Tuesday 4 September 2012

Re: [wanabidii] Eloi Eloi Lama Sabachthani!

Kila nikiona picha ya mwili wa marehemu huwa najisikia vibaya mno .... ukizingatia hawa watu tunakaa nao mitaani ...
Hawa jaamaa  hawafai

On Sep 4, 2012 1:47 PM, "Matthew Mdidi" <matthew.mdidi@yahoo.com> wrote:
Ndugu yangu Odour nimetoa machozi baada ya kuiona picha ya marehemu Mwangosi akiwa katika ile hali ambayo hata kama angekuwa anaripoti mapigano ya Syria  au Darfur sitegemei kama yangemkuta.
 
Ni SADIST wa kutoka gazeti la Uhuru au Habari Leo pekee anayeweza kutetea unyama aliofanyiwa ngugu yetu Mwangosi!!! 

From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, September 3, 2012 11:39 PM
Subject: Re: [wanabidii] Eloi Eloi Lama Sabachthani!

Mathew,

I hear your cry bro, I hear you.

Ikawa maulana yupo kweli mbona asitutetee siye wanyonge? Mbona polisi
wame pawa nguvu na uwezo wa kuuua kiholela? Mtume !!

Courage,
Oduor Maurice

On 9/3/12, Matthew Mdidi <matthew.mdidi@yahoo.com> wrote:
> Mungu wangu Mungu wangu, kwanini umeniacha?
>
> Kwanini umewaacha Polisi wakiua bila woga viumbe wako uliowaumba kwa mfano
> wako?
>
> Kwa nini kila Polisi wanapoua unawaruhusu wakisingizie "kitu chenye ncha
> kali"?
>
> Je Polisi aliyafyatua lile bomu lililomwua kiumbe wako David Mwangosi
> utamwacha hai ili kesho aue tena?????
>
> --
> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment