa Masheikh, Ndugu Zangu Waislamu;
>>> Napenda kuwatoa hofu pia kwamba hakuna mkono wa mtu wapo mnadhania hivyo.
>>> Maana, tunajuana. Si ajabu kuna hisia kuwa huenda Kanisa limeingilia kati
>>> kuzuia au kuchelewesha. Siyo hivyo hata kidogo. Tarehe 22 Julai, 2011
>>> nilipoalikwa kuzungumza na Maaskofu katika kikao chao cha Jukwaa la
>> Wakristo
>>> katika risala yao kwangu kuhusu suala la Mahakama ya Kadhi walitoa ushauri
>>> ufuatao kuwa:
>>> "Kuanzisha Mahakama ya Kadhi nchini na jambo zuri linalowahusu Waislamu.
>> Kwa
>>> kuwa ni jambo la kidini waachiwe Waislamu wenyewe walifanye ndani ya
>>> Uislamu, pasipo kutumia hazina ya Serikali ambayo ni fedha ya walipa kodi
>>> wote nchini"
>>> Hiyo ni nukuu kutoka ibara ya 6 ya Risala yao kuhusu Uhuru wa Kuabudu na
>>> dhana ya Udini.
>>> Katika maelezo yangu kwao, niliwahakikishia kuwa mawazo yao yanawiana na
>>> yale ya Serikali kama ilivyoshauriwa na Tume ya Kurekebisha Sheria ambayo
>>> Mwenyekiti wake ni Profesa Ibrahim Juma. Mahakama hii itaundwa na Waislamu
>>> wenyewe ndani ya Uislamu wao na wataiendesha wenyewe na haitagharamiwa na
>>> Serikali."
>>> Sijajua hapo ulitaka kusema nini.
>>>
>>>
>>> 4.Ni aina gani ya ushahidi unaoutaka ili uweze kuamini wewe.Maana
>>> umeishatolewa mwingi sana ambao mwisho ya yote tunaambiwa kuwa ni uongo.
>>>
>>>
>>> 5.La shule mimi hapana sina haja ya kuuliza kwani najua sababu.
>>>
>>>
>>> 6.Unapinga hata la NECTA? hivi unahabari kwamba imeundwa tume kimyakimya na
>>> tayari imeisha fanya uchunguzi na kutoa taarifa kwa Waziri ila anatafakari
>>> cha kuwambia watu au pengine asiseme kabisa.Subiri la Sensa liishe.
>>>
>>>
>>> 7.Kuhusu imani za waandishi wa magazeti na hata Waislam kwa ujumla pengine
>>> kweli ni ndogo na ndiyo maana hawawezi kufuata mafundisho yao ya dini
>> kwamba
>>> CHINO KWA JINO tofauti na yenu kwamba ukichapwa shavu moja unageuza
>>> jingine.Leo wanfanyiwa yote haya lakini bado tunacheka vizuri na tunachati
>>> hivi kwenye mitandao nk.
>>>
>>>
>>> 8.Sina la kusema.
>>>
>>>
>>>
>>> 9.Ajenda binafsi vipi na ipi na kwa manufaa ya nani na vipi hayo manufaa.
>>> Mbinu hii imetumiwa sana na watawala leo unasikia CHADEMA wanaambiwa
>>> wanatumiwa na wameletewa mapesa mengi kutoka nje na Zama za CUF unakumbuka
>>> kila wakati tulikuwa tukiambiwa mapesa kutoka Urabuni na mapanga ya kuua
>>> watu.Leo ndugu yangu unaimba wimbo huo huo.
>>>
>>>
>>>
>>> 10.Hizo tuhuma ni za kweli suala ni ushahidi gani unataka basi rejea no.4.
>>>
>>>
>>> 11.Kwanini tusiende mahakamani.
>>> Kweli lakini namna nzuri ya kujua kwanini hatuendi mahakamani ni kwa
>>> kuangalia jinsi zilivyo maahakama zetu.
>>> Waulize CHADEMA kwanini walichagua PEOPLES POWER badala ya mahakama.
>>> Waulize Madaktari na Walimu nini kilitokea mahakamani.
>>> Waulize Mwana Halisi kwa nini wameshindwa kwenda mahakamani.
>>> Ni njia ndefu na ngumu zaidi ya kupitia ila hizi nyingine za nje ya
>> mahakama
>>> zikishindikana tutaelekea huko.
>>>
>>>
>>> 12.Hatuwezi kujenga chuki na Wakristo kwani ni kinyume na mafundisho ya
>> dini
>>> yetu lakini hili litakuwa na maana zaidi kama tutaheshimu vilevile
>>> mafundisho ya dini yetu ya kiislm yasemayo.
>>>
>>>
>>> NI HARAMU KUDHULUMU NA NI HARAMU KUDHULUMIWA.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> Walewale.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Sent: Wednesday, August 29, 2012 11:36 AM
>>> Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>>>
>>> Tatizo ninaloliona ni 'suspicion'.
>>>
>>> 1. Wakati Waislamu wanaahidiwa suala lao la Mahakama ya Kadhi
>>> lingeshughulikiwa na serikali kabla ya uchaguzi Mkuu 2010, baadhi yao
>>> walionekana kuegemea upande wa CCM (wakidhani ilikuwa upande wao) na
>>> wakaanza kuzusha kuwa Chadema kinafadhiliwa na Kanisa Katoliki na
>>> kwamba Dr Slaa amewekwa na Vatican mara na maaskofu ili kumwondoa Rais
>>> Jakaya Kikwete kwa vile ni Mwislamu. Haya nilikuwa nayasoma na
>>> kuyasikia pia kwenye baadhi ya mihadhara Dar es Salaam.
>>>
>>> 2. Baadhi walisikika wakihamasisha waumini wao kutomchagua Dr Slaa kwa
>>> vile ndoa yake walidai ilikuwa na utata - kwambwa amepora mke wa mtu -
>>> na hivyo hawawezi kuongozwa na mtu asiye mwadilifu kwa mambo ya ndoa
>>> kwa sababu atashindwa kutawala nchi pia.
>>>
>>> 3. Rais Kikwete alipokutana na viongozi wa Waislamu Dodoma na
>>> kulitolea ufafanuzi suala la Mahakama ya Kadhi na kusema
>>> litashughulikiwa na Waislamu wenyewe na siyo serikali na kwamba
>>> serikali imepokea maoni ya kamati iliyokuwa imeundwa kuliona vizuri
>>> suala hilo (ambayo mwenyekiti wake alikuwa gwiji wa sheria za Kiislamu
>>> na senior lecturer UDSM), phrase ya 'Mfumo Kristo', ambayo ilikuwa
>>> inatumiwa na baadhi ya magazeti na radio zilizo chini ya taasisi za
>>> Kiislamu ikaanza kushika kasi. Sasa hivi 'Mfumo Kristo' umeshakuwa
>>> msamiati unaoonesha Tanzania inaongozwa kulinda Maslahi ya Kanisa
>>> Katoliki au Wakristo.
>>>
>>> 4. Mambo ambayo yalikuwa yanasemwa kwa chini chini kuhusu Waislamu
>>> kubaguliwa kielimu na maksi zao kupewa Wakristo, yakaanza kusemwa wazi
>>> lakini bila ushahidi wowote.
>>>
>>> 5. Yaliaanza pia maswali kwa nini shule nyingi za taasisi za Kikristo
>>> zinafanya vizuri wakati zile za Kiislamu zinafanya vibaya kila mwaka,
>>> kuna nini?
>>>
>>> 6. Hata mtihani wa dini ya Kiislamu (ambao walimu wake naamini siyo
>>> Wakristo) wanafunzi walipopata maksi za chini, walisingiziwa Wakristo
>>> walio Baraza la Mitihani kuwa wanawahujumu Waislamu.
>>>
>>> 7. Kwa bahati mbaya, mambo kama haya huwa yanasemwa na viongozi na
>>> wanawaaminisha waumini wao kuwa wanahujumiwa na 'Mfumo Kristo' na
>>> inabidi wapambane nao. Mpaka sasa ukisoma mambo yanayoandikwa kwa
>>> baadhi ya magazeti yenye mtazamo dhidi ya 'Mfumo Kristo'
>> inasikutusha
>>> sana. Wakati mwingine huwa najiuliza kama waandishi na wahubiri wa
>>> mambo haya wana chembechembe yoyote ya kumcha Mungu kwenye nafsi zao!
>>>
>>> 8. Katika hali hii na sasa pia kuingiza suala la sensa kwa mantiki
>>> ileile ya kuonesha kuwa Waislamu wanahujumiwa na 'Mfump Kristo'
>>> sidhani kuna kitu chochote cha maana tunachokijenga hapa.
>>>
>>> 9. Naamini kabisa tukitumia dini kupenyeza ajenda binafsi na kuifanya
>>> iwe na sura ya kiimani tunamkosea Mungu.
>>>
>>> 10. Kuna mambo mengi yameandikwa kwenye magazeti na vitabu na kwenye
>>> TVs na mengine yamerikodiwa kwenye CDs kueneza uongo kuwa Waislamu
>>> wanahujumiwa au wananyimwa fursa za elimu na ajira na badala yake
>>> wanapewa Wakristo.
>>>
>>> 11. Ushahidi uko wapi? Kama hayo yanayosemwa yana ukweli kwa nini
>>> wanaolalamika wasiende mahakamani kudai kuwa wanaonewa ili mahakama
>>> ipitie ushahidi uliopo na kulitolea hukumu suala hili?
>>>
>>> 12. Otherwise, kitu ninachokiona ni kujenga na kueneza chuki kati ya
>>> Wakristo na Waislamu au kati ya vizazi vijavyo vya Wakristo na
>>> Waislamu.
>>>
>>> On 8/29/12, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
>>> Laurean,
>>> Huo ndiyo utanzania wetu na undugu wetu ambao sisi tunadhani
>> ungefuatwa.
>>> Cha kufanya ni kuwasikiliza wanachosema hawa Waislam bila ya jazba
>> kisha
>>> wakaambiwa kwamba hili na hili au yote hayawezekani lakini kwa hoja
>> siyo
>>> vitisho wala kubezana.
>>> Kama hawana hoja si basi mambo yataendelea vema.
>>> Na kama wana hoja tuzikubali japo inauma kidogo.
>>>
>>>
>>>
>>> Walewale.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> ________________________________
>>>   From: Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
>> <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Cc: "wanabidii@googlegroups.com"
>> <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: Wednesday, August 29, 2012 11:25 AM
>>> Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania
>>>
>>> Chamani
>>> Wewe ni ndugu yangu japo  hatujuani, wewe unapendekeza kifanyike nini?
>>> List
>>> what you think the government should do or  fellow Tanzanians!
>>>
>>> From LRB
>>>
>>> On 29 Ago 2012, at 9:24, "amour chamani"
>> <abachamani@yahoo.com> wrote:
>>>
>>>> ukweli.
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>                        
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> --
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> 
>> 
>>
>>
>>
>>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> 
>> 
>>
>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> 
>> 
>>
>>
>>
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment