Friday 7 September 2012

Re: [wanabidii] Mzazi wa Mkurugenzi wa KIWOHEDE Ashikiliwa na Polisi Iringa

Huko kote ni kutapata tu, waendelee tu mwisho kitaeleweka. Mbona hawa
jamaa ndo zao. Wamepoteza nguvu, muda na ela nyingi kuwafuatilia na
kuwakamata waislam waliogoma kuhesabiwa leo kilipowawakia wamewaachia
wenyewe. Nchi hii maendeleo itakuwa ndoto maana tunapoteza muda, nguvu
na fedha nyingi kwenye mambo yasiyokuwa na tija

2012/9/7 Matthew Mdidi <matthew.mdidi@yahoo.com>:
> Yule FFU mwenye miguu mirefu aliyelipua bomu at close range na lisababisha
> kifo cha Daudi Mwangosi atakamatwa lini?
>
> Nchi hapa ilipofikia inawahitaji akina Hatibu Ghandi na Metusela Kamando
> wapya!
> From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Friday, September 7, 2012 3:10 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Mzazi wa Mkurugenzi wa KIWOHEDE Ashikiliwa na
> Polisi Iringa
>
> kWANI KUMILIKI GARI KUNAHUSIKAJE NA MTU KUPIGWA BOMU?
> WASITAKE KUTUDANGANYA HAPA NA KUONEA WANANCHI, WAJUE IKO SIKU HAYA
> WANAYOYAPANDA WATAYAVUNA TU.
>
> 2012/9/7 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
> Taarifa zinasema baba wa mkurugenzi wa KIWOHEDE anashikiliwa na Polisi
> maeneo ya Mafinga iringa akihusishwa na Vurugu zilizotokea kati ya Wafuasi
> wa CHADEMA ana Jeshi la Polisi mkoani humo na kusababisha kifo cha Mwandishi
> wa Habari .
>
> Taarifa zinasema yeye ndio mmiliki wa Gari lililobeba wafuasi wa chama Hicho
> .
>
> Taarifa zaidi zitawajia kama zikipatikana
> --
> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment