Wednesday 28 January 2015

Re: [wanabidii] ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO

Ulitaka nao watumie siraha,sijapata kuona mwanamke unashangilia
fujo,wakati siku zote wanaotaabika ni nyie na watoto!yaani tangu
tibaijuka ang'olewe nakushangaa,makala zako zimekuwa sawa na mtu wa
std seven.Hebu tulia,tafakari acha uchochezi.

On 1/28/15, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO
> * WALINZI WA LIPUMBA HAWAKUPITA DEPO NDIYO MAANA SIYI SHUPAVU
>
> Na Happiness Katabazi
> WALINZI wa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba siyo Askari shupavu
> kwasababu hawajapita Depo na Lipumba ona haja sasa ya kuajiri walinzi
> wengine wapya ambao wana Mafunzo na mbinu za kisasa za Kupambana na maadui
> wako.
>
> Haiingii akilini Mlinzi wa kiongozi mkubwa kama Lipumba anakubali kudhibiti
> wa kirahisi namna ile na polisi halafu kufurukuta kidogo mbele ya wanaume
> wenzio 'polisi' ushindwe.Bora Lipumba uniajiri Mimi niwe mlinzi wako Kwani
> kwa video hii ni wazi Huna walinzi imara na ipo siku watakuja kukutelekeza
> kwenye Majanga Kama ya aina hiyo ili wazinusuru nafasi zao.
>
> Tunaambiwa Kuwa mlinzi anayemlinda kiongozi yupo Tayari kufa yeye kwanza
> ili kuakikisha anamnusuru kiongozi anakuwa salama Katika balaa lolote.
> Profesa Lipumba au walinzi wako Hao ni Makorokoroni?
>
> Video hii ,Polisi wameweza kuwazingira na kuwatandika kirahisi na kumchukua
> kiraini Boss wao Lipumba ambaye Lipumba wakati akiwa mikononi mwa wanaume
> 'Polisi' alionekana Kuwa mpole sana na nidhamu ya hali ya juu utafikiri siyo
> Lipumba huyu tunayemfahamu ambaye awapo majukwaani na Katika mikutano ya
> waandishi wa Habari uwa anajifanya mwanaume Jabari wa kuongea na Kumea
> mambo utafikiri anaweza kurusha ngumi,Kumbe wapi.
>
> Binafsi wakati mwingine uwa na wanazarau sana wanaume wanapenda sana
> kuongeaongea sana huku mitaani na kujifanya wenyewe ni wanaume washoka
> hawaogopi kitu.
>
> Kwasababu wanaume Wengi wa Ana hiyo nimewashuhudia sana wakifikishwa
> mahakamani,Polisi au wakiwa magerezani kwakweli wanakuwa na nidhamu ya Hali
> ya juu, Isipokuwa Swaiba wangu Mchungaji Christopher Mtikila ,huyu ni
> mwanaume wa Shoka na Nina mkubali sana Kwani hata akiwa mikononi mwa
> Polisi,Magereza yeye ujasiri wake upo pale pale na kidogooo pia 'mume wangu
> wa zamani', Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustine Mrema.
>
> Wito wangu kwa wananchi Tusikubali kushiriki maandamano yanayovunja Sheria
> za nchi ambayo yamekatazwa mwisho wa siku mtaishia kula kisago na Fedha za
> kujitinia majeraha ni tabu kupata, Mwenzenu Lipumba Jana kaugua kidogo
> Maradhi ya moyo kukimbizwa haraka Hospitali ya mAana kutibiwa, Nyie Maskini
> wenzangu nani aliwapatia Fedha ya kwenda kujitinia majeraha?
>
> By Happiness Katabazi
> Januari 29 Mwaka 2015.
> 0716 774494
>
>
> Sent from my iPad
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment