Friday, 30 January 2015

Re: P[wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo?

inategemeaa na a in a ya ndoa.ya mke mmoja au wake wengi.kama ni mke mmoja ni had I kifo.1Wakorintho 7:39 ndoa inahitaji maombi na uvum livu.  inawezekana zamani mke alikuwa hana kipato na alikupenda kutokana na hela yako na hukuwa umemshirikisha Mungu ukaoa tu kwa nje muonekano wake.Vumilia na kumuombea we we usiwe mwepesi wa kukasirika na kumtuhumu kubali na vumilia anayoyafanya na ysone kama ni marashi atahangaika huko we we Fanya wajibu wako wabndoa kama Master yeye ni msaidizi tu na kama kwenye tendon la ndoa unamtimizia na kujaa kimya huku ukimfurahia mkeo na tunda lenu la ndoa yaani Mtoto na usione kuwa yeye ndiye mbinsfsi  utaona nyumba yako ikiwa imara we we ikiwa na msimamo na sio kumlsumu mama mkwe.timiza majukumu kisha onyesha fyraha bila kujali anafanya nini. baada ya miezibmiaka kadhaa atajirudi na ndoa yakovitakuwa tamu

On Jan 26, 2015 9:16 AM, "'lucas haule' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kuna uwezekano hapakuwepo na ndoa tangia mwanzo. Ninashaka kulikuwa na kuhemkwa na kudanganyana.
Pili mara kadhaa wasichana wadogo wakiisha zaa, huwa kunakuwa na mazoea ( huu ni uzoefu wangu wa kufanya kazi na vijana) ya kuwapenda watoto waliowazaa sana kuliko mume au mume kutaka kufanya mapenzi wakati wao wamefundishwa na mila kuwa ukizaa hupaswi kufanya mapenzi kwa muda fulani.
Tatu huyu bwana ninaamini alivutiwa na kukurupuka kuchunguza. Nne huwezi kutumia neno kali la mbinafsi kama hujamuukumu mwenzio kabla. Angetoa sifa nzuri kiasi za mkewe kuliko kusema mbaya na mama mkwe vivyohivyo.
--------------------------------------------
On Sun, 1/25/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: P[wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo?
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Sunday, January 25, 2015, 7:23 PM

 Sent from Huawei Mobile

 -------- Original Message --------
 Subject: Re: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani
 hapo?
 From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
 To: wanabidii@googlegroups.com
 CC:

 Mbunda;
 Ni kweli muda ni Mwl mzuri sana,lkn shida kwetu binadamu ni
 kusubiri mpaka muda utimie,hapo kuna suguli ya kuvumilia
 mateso.
 Lakini mara nyingi iwe mume au mke anapokengeuka huwa mwisho
 ni majuto,matatizo ya ndoa yanatakiwa kumalizwa na
 wahusika,inapotokea maamuzi ya kuachana yakaonekana ndio
 suluhu,mwanzilishi Mola humuadhibu vizuri sana.
 Hivyo jomba kuwa mvumilivu.

 Reuben

 Sent from Huawei Mobile

 'weston mbuba' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Huyo tayari kapata
 anyemkung'uta vizuri. kuwa mpole kaka. mpe nafasi ila
 ajue wewe ndo wake. mwisho wa siku ataja gundua kuwa
 amekosea. by then it will be too late. muda wa kubabaikia
 mapenzi ulishapita sana.

      On Saturday, January
 24, 2015 5:14 PM, "'kokulibe@yahoo.com' via
 Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

  Mhhh hapo kuna tatizo. Imekuaje uka
 conclude kuwa ni maneno ya mama mkwe??? Unajua wanadamu tu
 wagumu sana kueleweka. Mwaka mmoja mdogo sana kuchokana au
 kujuana vyema,take time chunguza wapi kuna tatizo. Mmoja
 asiposhuka ndo ndoa ishaingia doa na shetani anajitwalia
 utukufu. 
 Pole sana. Kaeni muongee muwekane sawa. Na huyo
 kuongea kwa ujasiri kuwa muache atalea mwenyewe si
 bure.

 Sent from my HTC Phone
 ----- Reply message -----
 From: "'ngupula' via Wanabidii"
 <wanabidii@googlegroups.com>
 To: "Zablon Joseph" <jkiboga@gmail.com>,
 <wanabidii@googlegroups.com>
 Subject: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani
 hapo?
 Date: Sat, Jan 24, 2015 17:00
 Huyu jamaa ni muislam si ndio? No problem ...jichunguze sana
 wewe mwenyewe binafsi....nafikir kama mkeo ni mbinafsi
 ubinafsi wake ungeujua tangia mwanzoni.......na kama mkeo
 anakuchukia sasa basi ujue pengine mama mke anachangia tu
 yapo ya msingi kati yenu yanayomchukiza. ....ushairi wangu
 ni kuwa kwanza mpotezee huku mkiwa naye.....take your
 time....explore yourself.....na ukigundua kosa ni
 lako....jirekebishe....na ikiwa kosa ni lake....mkubalie tu
 akaenze maisha mapya....lkn wewe kaa peke yako aweza
 akajirud baadae..............hata hivyo inaoenekana mkeo na
 kipato kikubwa nawe unakitegemea kusonga mbele kimaisha....
 kama ni hivyo..  kwanza jikomboe kwa kumudu bajet ya
 familia....achana na mapato yake....ukitaka
 kuyatumia....then iwe kwa remote control and not
 direct.....

  Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com> wrote:

 Pole sana mke ni dhaifu hana maamuzi yake na
 nyumba yenu inaongozwa na mama mkwe, jinasue mapema ila
 simamia malezi ya mwanao kwa remote akifika umri muafaka
 mchukue. upande mwingine hadi kufikia hapo ni wazi kuwa
 awali ulipuuza maono yako..!
 On Jan 24, 2015 11:55
 AM, "Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com>
 wrote:

 Hapo iko shughuli kwani ukishaoa kwenye
 nyumba ya mama haya ndio matatizo kwani atataka aongoze
 nyumba yako kwa remote control.  Kama mkeo kadiriki
 kusema uwazi kuwa anaichukia ndoa yako basi huna la kufanya
 kwani kuishi kwenye ndoa ya huzuni na karaa haina
 haja.  Ningekushauri uende na mkeo kwa mama yake ueleze
 aliyokuambia mkeo na kama mama mkwe atakuwa anakubaliana a
 maamuzi ya mkeo ndoa kwishne.  Mshirikishe msimamizi wa
 ndoa na ndugu yako wa karibu katika msiba huu.  Pole
 sana hii ndio dunia na hii ni baadhi ya mkenge unaoweza
 kutokea mbele ya kila binadamu yeyote.

 Herment

 Date: Sat, 24 Jan 2015 00:47:05 -0800
 From: jumamzuri@gmail.com
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Subject: [wanabidii] Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani
 hapo?

 NAOMBA
 USHAURI WAKO MWANANDOA MWENZANGU:Nimeoa
 mwaka mmoja uliopita na kubahatika kupata mtoto mmoja.Tatizo
 linaloisibu ndoa yangu ni kwamba mke wangu ni mbinafsi
 vibaya sana,awali changu chake ila cha kwake usiguse,pia ni
 kiburi sana hataki umuelekeze chochote kile sasa hivi
 inakuwa ugomvi.Baada ya kuchunguza mama Mkwe ndio Mwalimu wa
 mke wangu kuhusu matatizo yote hayo nikampa ukweli wife kuwa
 tuna mtoto wa miezi 8 leo unaleta vurugu tuachane kwasababu
 ya maneno ya mama ako akajibu anachukia ndoa yangu anatamani
 muda wowote nimuache na yupo tayari mtoto atalea
 mwenyewe.
 Wanandoa wenzangu nisaidieni kunani hapo??

 Falhan
 Rahul

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 To unsubscribe from this group and stop receivin

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment