Thursday 30 April 2015

[wanabidii] Tujadili na hili: Sera mbalimbali za vyama tuzijue

Jamani kadri tunavyokaribia uchaguzi tunahitaji kujua sera na mwelekeo wa vyama kuhusu mambo mbalimbali hasa kumhusu maisha ya mtu wa chini

Yafaa vyama vijiandae kutwambia vitafanya nini. Yaani vitweleze sera zake.
Mfano mmoja miwili:
Sera ya CCM ni kuimarisha shirika la nyumba kwa kuliondolea kodi katika vifaa vya ujenzi ili shirika liweze kujenga nyumba za garama nafuu ambazo watu wa vipato vya chini, kati na juu watanunua kwa bei ndogo. Shirika hilo linakusudia kujengea 20% ya watanzania. Je vyama vingine vinakusudia kufanya nini katika hilo? Maana yake kwa sera ya CCM watanzania 80% wao watanufaika kwa kulipa kodi yote. Hii ni kweli kwa wanaokumbuka kimbunga Kahama Kiongozi mmoja alipoombwa kupunguza kodi kwa vifaa vya ujenzi (kiongozi huyo) aliuliza Utazuiaje sementi iliyopunguzwa kodi kuuzwa shinyanga? Mimi nilifikiri Shinyanga iko Rwanda

Jambo la pili nililo na shauku kujua ni kuhusu kodi
chi inahitaji fedha ili ijiendeshe kwa heshima.
Chanzo kimojawapo ni kodi.
Kwa jinsi ninavyoona sera ya CCM ni kutoza kodi toka kwa wananchi wake.
Ni kawaida mtanzania wa kawaida unapofungua biashara kabla hujazalisha au hujauza unalipa kodi lakini kwa wafayabiashara wakubwa na wale wawekezaji (ambao nchi zao zimewadhamini kuja kuwekeza kwa kwakopesha) wakija tanzania hawana bahati ya kulipa kodi kwa miaka mitano. Baada ya hapo (kama atakuwa hajabadili jina la biashara ndio anaweza kupata bahati ya kulipa kodi.
TRA ina mechanism ya kuwafuatilia hawa wafanyabiashara wa kitanzania wenye mitaji ya kuanzia milioni 4 kiasi hawezi kufurukuta kukwepa kodi. Ila wale wakubwa wanasubiliwa walete Si waaminifu tu??
Vyama vingine vinasemaje?
Tunataka kuelewa bwana.
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment