Serikali inahitaji pia kukaa na matajiri wa TZ waugane waunde kampuni yao ya uwekezaji katika hizo sekta kuu, kuajiri wazungu wawafundishe wabongo kisha waendelee kuzalisha mali. Tabia ya makampuni ya nyumbani kulipa wafanyakazi watanzania wenzao mishahara midogo kuliko ilipayo serikali. Mzoa taka analipwa 30,000/= badala ya kima cha chini kilipokuwa 80,000/= kwa mfagiaji ofisini sasa ni 150,000/= wao wapo 30,000/=-50,000/= na analipwa kidogo kidogo. Akipata ajali kugongwa na gari-anamtelekeza hospitali anamshusha anamwacha. Akiumwa homa asifike kazini-atakapofika hata kama alifanya kazi wiki kabla ya kuumwa-anaanza moja za nyuma hazihesabiwi. Hawa ni watanzania wanaooneana wenyewe kwa wenyewe. Hapo bado rushwa ya ngono ili aendelee kudumu kazini kila foreman anataka huduma hiyo-akija mpya naye anasema ulimpa aliyepita si mimi hutaki-sepa.
Ukienda kwenye wachimbaji wadogo wadogo Mererani-Geita ni ngono, mabanda ya zinaa za chapuchapu vitanda vya chaga za miti, milango pazia ya material ya viroba na godoro roba lililojazwa mchanga. Sinema za matusi wakubwa na watoto kuangalia, pombe.bar kila kona na mama ntilie. Uchafuzi wa mazingira na zinaa. Ukimwi highly mwevalent na changudoa anapigwa mnada ndio aondoke aliyenadi hela ya juu zaidi. Hata serikali ya nne ije na Rais Mzuri, kama sisi wananchi hatuto kubali kubadilika kiakili na kuzingatia sera, mikakati iliyopo, kujituma, kutumia nafasi zilizopo; kufanya ipazavyo katika sekta zetu (kilimo, ufugaji, bustani) etc; kutumia hela za SACCOS, VICOBA, Mikopo ipasavyo, kuzingatia ushauri wa mfano kilimo, madini, ufugaji-hatutofika mbali. Mtanzania Umsaidieje na anaona lori la kabichi, ndizi, China. Huyu ni tajiri mwenye uwezo na TPSF ipo lakini haina mikakati ya kuwa na extension services kusaidia wakulima, wavuvi, wafugaji etc kufanya inavyotakiwa
wao wanunue mazao hayo kupitia union of Industrialist yao, awweke regional or district Cold Storage facilities wanunue mazao, wapeleke viwandani kwao au EPZ kwenye kiwanda cha matunda husika? Nani amfunge paka kengele? Kazi yao kulalama wakija wawekezaji kuwekeza katika shughuli wao wanasema-za wenyeji (waliobweteka pamoja na matajiri wasio muono wa kujituma). Samaki, maziwa yanamwagwa/zinaoza Mafia; Mifugo inazurura hovyo kutesa jamii-tumieni wataalamu wa Sokoine na vituo vya Mifugo vya serikali kuwaorganize wafugaji na sheria ichukue mkondo-No kilimo cha kuhamahama na ufugaji wa mihanjo. Kiwanda cha maziwa kijae maziwa ya mifugo. Fufueni vya nguo wacheni kujaza mitumba ktk godown mlizopewa-HAWAONI? Vijana hawana ajira-mnalaumu GVY; Mchina akina kushika sekta-mnalaumu, kuvamia, kuchoma moto. Mashirika ya locals ya Utalii kulipa madreva mishahara midogo. Anapeleka watalii TZ-Zimbabwe analipwa $10 per day-analala garini hawezi kulala lodging na kula
chakula vizuri-asiibie wateja? Tunajimaliziwa wenyewe.
Bado ile ya kuwaachia wananchi kujenga maeneo hatarishi mabondeni kisha tunawatembelea na kuwapa pole na mgao wa chakula. Sio kuwahamisha. Maeneo hayo toka ukoloni hayakujengwa nyumba za GVT na hata NHC ilipojenga baada ya uhuru. Wamevamia mpaka mabwawa ya kinyesi na daima maji ya kijesi hutiririka majumbani. Hata mitaro mipana iliyojengwa kwa hela ya wahisani kuondoa maji-wanatupa na kujaza takataka wakati mfumo wa uzoaji taka upo decentralized. Unaona nyumba ya kifahari inajengwa adjacent to a waste stabilization pond na jalala la mji/city la taka ngumu na jangwani mto ng'ombe. Serikali ya mtaa inakaa kimya, viongozi wanapita wanaona. Badala ya kupeleka greda kuondoa takangumu na uchafu wakato wa mazika hapo jangwani na mito mingine-peleka na greda ya kuvunja nyumba hizo zilizopo na kila inapoanza kujengwa ibomolewe ili sisi wananchi tuzingatie sheria. Mmewapa NEMC bakora ya kusimamia mazingira-Mnaingiza SIASA ya Nini? Kuna kila kitu TZ-Centre for
Housing Studies, Vyuo vya Ardhi na Uinjinia, Vyuo na Idara ya Utafiti wa Ujenzi wa Nyumba Bora, Vyuo na vituo vya Kilimo, Ufugaji, Uvuvi etc-kwa nini hatuendi ,mbali na tunafanya kinyume na sheria na mahakama yapo_SIASA. Ukitumia sheria-tutakosa kura. Hivyo video na pool tembo kuanzia asubuhi (Kipato); biashara mpaka barabarani na makaratasi yanatupwa hovyo yanasiba mitaro na mafuriko kuathiri afya na biashara, foleni (ukiwakjera tutakosa KURA). Hata aje Kiongozi PWEZA-kukubali kubadilika, kuondoa SIASA katika utendani na kuacha ushetaji wa kulipiziana kisasi, kubishana bungeni kama watoto wadogo badala ya kuangalia utaifa-tutaishia hapa tulipo na kurudi nyuma pia-Mungu atusaidie hasa.
--------------------------------------------
On Wed, 1/4/15, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Re: Urais CCM ni Lowassa au Mwigulu:positive Thinkers Tanzania.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 1 April, 2015, 18:51
Ili serikali ya awamu ya tano
ijitegemee....inahitaji reshufle ya sekta ya madini, utalii,
bandari na pia gesi.. .ni mtu asiye na makundi, mwadilifu na
mzalendo na mwenye nia ya dhati ya kuwasaidia watz ndiye
anayeweza kufanikiwa......Mungu atusaidie.
'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Yaah
Muganda you are right;Benno
hakuna anayesema EDLO hawezi kufanya kazi na maamuzi mengine
yawe magumu,kukurupushwa n.k.Concern
ya watu ni uadilifu,hii ni sifa ya msingi sana sana katika
uongozi.Je akipata hiyo nafasi tunauhakika gani kwamba
atakuwa msafi?Ni kheri
nusu shari,mana tayari tunafahamu kiwango cha uadilifu wake
kiasi kwamba ni kheri tukaamua mapema kuliko kubahatisha na
kukumbana na shari lenyewe.Tumepewa
akili(katika hili hatuhitaji akili za kina Newton) na uwezo
wa kufikiri lakini matumizi yake yapo tofauti sana,wabongo
tunaweza sana kufanya maamuzi ya kuchagua mahali sahihi kwa
kwenda kuponda maisha na kuchagua wamama warembo,lakini
maamuzi ya msingi hatuna habari.
Reuben
On Wednesday, April
1, 2015 1:59 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Kitu kizuri
ulichosema ni kutaja "upeo wako wa kisiasa" kwa
sababu kwa upeo wa wengine kisiasa Lowassa hafai.
em
Sent from my iPhone
> On Mar 31, 2015, at 2:06 PM, bennomushi@gmail.com
wrote:
>
> Kuna vutu vingine viko so DIRECT wala havina haja ya
ufafanuzi sana. Na kwa upeo wangu wa siasa nilo nao japo
mdogo sana; sioni Rais ajae zaidi ya Lowasa. Na kama ni
kweli kuna mtu anaadaliwa mwengine thats a great surprise
and I can't even imagine why???????????? Najua Rais
lazima atatoka CCM na sioni zaidi ya EDLO. Huyu tunamfahamu
vizuri sana na uchapaji wake wa kazi sio siri kwa mtanzania
yoyote. Tumuombe sana Mwenyezi Mungu atupe Kiongozi huyu
shupavu na mlezi wa wanyone walio wengi na atakaetetea
katiba ya Tanzania vyema bila kukurupushwa kwenye maamuzi
magumu ya nchi. Tanzania sasa hivi inahitaji maendeleo tena
ya KASI hasa ki uchumi. Na kasi ya EDLO inaeleweka. SO LETS
PRAY FOR CCM to do it right and with wisdom. MAY GOD BLESS
TANZANIA.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment