Koku.
Nilizaliwa saa mbili za usiku tarehe 5 September 1952.
Niliyoyaandika niliwhi kuyaandika katika gazeti la rai. Nilimhoji mtu huyu nikiwa na mwandishi wa habari ajulikanaye kwa jina la Matias. Nikutafutie habari hii kamili na katika mpangilio mzuri yakiwa kwenye gazeti au umeamini kuwa ni kweli mpaka hapo?
--------------------------------------------
On Tue, 5/24/16, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 24, 2016, 9:47 PM
Elisa,
mawazo mgando hayo; unajua kabisa unachokisema si kweli la
sivyo huna uelewa! Sijui umri wako, lakini kama ulimuona
Baba wa Taifa tangu miaka ile, basi una matatizo binafsi
dhidi yake!!
LKK Lutgard Kokulinda
Kagaruki
Executive Director
Tanzania Tobacco
Control ForumBoard
MemberTanzania
Non-Communicable Diseases Alliance P. O. Box
33105 Dar es Salaam,
Tanzania
Tel: +255 754 284528
"Full implementation of the WHO Framework
Convention on Tobacco Control would bring the single biggest
blow to heart diseases, cancer, diabetes & respiratory
disease". - Dr. Margaret Chan, WHO Director-General, NCD
Summit, 2011
On Tuesday, May 24,
2016 9:41 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Emmnuel.
Nakumbuka kukuahidi kukupeleka Ujiji utembelee
eneo la Livingstone.
Sasa nakuahidi kingine:
Ukija Tz fika Bukoba nitakupeleka kwa mtu aliyebuni Azimio
la Arusha. Nyerere alichofanya alimficha Ikulu hadi
alipostaafu na ofisi yake ikafungwa. Anaitwa Leonard
Rwizandekwe. Baada ya nyerere kumgundua kuwa ana mawazo ya
kushangaza wakati huo akisoma sheria Uingereza Nyerere
alimshauri aachane na sheria ya kawaida asomee African
Customary law. Ukikiangalia kitendo hicho unaweza kumtafsiri
Nyerere kuwa hakupenda kuwa na mtu aliye na mawazo mapana
kumzidi. kama ukweli ukiwa hivyo basi alianza kumtafuta
mrithi wake alipokaribia kustaafu. Magufuli ameanza
anapoanza urais. katika hilo Magufuli amemzidi Nyerere
uzalendo.
--------------------------------------------
On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania
kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 24, 2016, 6:11 PM
Elisa,Hatujawahi kuwa na
rais mzuri, makini,
mzalendo kama Julius
Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka
wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha Unyerere unafutwa
nakushindwa. Ndivyo hivyo itakavyokuwa na
Magufuli. Sidhani kila mtu ndani ya CCM
anashabikia
anachofanya mheshimiwa. Hence
my conclusion kwamba
utashindwa.Nyerere
alituwekea misingi kwa miaka
23 lakini
katika kipindi cha miaka miwili tu Mwinyi alianza
kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu
tuwepo halafu
tuje tupimemaneno yako na
ya
kwangu.em
2016-05-24
7:10 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Afadhali
ungesema Umagufuli
''unaweza kushindwa''
kuliko kusema ''utashindwa'. Ninatamani
tuwepo
wote wakati huo tukumbushane.
Umagufuli unaweza kuendelea
mpaka rais wa
tatu kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu
walichoka na kuonewa na watu waliokuwa ndani ya CCM.
Wakafikia kuichukua CCM. CCM imenusulika kwa
sababu ya
kusambaratika upinzani. Baada ya
hapo CCM kumpata Magufuli
akainusulu.
Asipopepesuka ataendelea kuishi baada yake.
Kingine ni hiki cha kutafuta watu na kuanza kuwalea.
Sikumuongeza Makonda kwenye orodha ya
wanaolelewa makusudi.
Magufuli akilenga
kumuweka mrithi na akatumia njia
zinazotajwa humu, basi umagufuli utaishi baada yake.
--------------------------------------------
On Tue, 5/24/16, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii]
POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
Tanzania
kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 24,
2016, 1:20 AM
Ndani ya
CCM hakuna linaloweza kutabirika.
Unyerere ulishindwa
kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile Umkapa na
Ukikwete.Hata Umagufuli
utashindwa
tu.em
2016-05-23 16:30
GMT-04:00
'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kumbukumbu zizizo rasmi na
zilizo
rasmi Tanzania
zinaonyesha marais wote waliotangulia
walishindwa kuwaweka watu watakaorithi
nafasi zao mara
baada
yao kumaliza vipindi vyao.
Mwalimu Nyerere inasemekana alishindwa kuhakikisha
chaguo
lake linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi
akaichukua nafasi hiyo.
Inasemekana chaguo la Mwalimu
alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.
Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo
tunafahamu hakuwa
na
chaguo. Ushawishi wake uliporomoka sana na
karibu
Mwalimu
Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake
zinazotoka kila
mara
kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu Nyerere
alifanikiwa
kumpigia
chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi
hakufanikiwa
kumpachika
chaguo lake.
Wakati wa Benjamin Mkapa
kung'atuka ilionekana alikuwa
na
chaguo lake japo kwa
umahili wake haikuwa rais kumjua.
Lakini kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete
hakuwa chaguo
lake.
Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea
Mkapa
alitoa
hotuba iliyoashilia anammaanisha JK, lakini
bado hakuwa
chaguo
lake.
Ndugu JK ameng'atuka. Alijitahidi kwa
uwazi tena bila
kificho
kutaka kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa
nimekosea
nikiongeza
kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo
halikuwa la JK peke yake
bali lilikuwa la familia yake.
Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK
hakurithiwa
na
chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa
aliyefanikiwa
kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi
Magufuli
alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa Mkapa.
Dr. Magufuli ndiyo anaaza. Ana myaka minne
iliyosalia
lakini
aweza kuendelea mpaka myaka kumi.
Dr Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na
chaguo lako
kwa
sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:
1) Mtangulizi wake (JK) kama
ilivyokuwa kwa
Mwinyi
haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi
mkubwa kuliko
Magufuli
wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza
kuwa
na
ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani
kubadili
katiba ili aendelee japo hawezi kukubali. Hii inampa
nafasi
ya
kuwapendekezea watanzania nani awe mrithi wake.
2) Mwendo wa Dr.
Magufuli ana uwezekano wa kuwa
na
idadi ya watu ambao yeyote
kati yao akichaguliwa
atakuwa
mteule wake. Mfano: (1)
Jinsi ambavyo Naibu Speaker
alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025
atajitokeza
kugombea.
Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi ngumu
kutokuwa
chaguo
lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa Tamisemi
Suleiman
Daffo.
Ukimuangalia sana, hatofautiani na Magufuli
katika
mambo
Fulani. Matamshi yake hayaonyeshi ubandia au
uigizaji
wowote. Huyu
namtilia shaka kuwa yuko analelewa. (3)
Wakati
watu waliposema
Humphrey Polepole anapigania ukuu wa
Wilaya
niliwashangaa.
Na naamini Polepole hakuwa na haraka ya
kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa
kupigania
angeutafuta
uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa nafasi
ambayo
kimuonekano
ni ya chini kwake sitafanya kosa nikisema
amepelekwa
kwenye
nafasi hiyo ya chini ili apande polepole na
kufikia
2025
atakuwa ameupata uzoefu ambao kwa sasa
unaonekana hana
na
labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi.
(4) Kwa mwendo
huu
Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata
chama cha
upinzani
ili mradi kufika siku zile atakayepita awe
mmoja kati
ya
walengwa wake.
Kama huu
nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli
umagufuli
utaendelea.
Kama hakuwa amekusudia hivyo nitashangaa
sana
kama hataanza.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts
must be presented responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must
be presented responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment