Tuesday 4 September 2012

Re: [wanabidii] Abridged summary of wanabidii@googlegroups.com - 58 Messages in 28 Topics

TUMEMPOTEZA NA KUMSINDIKIZA JAMAA YETU KWA HUZUNI.....KILICHOBAKI NTUACHE SIASA ZIENDELEE KUWEPO KATIKA SUALA HILI......JUZI NIMEMSIKIA KATIBU WA UVCCM BW. SHIGELA AKISEMA CDM WAMEMUUA MWANDISHI HIVI UNAHITAJI WELIMU YA AINA GANI KUONA PICHA ZOTE ZILIZOWEKWA KWA VYOMBO VYA HABARI UJUE KUWA POLISI WAMEMUUA JAMAA...? MH. WAZIRI AMEUNDA TUME KUCHUNGUZA MAUAJI WAKATI HUOHUO ANASEMA ANASHANGAA KWANINI IGP HAJAMKAMATA DR. SLAA JAMANI HUYU MTU C AMESHAWAPA ToR KAMATI KWANINI AMUHUKUMU DR. SLAA...? NA MESSAGE KAZIONA WAPI....? C HAWAHAWA WAMEFUNGIA MWANAHALISI KWA KUCHAPISHA MSG ZA WATU......AHAA NAILILIA TZ CJUI WAJUKUU ZETU WATAOSMA HISTORIA GANI....TOKA KWETU.........VIONGOZI TUBADILIKE KIMTAZAMO WA TZ WA LEO SIYO WALE WA 1960S AU 1970S........

From: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
To: Abridged Recipients <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, September 5, 2012 12:15 AM
Subject: [wanabidii] Abridged summary of wanabidii@googlegroups.com - 58 Messages in 28 Topics

Group: http://groups.google.com/group/wanabidii/topics

    "mutabaazi lugaziya" <mjlugaziya@mail.com> Sep 04 04:15PM -0400  

    ----- Original Message -----
    From: liberty.quotes@centre.telemanage.ca
    Sent: 08/24/12 09:12 AM
    To: mjlugaziya@mail.com
    Subject: Frederic Bastiat, Benjamin Constant, Don Hull
     
    "Sometimes the law ...more
    "mutabaazi lugaziya" <mjlugaziya@mail.com> Sep 04 04:00PM -0400  

    In the Marxian analysis of the law, based on the socio-economic base that gave rise to the form and structure of the laws as they are, we are told, the law is the property of the high and the mighty ...more
    maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> Sep 04 08:29PM +0100  

    Ndugu zangu,
     
    Yanayotokea nchini mwetu yanatutaka sio tu tufikiri, bali, tufikiri kwa
    bidii. Lakini swali ni hili; Je, uwezo wetu wa kufikiri umepungua?
     
    Yumkini si kwa aliyekuwa na ...more
    "wkihigwa@yahoo.com" <wkihigwa@yahoo.com> Sep 04 07:50PM  

    Sasa wewe Mjengwa katika jamii iliyochoka kufikiri bado unaleta hoja ya kufikirisha akili kwani point yako umeifisha kwa ndani. Sasa uoni kuwa unazidi kuwatesa wanajamii kwa point zako za kificho?
    ...more
    adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> Sep 04 12:07PM -0700  

    RPC Nyombi ni miongoni mwa maRPC waliowahi kufanya kazi katika mkoa
    wa Iringa kwa umakini na uhodari bila ya migongano na wananchi
    auwanahabari,. Nashauri IGP mwema Mrudishe Kamanda Nyombi ...more
    Matthew Mdidi <matthew.mdidi@yahoo.com> Sep 03 01:21PM -0700  

    Mungu wangu Mungu wangu, kwanini umeniacha?
     
    Kwanini umewaacha Polisi wakiua bila woga viumbe wako uliowaumba kwa mfano wako?
     
    Kwa nini kila Polisi wanapoua unawaruhusu wakisingizie "kitu ...more
    Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> Sep 03 04:39PM -0400  

    Mathew,
     
    I hear your cry bro, I hear you.
     
    Ikawa maulana yupo kweli mbona asitutetee siye wanyonge? Mbona polisi
    wame pawa nguvu na uwezo wa kuuua kiholela? Mtume !!
     
    Courage,
    Oduor Maurice
    ...more
    mngonge <mngonge@gmail.com> Sep 04 08:57AM +0300  

    Itabidi walalahoi tuunde jeshi letu la polisi maana hili lililopo ni
    la majambazi, kweli wamethubutu kuendesha zoezi la kuua watu kwa
    kisingizio cha maandamano ya Chadema? Tuliyasikia ya Zombe, ...more
    Matthew Mdidi <matthew.mdidi@yahoo.com> Sep 04 03:47AM -0700  

    Ndugu yangu Odour nimetoa machozi baada ya kuiona picha ya marehemu Mwangosi akiwa katika ile hali ambayo hata kama angekuwa anaripoti mapigano ya Syria  au Darfur sitegemei kama yangemkuta.
      ...more
    MikiDadi Waziri <kabangatz@gmail.com> Sep 04 09:53PM +0300  

    Kila nikiona picha ya mwili wa marehemu huwa najisikia vibaya mno ....
    ukizingatia hawa watu tunakaa nao mitaani ...
    Hawa jaamaa hawafai
    ...more
    GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com> Sep 04 04:47PM +0300  

    Daudi simfahamu, Nilikuwa nikimuona akiripoti katika Tv, sijawahi kukutana
    naye lakini namlilia.
     
    hapa chozi linatoka.
     
    http://mbeyayetu.blogspot.com/
    ...more
    Djax Biria <biriadjax@yahoo.com> Sep 04 06:58AM -0700  

    Dear Mr Mboje
     
    Habari za siku. Naitwa Biria Djax tulikuwa wote kwenye CED 2001-2003. Nipo TRACE kuna kipindi nilikutafuta sana maana niliambiwa mlikuwa mnatafuta organization ya kufanya nayo kazi. ...more
    MikiDadi Waziri <kabangatz@gmail.com> Sep 04 09:44PM +0300  

    Mboje
    Hata karma humfahamu kitendo chi polisi kuua vile lazima ulie ...
    Jamaa wanafanya mbaya mno
    ...more
    Judy Miriga <jbatec@yahoo.com> Sep 04 11:13AM -0700  

     
    Forwarded for your view and entertainment
     
     
     
     
     
     
    Judy Miriga
    Diaspora Spokesperson
    Executive Director
    Confederation Council Foundation for Africa Inc.,
    USA ...more
    Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> Sep 04 04:31PM +0300  

    By *Hamza Johari*
     
     
    I have been following the present border dispute between Tanzania and
    Malawi for quite sometimes now and I have read various comments, opinions
    and ideas from various ...more
    Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com> Sep 04 06:52AM -0700  

    Thanks a lot Leila for this piece of info and legal commentary by Hamza. It seems to bring a lot of relief to me (and others?) on the matter.
     
     
     
     
    ________________________________ ...more
    kimdr53@gmail.com Sep 04 06:01PM  

    Yes this article makes sense to me and I believe in many others all over the world but especially in Africa and the Tanzania/Malawi lake Nyasa/Malawi border impetus in particular. Water is LIFE so ...more
    Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> Sep 04 06:57PM +0100  

    kuna taarifa kuwa kuna mazoezi ya judo na mafunzo ya kutengeneza mabomu ya petrol yamekuwa yakiendelea ktk mingi ya misikiti hapa nchini. Lengo kuu ni kujiandaa kwa mapambano ya kuondoa kinachoitwa ...more
    Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com> Sep 04 09:53AM -0700  

    Mahamaka kesho Jumatano itatoa uamuzi juu ya rufaa ya aliyekuwa mgombea wa Chadema jimbo la Kigoma Mjini, dhidi ya (ushindi wa) Peter Serukamba, saa tatu (3.00) asubuhi, Mahakama ya Rufaa Dar
    ...more
    "mutabaazi lugaziya" <mjlugaziya@mail.com> Sep 04 03:00AM -0400  

    Wanandugu,
     
    Kwa kipindi sikuwa kwenye mtandao. Nilikuwa Ileje kwa shughuli za kidini.
     
    Nikiwa huko, nikapigiwa simu kuhusu "vurugu" za Mafinga eneo la Nyololo kwenye uzinduzi wa tawi la CDM. ...more
    "Lillian Kitunga" <lkitunga@tgnp.org> Sep 04 10:25AM +0300  

    Inasikitisha san asana sana si jambo la kufungia mdomo je watanzania jamani
    mbona tunayaacha mambo yaendelee hatuamki?? Jamani wale wenye kujua sheria
    hebu tuongozeni katika hili tumechoshwa na ...more
    mngonge <mngonge@gmail.com> Sep 04 02:42PM +0300  

    Wauaji nao wapo jela?
     
    ...more
    Allen Mazoko <mazokoallen@yahoo.com> Sep 04 09:02AM -0700  

    Mkuu endelea kutujulisha kinachoendelea huko pia poleni sana na hekaheka za huko
     
    --- On Tue, 9/4/12, mutabaazi lugaziya <mjlugaziya@mail.com> wrote:
     
     
    From: mutabaazi lugaziya ...more
    Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> Sep 04 03:44AM -0700  

    Ndugu zangu
     
    Kumetokea wafanyabiashara toka nchi mbalimbali zilizowekewa vikwazo
    mbalimbali na umoja wa mataifa kutaka kufanya biashara na baadhi ya
    raia wa watanzania kwa sharti la kutumika kwa ...more
    Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> Sep 04 03:21PM +0100  

    Pamoja na maoni yako mazuri Yona lakini kwa Mtanzania-maneno ya Mbunge wa Wawi ZNZ kasema kweli-
    'Tuna virusi vya ubongo vya tazamo finyu na mtindio wa kinamna!!' Tuna matatizo.
      ...more
    odhiambo okecth <komarockswatch@yahoo.com> Sep 04 07:00AM -0700  

    Thanks Bro.
     
    oto
     
    --- On Tue, 9/4/12, Oduya - Magunga <oduyaericson@yahoo.com> wrote:
     
    From: Oduya - Magunga <oduyaericson@yahoo.com>
    Subject: (VVM Forum) Response to Mr. Moturi; Nairobi Market ...more
    odhiambo okecth <komarockswatch@yahoo.com> Sep 04 04:39AM -0700  

    Friends,The Clean Kenya Campaign-TCKC today met with the leadership of the Nairobi Market Traders Society and resolved to host a Massive Clean-up across all the 53 Markets in Nairobi on the 10th ...more
    samoturiy@yahoo.co.uk Sep 04 11:54AM  

    Komarocks Watch
    As a friendly advise, are u not biting much more than you can chew?.plz focus on one subject. Two,why is all this on the forum?Moturi
    Sent from my BlackBerry®
     
    -----Original ...more
    odhiambo okecth <komarockswatch@yahoo.com> Sep 04 05:59AM -0700  

    Thank you Chair.
     
    oto
     
    --- On Tue, 9/4/12, Research Triangle Africa Elijah Agevi <elijah.agevi@rtaafrica.org> wrote:
     
    From: Research Triangle Africa Elijah Agevi <elijah.agevi@rtaafrica.org> ...more
    odhiambo okecth <komarockswatch@yahoo.com> Sep 04 06:19AM -0700  

    Mr. Moturi,
     
    I was told the same thing by Mr. Juma Asiago of the UN Habitat when we launched The Monthly Nationwide Clean-up Campaign in Komarock in 2009.
     
    Secondly, I am not Komarock watch. ...more
    "Research Triangle Africa Elijah Agevi" <elijah.agevi@rtaafrica.org> Sep 04 03:57PM +0300  

    Thanks Oto for sharing the same so promptly and yes these market leaders
    were great and were quite sure of what is needed to make it Happen!
     

     
    Yes let's follow-through with the agreed action ...more
    odhiambo okecth <komarockswatch@yahoo.com> Sep 04 06:55AM -0700  

    Mr. Moturi,
     
    I was told the same thing by Mr. Juma Asiago of the UN Habitat when we launched The Monthly Nationwide Clean-up Campaign in Komarock in 2009.
     
    Secondly, I am not Komarock watch. ...more
    Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> Sep 04 01:21PM +0300  

    Genetically modified (GM) crops are promoted on the basis of a range of
    far-reaching claims from the GM crop industry and its supporters. However,
    a large and growing body of scientific and other ...more
    elias mhegera <mhegeraelias@yahoo.com> Sep 04 03:23AM -0700  

    thank you Yona this is the debate we were discussing yesterday at the Whitesands Hotel
    where experts in agriculture are conducting their workshop,
    Elias

     
    ________________________________ ...more
    Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> Sep 04 04:35PM +0300  

    I don't know how much Tanzania know about GMOs. Back in 2002, it became a
    hot issue in Southern Africa when those countries were suffering from
    drought and famine and refused to accept American food ...more
    Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> Sep 04 12:08PM  

    Umma walaani Polisi kuua ovyo
    Na Mwandishi wetu
    4th September 2012
     
     
     
    B-pepe
     
     
     
    Chapa
     
     
     
    Maoni
     
    Aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Daudi Mwangosi ...more
    Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> Sep 04 01:22PM +0300  

    A collaborative research program is using GIS to better learn how climate
    change, conflict, and humanitarian aid intersect to impact vulnerable
    populations in Africa. The CCAPS program enlisted the ...more
    Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> Sep 04 03:14AM -0700  

    KUMB.Na:GS/PPAT/
    01/2012
    04/09/2012
     
    MHARIRI WA HABARI
    ………………………………
     
    YAH: TAMKO LA PPAT KULAANI KUSHAMBULIWA NA KUSABABISHA KIFO CHA
    MWAKILISHI CHANNEL TEN IRINGA DAUDI ...more
    Judika Sanare <judikasanare@yahoo.com> Sep 03 11:15PM -0700  

    Ndugu Wanajamii,
    Nimeona kuwapatieni nanyi taarifa ili kila mmoja wetu aweze kutakafari taarifa ya kwanza ya ukilaza na pili ya propaganda za polisi ambao wamekuwa ni sehemu ya siasa ...more
    Rehema Chachage <rehemacha@gmail.com> Sep 03 07:00PM +0300  

    Ndugu wapenzi wa Vunja Mbavu, Inaelekea kumekuwa na mkanganyiko wa taarifa
    kuhusu Tarehe ya Vunja mbavu ijayo. Tunawaomba radhi sana wote mliofika
    Ijumaa (Agosti 31). Tarehe sahihi ya Vunja Mbavu ...more
    Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> Sep 03 11:43PM +0300  

    Ninaamini wote mnaochangia hapa mko majumbani mwenu na wengine mkienelea
    kupata kinywaji chenu huku mkikazana damu iliyomwagika haitawaacha huru
    wale waliomtendea unyama ule, wote hup ni unafiki.
    ...more
    Deogratias Kawonga <deogratias.kawonga@gmail.com> Sep 04 05:32AM +0300  

    Weka hapa hilo tamko la Mbeya
     
    Sent from my iPhone
     
     
     
     
     
    ...more
    "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> Sep 04 02:44AM  

    Ni kweli!
     
    Wa-Tz wengi tunaishi kwa ubabaishaji, tamaa zisizo kifani, mategemeo ya kuiba katika maisha yetu ya kila siku bila kutoa jasho na unafiki usio na aibu!
     
    Matamko hayana maana kama ndani ...more
    Nickson ngajilo <nngajilo@yahoo.com> Sep 03 09:56PM -0700  

    Matanda
     
    Wewe kweli ni mtanzania
    Nini kazi ya polisi?
    Nakujibia:kulinda amani
    Nani alivuuga amani ya nyororo jibu POLISI wa kikwete.
    Siasa ni haki ya kila mtanzania.
    ukisema chadema ni inaleta ...more
    mngonge <mngonge@gmail.com> Sep 04 08:46AM +0300  

    Ndugu Felix nimekwishakushauri kupima hoja zako na kuangalia wengi
    wanasemaje acha kuprolytise uCCM. Unawatiaje hatiani Chedema kabla ya
    kuwalaani polisi?
    Inaoneka polisi sasa wamegeuka majambazi ...more
    Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> Sep 04 09:41AM +0300  

    Hakuna hata mara moja CHADEMA imeua au kumwaga damu isiyo na hatia
    wala damu yeny hatia,ni kutotaka kufikiri kutaka kuaminisha Dunia kuwa
    eti Operesheni za CHADEMA zinasababisha vurugu ...more
    denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> Sep 04 12:10PM +0300  

    unajibu email,gani wewe Nickson au kuna email ya Matanda mwingine
    unayoi-address?
     
    2012/9/4 Nickson ngajilo <nngajilo@yahoo.com>
     
     
    --
    Wasalaam
     
    Denis Matanda,
    Mine Supt,
    Nzega - Tanzania. ...more
    denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> Sep 04 12:15PM +0300  

    Kwa reasoning ya watu wengine humu msije kushangaa siku ukivamiwa nyumbani
    kwako na majambazi ukalaumiwa wewe kwa kuwa na nyumba nzuri!
     
    2012/9/4 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
     
     
    -- ...more
    Deogratias Kawonga <deogratias.kawonga@gmail.com> Sep 04 12:21PM +0300  

    Angalao nimechekaaaa aaah kwanini umejenga nzuri? Hao umewaita mwenyewe..
     
    Sent from my iPhone
     
     
     
     
     
    ...more
    Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> Sep 04 07:10AM +0300  

    Watanganyika tuna mambo, hata hili zoezi nalo mnalihoji? Kitu kipi
    mnapenda? Kunguru ni ndege ambaye anatakiwa kuangamizwa kabisa kwa sababu
    ni kero sana. Nadhani aliyewaleta nchini alikuwa na ...more
    richard bahati <ribahati@gmail.com> Sep 04 08:48AM +0300  

    Kunguru wamenipa kero sana. Nitapiga simu kwa wahusika ili waje hapa kwetu
    kulishughulikia mara moja. Ni pamoja na kupiga marufuku majalala
    yanayowekwa karibu na mazingira ya makazi au kazi, maana ...more
    Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> Sep 04 01:44AM -0700  

    Comrades;
    Kunguru waliletwa(imported) kipindi cha mzee wa ruksa.
    Tumeshindwa kutawala uchafu wetu wenyewe mpaka tuliona kunguru watusaidie kula taka zetu, kumbe taarifa walizokuwa nazo walioamua ...more
    odhiambo okecth <komarockswatch@yahoo.com> Sep 04 01:01AM -0700  

    In as much as I appreciate the need for Teachers to agitate for a salary increase, I do not support their strike.
     
    You will all remember, teachers have been going on strike for as long as I can ...more
    Judy Miriga <jbatec@yahoo.com> Sep 03 06:53PM -0700  

     
     
    -----------------------------FORWADED----------------------------
     
     
     
     
     
     
     
    From: Obama for America <info@barackobama.com>
    Subject: This is just extraordinary:
    To: "Judy Miriga" ...more
    Judy Miriga <jbatec@yahoo.com> Sep 03 06:50PM -0700  

     
     
     
     
    What To Watch For At The DNCBy Amy Walter | ABC OTUS News – 9 hrs ago
     
     
     
     
     
     
     
     
    Enlarge Gallery
    A woman wears a hat in the Charlotte Labor Day Parade in Charlotte, North Carolina ...more
    Judy Miriga <jbatec@yahoo.com> Sep 03 02:04PM -0700  

     
     
    Good People, we shall overcome.........
     
    We want substantives, no insults. Maurice and Omwenga should get clean. They both should know that I am a well known personality, respected and is ...more

You received this message because you are subscribed to the Google Group wanabidii.
You can post via email.
To unsubscribe from this group, send an empty message.
For more options, visit this group.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment