Friday 7 September 2012

Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Like ur Idea!

Paroko Stey

On Sep 8, 2012, at 0:00, "Alex Manonga" <manonga2003@yahoo.com> wrote:

Hawa jamaa kama msingi wa maandamano yao ilikuwa kutaka wenzao waliotiwa mbaroni kufuatia sakata ya ugomeaji sensa waachiwe kwa maana ya haki ya dhamana walikuwa na haki na walifanikiwa. Kwa nini watu wawekwe ndani bila dhamana kwani ni wauaji? Lakini kama hoja ni wagomea sensa waachwe huru hapo serikali ni mshindi maana watu wamehesabiwa whether wakiwa mahabusu au uraiani na sheria itafanya kazi yake kama kawaida kwa wale waliokwamisha zoezi kwa namna moja au nyingine.

Ila kwa upande mwingine maandamano yamedhihirisha udhaifu wa intellijensia. Inawezekanaje watu wakajiorganize kwa maelfu kutoka katika misikiti mbalimbali jijini kuandamana mpaka katikati ya mji, kusababisha panic na shughuli kusimama kwa baadhi ya maeneo bila vyombo vya usalama kujua au kuchukua tahadhari yoyote ya kiusalama? Tumshukuru Mungu kwamba watu wabaya hawakuingia katikati, but how safe are we?

Kwa upande wa uchomaji makanisa hata mimi nilisikitika baada ya kuona habari Jambo Leo. Katika hili ni kazi ya serikali kudhibiti uhuni na wahuni! Maana wakimaliza makanisa watahamia kwenye kuchoma hospitali, mashule n.k ilimradi zinahusiana na makanisa, will the government still tolerate this nonsense?. Lazima wahuni wadhibitiwe!
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Date: Fri, 7 Sep 2012 18:33:46 +0100 (BST)
Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Asubuhi taarifa za habari zimesema wamechoma makanisa Bagamoyo. Maeneo ya kuelekea kwa mh Kikwete Kiwangwa etc sio Bagamoyo Mjini. Kukamatwa watu wa kukataa sensa na matatizo mengineyo binafsi yanahusianaje na makanisa? pafukapo moshi maafa yaja.

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 7 September 2012, 20:20
Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Mussa,
Wachakutukana mbona hilo nimeisha salama.

Walewale.

From: Mussa Billegeya <msbillegeya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, September 7, 2012 3:20 PM
Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Wakati lile kundi la Viongozi wa Taasisi za Kiislamu wanhamasisha Waislamu "kugomea" Sensa niliuliza, hivi wanapowachochea kugoma, wanawaeleza pia na tafsiri ya huko Kugoma kuna maanisha nini kwa mujibu wa Sheria...!!!!

Leo hii wametiwa ndani, wanaanza kuandamana kuomba waachiwe (Utadhani wahalifu huwa waanchiwa kwa kuombewa)!!!!! Wananikumbusha mapigano ya utotoni mtu anaingia kichwa-kichwa kwenye ugomvi akipiwa mateke mawili matatu anaanza kupiga kelele "Kwani na Vya Mateke Vimo???"... sasa kama ulikuwa hujui kanuni za "ugomvi" kwa nini ulijiingiza kupigana!

Mungu awasaidie KI-AKILI hawa wanaoandamana!!!

From: Samuel Sasali <samuel_sasali@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, September 7, 2012 3:05 PM
Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Mhe. Usipate tabu Uzuri leo hakuna mabomu Polisi wako Professionally kabisa, unless waone fujo wanatoa ushirikiano wa kutosha, Ila ingekuwa chadema Kishanuka zamani sana. 
 
Samuel Sasali.
Think Differently and Make a Difference
From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, September 7, 2012 2:59 PM
Subject: Re: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Duh! where are we going jamani???????? 

2012/9/7 Samuel Sasali <samuel_sasali@yahoo.com>
Ni Waislam wameandamana taarifa za awali zinasema Wanashinikiza ndugu zao walifungwa sababu Sensa waachiliwe mara moja ama sivyo liwalo na Liwe, Walipotaka Kuonana na Waziri Wa Mambo ya Ndani, Wameambiwa wateue wasemaji Wachache ndo Wanasubiria Majibu.

Picha Zimeambatanishwa
 
Samuel Sasali.
Think Differently and Make a Difference
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, September 7, 2012 2:33 PM
Subject: [wanabidii] Maandamano Makubwa Jijini Dar kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani

Ndugu zangu

Nimesikia wafuasi wa dini fulani wamefanya maandamano makubwa kuelekea
wizara ya mambo ya ndani jijini dar es salaam , mwenye habari zaidi
atujuze .

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: http://www.peercorpstrust.org/ or http://www.hamisikigwangalla.com/
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment