Sunday 23 September 2012

Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA KUKASHIFU MTUME

Misango

Suala la kuua halina dini ila hulka za mtu. Waisrael wanapowaua Wapalestina na walipovamia Lebanon na kuua hadi watoto wachanga nao wanasemwa ni dini gani? Wamarekani wanapovamia nchi nyingine na kuwaua watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kuweka demokrasia nao wanakuwa dini gani? Mnawalaumu watu kuweka. Udini humu kumbe nyie mnaupalilia acheni hizo. Punguzeni kututukana Waislamu hawako Libya na Misri tu na kuna Waislamu wengi tu wamesikitishwa na film hiyo lakini hawajafanya kitu ila kuwaombea dua kama huyu alieposti dua hii. Please give us a break

Fatma



Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Charles Misango <misangocharles@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 23 Sep 2012 06:32:34
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA
KUKASHIFU MTUME


Waamini wa kweli kwa Mungu wa Kweli hawawezi kufanya fujo, mauaji ya kulipiza kisasi, kufanya mihadhara ya kutukana, kukashifu dini nyingne
------------------------------
On Sun, Sep 23, 2012 01:14 PDT Nico Eatlawe wrote:

>Sala hii ni agano jipya ya waislam! Nimependa sana. Kama vile katika Biblia kulikuwa na jino kwa jino na hatimaye Yesu kuleta neema basi neema nayo imefunuliwa kwa wenzetu. Wasibaki kuchukua sheria ya Musa  tu lakini pamoja na nema ya Yesu maana sheria ilikuwa inawaongoza wanadau kwenye neema bila  kuhitaji kuzini na kukamatwa ila kwa kuwaza moyoni tu tayari umeshazini.
>
>
>
>>________________________________
>> From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Sunday, 23 September 2012, 8:58
>>Subject: Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA KUKASHIFU MTUME
>>
>>Kama hii ndiyo dua aliyoomba Mtume na ile ya kazi ya muislamu ni kuua na kuuawa aliielekeza nani?
>>
>>--- On Sat, 9/22/12, rashid martin <rashidtz@hotmail.com> wrote:
>>
>>
>>From: rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
>>Subject: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA KUKASHIFU MTUME
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Saturday, September 22, 2012, 11:14 PM
>>
>>
>>
>>Dua hii ni bora kuliko yote yaliyofanyika tokea filamu hiyo itengenezwe,dua hii ni bora kuliko hata maandamano, vurugu n.kdua yenyewe ni kama ifuatavyo....................Ee Mola tunakuomba uwape akili tambuzi wale wote walioshiriki kutengeneza filamu hiyo watambue kuwa walichokifanya sio kizuri na sio busara, pia uwabadilishe kama sio wawo basi vizazi vyaovije kuwa wachamungu .........insh a llah     Dua kama hiyo aliwahi kuiomba Mtume katika mji wa Twaifa na ikafanya kazi, tena baaada ya Mtume kupigwa sana.hizo ndio dua za wacha mungu0714-14 25 25 -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and
facts
> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  
>-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment