Martin,
Ahsante kwa kunielewa. Suluhu ya matatizo yetu tunayo sisi wenyewe kwani ni kiasi cha kujitambua, kujiamini, na kuthubutu. Tuachane na hii dhana kuwa eti wakuja watachangia kutupunguzia umaskini. Haiwezekani kabisa kwani kwao umaskini ni tija ya wao kuwepo. Bila umaskini hutamwona mfadhili, mwekezaji wala mkopeshaji wa kutuondoa kwenye umaskini. Hawa wakulima wakubwa tunaowataka ndio hasa wataua kabisa kilimo chetu kwa kusambaza GMO na kutuachia balaa kubwa kwani watawageuza wakulima wadogo watumwa wao. Hao wakulima wadogo hawatakubali kwani lazima watapambana na hapo ndio mwanzo wa vurugu, na vita visivyoisha. Hatuna haja ya kwenda mbali mfano mzuri ni Madagascar, Zimbabwe, Kenya na kwingineko (Ardhi ndio kiini cha vurugu kwenye nchi hizi). Hapa Tanzania tayari vurugu zimekwishaanza tunaona wawekezaji wanavyojitahidi kupora ardhi, wafugaji wanapolumbana na wakulima, kijiji kwa kijiji kulumbana na huko tuendako ni balaa zaidi. Kwa nini tumejisahau namna hii kama vile hii si nchi yetu tumekuwa kama wapangaji wa muda na wenye nchi (wakuja) saa yoyote wanaweza kutuambia tutoke?. Mfano mzuri ni huu wa madini na gesi asili, uranium na madini mengine. Yamechangia kiasi gani kupunguza umaskini wakati kiasi cha watu maskini kinaongezeka kila mwaka?.
Tuamke, uwezo tunao na tunaweza kujiendesha wenyewe hasa kama hawa wakubwa wakielewa na wakaacha kutumika kama vikaragozi wa wezi wanaokuja kwa njia ya uwezekaji. Kuamka kwetu kuwe ni kwa vitendo na sio kubaki kulalamika. Mimi nimeshaanza kujaribu nikitumia Agribusiness value chains driven by farmer ownership model. Wewe je umefanya nini?
Tafakari
Date: Wed, 5 Sep 2012 15:58:39 +0100
From: malagila01@yahoo.co.uk
Subject: RE: [wanabidii] GMO Myths and Truths
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Mrema, Umenena sawa kabisa.Na yapo mengi zaidiya hayo kwenye GMO! Martin --- On Wed, 5/9/12, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment