Saturday 22 September 2012

RE: [wanabidii] PICHA : AJALI MBAYA ZINAVYOSABABISHWA

Mbona hizo picha hazionekani kaka?
 
Date: Fri, 21 Sep 2012 11:59:02 +0300
Subject: Re: [wanabidii] PICHA : AJALI MBAYA ZINAVYOSABABISHWA
From: mngonge@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Samson
Wazo lako la kuwapiga marufuku madereva watumiao vilevi ni zuri lakini tatizo ni namna ya kuwatambua hao wanaotumia au waliowahi kutumia bangi. Kwa wanaoendelea kutumia inawezekana kuwatambua lakini kwa walioacha sijui kama ni rahisi kuwatambua. Najaribu kufikiria hilo zoezi linaweza kufanyika vipi hadi ninacheka mwenyewe. Kimsingi siyo kuwapiga marufu watumiao bangi tu ni wote watumiaoa vilevi  vya aina zote ikiwemo waliolewa pombe, milungi na madawa yote ya kulevya( vipimo vipo).

2012/9/21 samson charles <samchaz307@gmail.com>
wasipopiga marufuku madereva waliowahi kuvuta  bangi (hata kama walishaacha) tutaendelea kushuhudia ajali zinazoepukika,bangi  pafu moja inachukua miaka 7 kuisha akilini

2012/9/20 John George <georgejn2000@gmail.com>
Nilichoiona hapo juu ni hali halisi ukiwa ndani ya basi hapa TZ. Abiria tusikubali gari ku-overtake kwenye kona au mlimani. Leseni kuipata hapa Tanzania ni kazi rAHISI SANA. Tunahitaji sheria ya kunyang`anya madereva wazembe leseni ya udereva kwa wazembe kama huyo hapo juu.

2012/9/20 Fatima Husenali <husenalif@gmail.com>

Dereva huyo alikuwa ni Issack Gerald Nyamaiswe Mkazi wa Mjini Dodoma.
AJALI nyingi za barabarani nchini husababishwa na madereva wazembe wasio zingatia sheria za matumizi sahihi ya barabara. Miongoni mwa ajali hizo nyingi husababishwa na madereva hao kuovatake magari mengine katika kona au milima kama basi hili linavyofanya katika kona ya Lugalo mkoani Iringa. Madereva "PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA".
Basi hili linguine nalo lilikuwa linafanya makopsa hay ohayo ya kulipita gari linguine katika miinuka na kona kali za mlima Kitonga.
 
Polisi wa Kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Iringa, akiwepo RTO, SP. Pamphil Honono (kushoto) walimuona na kumsimamisha dereva wa basi hilo. Matukio haya yanatokea ndani ya wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa. 
  
Nahapa Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani akimwandikia Notfication dereva huyo. 
--
AJALI nyingi za barabarani nchini husababishwa na madereva wazembe wasio zingatia sheria za matumizi sahihi ya barabara. Miongoni mwa ajali hizo nyingi husababishwa na madereva hao kuovatake magari mengine katika kona au milima kama basi hili linavyofanya katika kona ya Lugalo mkoani Iringa. Madereva "PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA".

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment