Thursday 30 April 2015

[wanabidii] YAHUSU : VIJANA KUWENI MACHO NA CUP ZA MIPIRA - HAITAWALIPA

Kumezuka mtindo wa .........cup , kama wanabidii cup!!
Wananchi tuwe macho, haya macup, hayalipi, zaidi ya kutaka kura watu waende mjengoni, kwa kuwa ni wa milele huko, baada ya kukataa vipindi vya ukomo wa Ubunge, wakati wa Urais ume perfom vizuri sana kwa hivyo vipindi viwili. .

Nashauri tubakieni na timu za mitaa, kata, wilaya, mikoa na Taifa zilizopo.Huo utitiri wa nini?Au nami nianzishe Salha Bakari cup!1 Vijana mtakuja kunipa support? Na viwanja ndo hivi, vimejaa maji, mipira haichezeki!1Badala ya kununua mipira na jezi, watengeneze hiyo miundo mbinu!1 Au muda hauwatoshi.

SB

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment