Monday, 2 May 2016

Re: [wanabidii] Mjengwablog Imekuandalia Habari 20 Za Kurasa Za Ndani Magazeti Ya Leo Jumanne..

Kinachoshangaza na magazeti/media na sisi watanzania tulivyo eti kampuni ya Lugumi imefika hizo mashine za kuchukua alama za videole vituo vichache badala ya 108 ni 14 ndio wamefunga mashine. Kwamba Kamati haijapata hela za hazi yao na ilikuwa ina nia ya kuvamia vituo na ina wasiwasi Kampuni ya Lugumi itaanza kufunga vingine ambavyo vilikuwa havijawekea washine hiyo. Sasa kwa kutumia Logic ya std 1 sio ya University-SIRI ipo wapi hapa? Tayari mmeshasema strategy au tactics za kuvamia vituo (SIRI NJE Sasa). Kuna taarifa ya vituo 14 badala ya 108 na majina yao yapo ambayo ndio vina mashine. Sasa kwa nini kuogopa kuwa atafunga vituo vingine kuonekana alitimiza wajibu kikamilifu wakati taarifa ya wapi kituo kipi cha police alifunga, mwaka gani kwa gharama ipi kwa kityuo hata kujua location tu ambapo taarifa imetoa by year kilipowekwa sasa wasiwasi wa nini kwamba atafunga kwingine ionekane alifanyakazi kiwango kinachotakiwa? Ni wazi atakamatika kwa gharama kubwa na kazi incomplete wamegawana hela na wakubwa husika.

Kikazi ila ofisi inakaa kufanya mipango kazi, kuandika bajeti ambayo inapitishwa vikao husika hadi wizarani, bungeni allocation inwekwa kupitishwa na bunge na hela kutengwa. Kisha utendaji kutolewa taarifa kuanzia ofisini au kituoni kwenda juu. Ni kukamata hao waliotoa taarifa kamilifu ya utendaji kumbe assessment imeonyesha kanyaboya! Kupoteza hela zote hizo za nini-uchunguzi baada ya uchunguzi. Kila mradi unakuwa na physical evaluation plus financial auditing. Hii yote iliishia vipi na ni mradi mkubwa? Mbona tunamaliza hela kwa mambo yanayoonekana. Kisha-eti tuna mpango wa kuvamia vituo tunahofu ataendelea kuweka mashine-Unatoa siri tena na media inaona ni sawa kuandika vitu kama hivi vya siri-watavamia kwa siri!?

Kama Kawa

--------------------------------------------
On Tue, 3/5/16, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Mjengwablog Imekuandalia Habari 20 Za Kurasa Za Ndani Magazeti Ya Leo Jumanne..
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 3 May, 2016, 7:06

http://mjengwablog.com




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment