Friday 7 September 2012

Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Nimeelewa vibaya yaani wafuasi wa dini ya mjomba ndio waliandamana ndio maana hakuuliwa mtu leo? Hebu fanunueni bwana ili tusijeona dini ina nguvu kuliko umma.

From: Matthew Mdidi <matthew.mdidi@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 7 September 2012, 17:01
Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Leo ameandamana mtoto wa mwenye nyumba ndugu yangu!

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 7, 2012 6:10 PM
Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Kweli mwenye nguvu mpishe, serikali pamoja na vijana wa mwema leo
wametii  amri mbele ya hawa jamaa. Leo ilikuwa zamu yao kutii amri na
kuwaachia mara moja waliogomea sensa. Nani zaidi? serikali au hao
jamaa? Nani kasema maandamano si dawa? Tulifikiri na leo wataua lakini
thubutu? Cha mtemakuni wangekiona si Morogoro na Iringa mulikuwa na
nguvu? Leo nguvu yenu iko wapi? Kwani hao jamaa walioandamana leo
muliwapa kibali au imekuwaje mjomba? Sisi yetu macho

2012/9/7 Gaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com>:
> Kwanini hukuwauliza vizuri hao waliokupa habari unazikiri kuzisikia? Siku
> nyingine ni muhimu ukafanya hivyo.
>
>
> On Friday, September 7, 2012, Yona F Maro wrote:
>>
>> Ndugu zangu
>>
>> Nimesikia wafuasi wa dini fulani wamefanya maandamano makubwa kuelekea
>> wizara ya mambo ya ndani jijini dar es salaam , mwenye habari zaidi
>> atujuze .
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment