Wednesday, 1 April 2015

Re: [wanabidii] Approved New structure of MoEVT

Without "Ethical Culture" there is No Salvation for Humanity


Hii Ethical Culture ipo Tanzania Malata? Kisichana cha miaka 3 kinabakwa mbakaji anatakiwa kufungwa maisha lakini Hakimu tena Mwanamke anamsamehe na kumpa kifungo cha miaka 30. Amejitetea nini wakati alimuomba nyumbani akamnunulie pipi, akaenda naye porini, akambaka akamwacha huko? Baba anabaka mwanae wa kike eti mke hayupo. Kijana wake wa kiume tena mdogo anawaarifu majirani kwani kijana imemchosha. Mtoto anapimwa anaonekana kweli kaharibiwa na ushaidi upo. Kesi inachukuaje miaka? ethical culture maofisi yepi tu sio kote kuwapa watu haki za binadamu na hawa ni wanasheria au police wasomo. Mwalimu ana mke na watoto anabaka mwanafunzi na anajua haruhusiwi. Kisha kesi miaka halafu akimaliza kifugo amlipe fidia-baada ya miaka 30 sio kabla? Huyo muathirika atakuwepo hai? hata akiwa hai-atataka kukumbushwa yaliyopita mume wake na wakwe wajue kama aliwaficha. Itamuathiri akifanya hivo. Kwa nini fidia isilipwe kabla ya kifungo hata kuuza mali zake? siielewi.
Waliomtolea dhamana-wamchangie.

Mtoto anakwenda shule viatu vibovu shati/blauzi imechanika lakini baba analewa daily zaidi ya shs elfu 5 na mashati hata ya mtumba na viatu vya elfu moja vipo. Afanywe nini huyu hata ndugu wanamwacha afanye apendavyo na anatesa watoto. Pamoja na umasikini wake na kipato kidogo, kila akivuna mazao anauza anaongeza mke, nao wanasheherekea na kuwepo ngomani na arusini! Humanity hiyo tutaifikiaje? Tusipojiuliza mengi na kuyarekebisha kwa kuelimisha jamii, kuzingatia utekelezaji sheria.
CKU Njema.


--------------------------------------------
On Tue, 31/3/15, 'Malata.' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Approved New structure of MoEVT
To: "Vikindu Teacherscollege" <vikindutc@gmail.com>, "Fredson Urassa" <furassa@gmail.com>, "Fredson Urassa" <urassa_fredson@yahoo.com>, "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "Wanazuoni - Informal Network of Young Tanzanian Intellectuals" <wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Tuesday, 31 March, 2015, 18:37

Note the
Approved New structure of MoEVT ______________________________
Without "Ethical Culture" there is No Salvation for Humanity
______________________________
A D D R E S
S
John J. Malata
Vikindu Teachers` Training College.
P.O  Box 16268
DAR ES
SALAAM
TANZANIA 
Mobile:    +255 782366090
Blog:http://pengotz.blogspot.com/



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment