Sunday 23 September 2012

Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA KUKASHIFU MTUME

Sala hii ni agano jipya ya waislam! Nimependa sana. Kama vile katika Biblia kulikuwa na jino kwa jino na hatimaye Yesu kuleta neema basi neema nayo imefunuliwa kwa wenzetu. Wasibaki kuchukua sheria ya Musa  tu lakini pamoja na nema ya Yesu maana sheria ilikuwa inawaongoza wanadau kwenye neema bila  kuhitaji kuzini na kukamatwa ila kwa kuwaza moyoni tu tayari umeshazini.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 23 September 2012, 8:58
Subject: Re: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA KUKASHIFU MTUME
Kama hii ndiyo dua aliyoomba Mtume na ile ya kazi ya muislamu ni kuua na kuuawa aliielekeza nani?

--- On Sat, 9/22/12, rashid martin <rashidtz@hotmail.com> wrote:

From: rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] DUA HII YA KUWAOMBEA WALIOTENGENEZA FILAM YA KUKASHIFU MTUME
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, September 22, 2012, 11:14 PM

Dua hii ni bora kuliko yote yaliyofanyika tokea filamu hiyo itengenezwe,dua hii ni bora kuliko hata maandamano, vurugu n.kdua yenyewe ni kama ifuatavyo....................Ee Mola tunakuomba uwape akili tambuzi wale wote walioshiriki kutengeneza filamu hiyo watambue kuwa walichokifanya sio kizuri na sio busara, pia uwabadilishe kama sio wawo basi vizazi vyaovije kuwa wachamungu .........insh a llah     Dua kama hiyo aliwahi kuiomba Mtume katika mji wa Twaifa na ikafanya kazi, tena baaada ya Mtume kupigwa sana.hizo ndio dua za wacha mungu0714-14 25 25
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    


0 comments:

Post a Comment