Saturday, 3 January 2015

Re: [wanabidii] Re:Al-shabab waweka ngome yao Tanzania

Ngupula,
Taifa fisadi na ovu kama hili, uovu katika makanisa, uovu katika serikali, uovu katika siasa, Mungu akitaka kulipiga, je,  ni lazima ashushe vimondo kutoka mbinguni? Kwani watu wake mwenyewe [Israel] alikuwa anafanyaje?
Na hutaki kuona mauaji ya kimbari ambayo watu hawa wanatuhumiwa kwayo. Kama ukisoma chochote kuhusu historia ya Al-Shabab na vita vyao, ni wamwagaji damu: wanakata masikio, wanakata pua, wanawachinja watu hadharani, wanawatoboa macho, wanawakata mikono, wanawakata miguu na wanawatoa watu utumbo. Hivi ndivyo namna wanavyofanya kazi; wanaua kwa uchungu sana. Hii inatokea kila wakati. Haijalishi kama wewe ni askari au raia. Wanafanya hivyo tu. Wanakuteketeza kwa moto ukiwa hai, wanakucharanga, wanapenda mambo ya visu, wanakukata kichwa, na wanakuning'iniza.
Unadhani hiki ni kichekesho? Hii inaweza kutokea kabisa. Na buni nani labda angesema "NDIYO" kwa hilo? Na haitanishangaza  HIVYO LOLOTE LAWEZA KUTOKEA. Ninatumaini kwamba kuna muda wa kutosha [kuomba na kutubu] ambao utakwenda sambamba ili tusione mojawapo kati ya mambo haya yakitokea, lakini kama hayakutokea nipo hapa na tutakwenda kuona ni nini kinatokea.
Unataka Tanzania huru? Unataka zile siku nzuri za za amani zije? Unataka kaki nchini? Unataka hawa Alshabab watoke katika nchi hii? Je, unataka ufisadi na maovu mengine yaondoke?
TUBU DHAMBI ZAKO, KAA SAWA NA MUNGU, ACHA KUABUDU MIUNGU MIMGINE, NA MUNGU ATAFANYA KITU KWA TAIFA HILI.  INAHITAJI KILA MTU KUFANYA HIVYO. WENGI WANAWEZA KUBADILISHA HISTORIA YA TAIFA HILI; WANAWEZA WAKABADILISHA NIA YA MUNGU---KAMA WANGELIFANYA HIVYO. SASA TUANZISHE MAPINDUZI YA TOBA.  Frank

From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, January 3, 2015 11:50 AM
Subject: [wanabidii] Re:Al-shabab waweka ngome yao Tanzania

Majuzi nilisoma habari iliyosema al shabab waweka ngome yao Tanzania...nikajiuliza maswali mengi sana ni pamoja na sababu kwa nini waweke ngome yao Tanzania?Hatari za usalama wetu kutokana na uwepo wa kundi hilo.  Lkn pia  tukumbuke jamii yetu tayari imegawanyika katika misingi ya kidini...uwepo wa watu hawa ni lazima utakuwa una manufaa kwa watu fulani na mwanya huu ndio maana umekuwepo. Tumeshuhudia vurugu na mauaji muda si mrefu uliopita kwa msingi tu wa tofauti za kiimani katika nanj anastahili kuchinja kwa misingi ya imani yake. Watu hawa wakiendelea kuwepo ni lazima watakuwa na madhara kwetu kama ilivyo sasa kwa taifa la kenya..tutafakari...

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment