Friday 7 September 2012

Re: [wanabidii] Mzazi wa Mkurugenzi wa KIWOHEDE Ashikiliwa na Polisi Iringa

Huyo Mkurugenzi na KIWOHEDE  inahusu nini  katika hii taarifa?! 

2012/9/7 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Taarifa zinasema baba wa mkurugenzi wa KIWOHEDE anashikiliwa na Polisi maeneo ya Mafinga iringa akihusishwa na Vurugu zilizotokea kati ya Wafuasi wa CHADEMA ana Jeshi la Polisi mkoani humo na kusababisha kifo cha Mwandishi wa Habari .

Taarifa zinasema yeye ndio mmiliki wa Gari lililobeba wafuasi wa chama Hicho .

Taarifa zaidi zitawajia kama zikipatikana

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment