Thursday 29 January 2015

Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'

Yaani kweli ukikosa HEKIM umekosa kitu muhimu sana katika maisha.

Sent from my HTC Phone

----- Reply message -----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'
Date: Thu, Jan 29, 2015 14:55

Allan.  Mimi nafikiri huyu anawakilisha haiba ya chuo. Ndivyo kilivyo. Isingekuwa hivyo angeishaondolewa. Haiwezekani wakawa hawajayaona haya anayoyawakilisha humu na haiwezeka akawa na sura tofauti akiwa chuoni  --------------------------------------------  On Wed, 1/28/15, 'allanlawa@yahoo.co.uk' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:     Subject: Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'   To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>   Date: Wednesday, January 28, 2015, 11:06 PM      Happiness tumia lugha yenye staha   katika maandishi yako kwani unabeba haiba ya chuo kikuu cha   Bagamoyo. Wewe ni mwanafunzi wa sheria na siyo msomi wa   sheria. Huu ni ushauri wangu kwako utaheshimika kwa kujenga   hoja na siyo kwa kutukana.   Sent   from Yahoo Mail on Android                                                                                                                                                                                                               From:                                                              'lucas haule' via   Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;                                                                                                   To:                                                                 <wanabidii@googlegroups.com>;                                                                                                                                                    Subject:                                                              Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA   'UMEBUGI MEN'                                                                                                 Sent:                                                              Wed, Jan 28, 2015 11:26:58 AM                                                                                                                             Maumivu ya kichwa huanza   polepole.   --------------------------------------------   On Wed, 1/28/15, 'Happiness Katabazi'   via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:       Subject: [wanabidii] PROFESSA   LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'    To:   "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>    Date: Wednesday, January 28, 2015, 2:24 PM        PROFESSA LIPUMBA   'UMEBUGI MEN'        Na   Happiness Katabazi          JANUARI 27 Mwaka huu, jeshi la Polisi Mko wa Kipolisi    Temeke, liliamua kutumia Nguvu kuwatawanya   wafuasi    wa Chama    cha Wananchi (CUF) na kufanikiwa   kumkamata Mwenyekiti wa    Taifa wa Chama   hicho Profesa Ibrahim  Lipumba na    wenzake   .        Polisi walidai   wamekiuka sheria za nchi ikiwemo Kutenda      kosa  la kukaidi amri ya Jeshi Hilo iliyozuia    wasiandamane.        Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi ,   ilisema CUF il    iliandika barua ya kuomba   Kibali cha kufanya maandamano na    mkutano   eneo la Mbagala Zakhem Jana lakini Jeshi Hilo    lilikataa ombi Hilo na Kabla ya kufika siku ya   Jana Jeshi    Hilo lilikuwa limeishakipelekea   Chama cha CUF, barua ya    Jeshi Hilo   inayozuia CUF isifanye maandamano Jana na CUF na    Lipumba hadi Jana alikuwa hajawasilisha   maandishi pingamizi    la amri hiyo ya Jeshi   la Polisi.        Matokeo yake   Profesa Lipumba na wafuasi wake Jana waliamua    kutoka ofisini Kwao huku wakitembea  kwa   miguu kwa    kisingizio Kuwa wanaenda   kuairisha mkutano huo.          Lakini Wakati Lipumba na wenzake wakitumia mbinu hiyo ya    kutoti waliyofikiti itawasaidia kuwapiga   chenga ya mwili    Polisi ,na CUF wakisahau   Msemo usemao 'katika msafara wa      Mamba,Kenge Pia wamo'.        Jeshi la  Polisi kupitia 'mawashawasha   wao' yaani    makachero wao ,muda mrefu   sana Kumbe walikuwa wameishaibini    mbinu   hiyo ya Lipumba na wafuasi wao ya kukaidi kiaina amri    ya jeshi la Polisi iliyotaka CUF   wasiandamane.        Hiyo Polisi   gani kwenye akili timamu angeshindwa kubaini    hiyo mbinu ya CUF waliyoitumia    Jana ilikuwa na Lengo la    kukaidi amri ya   Jeshi la Polisi iliyowataka za      wasiandamane?            Ndipo Jeshi la Polisi lipoutangazia umati ule   wa CUF Kuwa    watawanyike kwasababu   wanachokifanya ni kinyume cha Sheria    lakini   baadhi ya wafuasi waliokaidi ndiyo Polisi waliamua    kutumia mabomu ya Machozi na kuwaadhibu   waliokaidi na Kisha    Kumtia nguvu ni    Lipumba Ambaye ndiye alikuwa Kinara wa      maandamano hayo haramu.          Ieleweke wazi kuna taarifa Kuwa Lipumba anataka Kugombea    Ubunge jimbo la Temeke kwasababu amechoka   Kugombea nafasi ya    urais ambayo   ameishagombea zaidi ya Mara Tatu na amekuwa      akishindwa.        Kwa hiyo   kumbukizi hiyo ya Mauji ya waliokuwa wanachama wa    CUF kule    Pemba ambayo alikuwa akiyaongoza Jana ,ilikuwa ni    Karatasi ya kisiasa iliyokuwa imepangwa   kutumiwa na Lipumba    kuanza kujipitisha kwa   wakazi wa Jimbo la Temeke lakini    wajuzi wa   mambo wamelibaini Hilo Mapema wanamcheka Ujinga.        Wafuatiliaji wa siasa za   nchi hii tunajiuliza  ni    kwanini kabla ya   mwaka Huu wa uchaguzi mkuu , Lipumba na CUF      yake imekuwa haifanyi kumbukizi hiyo kwa Maandalizi   makubwa    kiasi hicho hadi Mwaka huu wa   uchaguzi Mkuu wa 2015 ndiyo    Lipumba na   Chama Chake kiwe na kimuemue cha kufanya      kumbukizi hiyo kwa Maandalizi kabambe?        Kuna ajenda gani ya siri ya kumbukizi hii ya   mauji ya    Pemba.Yaani msiba utoke Pembe -   Zanzibar halafu maandamano    ya kumbukizi   ikafanyiwe Mbagala - Dar es Salaam, wakati      wakazi wa Mbagala siyo wafiwa wa Msiba wa kumbukizi hiyo   ya    Mauji ya Pemba?        Watoto wa mjini tunasema Profesa Lipumba una   Lako jambo na    Si jingine ni unataka Ubunge   wa Jimbo la Temeke. Lipumba    Umebugi Men.        Hao marehemu mnaowafanyia   kumbukizi nao waliotuhumiwa    kuwachinja   Askari wa Jeshi la Polisi huko Zanzibar , Mbona    CUF haifanyi kumbukizi ya kukumbuka Askari   wale    waliochinjwa?         Kila siku wabunge Bungeni wanaomba Jeshi la   polisi    liongezewe fedha za kununulia   vitendea kazi kama mabomu,    silaha za   kisasa, virungu, uniform Na Polisi waboreshewe    mishahara na makazi Yao.        Nauliza mnataka hivyo virungu Vya   Polisi,mabomu ya Machozi       yanayomilikiwa na Jeshi la Polisi  hayo mabomu ya    Machozi yakatumike kufanyia Uvuvi haramu wa   Samaki? Au hivyo    virungu Vya Polisi mnataka   Wapewe watu wa Kabila la Wamasai    wakatumie   virungu hivyo kuchungia Ng'ombe na Mbuzi?        Virungu na Mabomu ya Machozi   ni matumizi sahihi kwa watu    wakorofi Kama   Lipumba na wenzake .        Cha   Msingi hapa ni wananchi watii Sheria bila shuruti    .Ukitii Sheria bila shuruti utakuwa umeepuka   kupigwa virungu    na mabomu ya   machozi,mitama,nakozi na Matoke na kung'atwa na    Mbwa wa Polisi.        Binadamu wote ni sawa Mbele ya Sheria na Ibara   ya 13(1) ya    Katiba ya Jamhuri ya Muungano   wa Tanzania ya Mwaka 1977 ,    inasomeka HIvi;   ' Watu wote ni sawa mbele ya Sheria  na    wanayo haki , bila ya ubaguzi wowote   ,kulindwa  na    kupata haki sawa  Mbele ya   Sheria'.        Kwa Tafsiri   nyepesi ya Ibara hiyo ,Jeshi la polisi      limetekeleza matakwa ya ibara hiyo kwa kukukamata wewe na    wenzako licha unayo madaraka makubwa na   kukufikisha katika    mkondo wa sheria   kwasababu watu wote ni sawa mbele ya      sheria.        Kwani wasomi wa   sheria tunaposema  Usawa mbele ya    sheria    basi usawa huo auangalii umri wa ,elimu      ,itikadi wala rangi kwani binadamu wote ni sawa mbele ya    jicho la sheria.        Nalipongeza Jeshi la Polisi chini ya IGP-   Ernest Mangu kwa    kuzinduka usingizini sasa   kuanza kuwatia 'displine' viongozi      wa juu wa vyama Vya siasa Kama Lipumba Jana    mlivyomtia adabu    .        Nalipongeza sana mAana hawa viongozi wa juu wa   baadhi ya    vyama siasa ni Kama mashetani   wamekuwa na tabia chafu ya    kuwana na ajenda   zao binafsi za kuleta Uvunjifu wa Amani      nchini ambazo wafuasi wao Wengi hawazijui wanaamua   kuwaunga    mkono mwisho wa siku wafuasi wao   Ndio wanaishia    kushughulikiwa na Jeshi la   Polisi.        Rais wa   Zimbambwe  Robert Mugabe na Rais wa Uganda      ,Yoweri Mseveni  huwa hawataki kuendekeza viongozi wa    aina hiyo, wanausalama wa majeshi hayo uwa   wanaanza    kuwashughulikia kwa vipigo   vitakatifu Hao viongozi wa juu wa    vyama Vya   upinzani na viongozi wa juu wa Makundi mengine    ambayo yanaamasisha wafausi Hao washiriki   maandamano    haramu.        Tulimshuhudia Rais Mugabe alivyotoa adabu   aliyekuwa kiongozi    wa upinzani nchini   Zimbabwe ,Tsvangirai na rais Mseveni      alipomtia adabu Besige hadi Leo hii hao vinara wa   Chokochoko    wamefyata Mkia.          Enzi za Utawala wa Rais Benjamin Mkapa   wakati jeshila Polisi    likiongozwa na IGP-   Omar Mahita aliweza kudhibiti na    kumaliza   Nguvu za baadhi ya wanasiasa wa upinzani na      wanaharakati uchwara waliokuwa hawana ajenda zenye   mashiko    waliokuwa wakikaidi amri ya Jeshi   la Polisi .            Mchana wa Leo ,Mbunge wa kuteuliwa James   Mbatia aliliomba    Bunge liairishwe ili   waweze kujadili hoja ya kwanini Jeshi    la   Polisi limempatia ' mkong'oto heavy ' Lipumba   Jana Kwani    eti Lipumba ni kiongozi   mkubwa,watoto na    waandishi wa Habari    walioumizwa Jana.        Spika Anne Makinda akitumia   mamlaka yake na Kusema ametumia    madaraka   yake kuimuru serikali Kesho ije kujieleza bungeni    kuhusu tukio Hilo.        Wakati Makinda akitoa agizo Hilo, baadhi ya   wabunge     kwakweli mi nadiriki kuwaita ni   wendawazimu na ambao hawana    nidhamu wala   staha,waliinuka na kuanza kupinga agizo Hilo la    Makinda tena bila kutoa kipengele gani   kinawaruhusu kufanya    hivyo hali   iliyosababisha zogo Kuzuka bungeni utafikiri watu    wapo Sokoni.        Jamani, Kama Bunge la Tanzania ambalo wabunge   wake ndiyo    watunga Sheria na Ndio baadhi   Yao wanakuwa wakwanza    kutoheshimu na kutii   maagizo ya kiongozi wao yaani Spika,    HIvi   tunaweza Kusema    tunawatunga Sheria kweli ?        Nikisema kuna baadhi ya wabunge wa upinzani ni   wendawazimu    nitakuwa nakosa?Nidhamu na   busara kwa wabunge Hao wa    upinzani Iko   wapi? Eti hawa ndiyo Watanzania turuhusu vyama    Vya upinzani kiongozi taifa hili kwa tabia   Kama hizi za    kiuwenda wazi?haiwezekani.        Mbatia aliyoyasema Leo   Bungeni HIvi haramu Mbele ya    Wanasheria wa   namuona ni Mtu wa ajabu sana?        Maana Kifungu cha 8 cha Sheria ya Kanuni ya   Adhabu ya Mwaka    2002, inasema kutofahaumu   Sheria siyo kinga yakutoadhibiwa.        Mbatia haelewi Sheria na Huyo Lipumba   hawaelewi Sheria hivyo    ndiyo mAana   wanafikiri hawawezi kufadhiliwa.Mnajidanganya.    Mbatia Leo bungeni Kasema eti waliwahi   kuzungumza na Rais wa    Nchi wakasema eti   viongozi wa juu nawatapigwa?         HIvi rais wa nchi, IGP ni Sheria?Rais wa nchi,   IGP wote    Taasisi zao zimeanzishwa kwa   mujibu wa Sheria na wanatakiwa    wafanyakazi   zao kwa mujibu wa Sheria.Kama kweli mlikubaliana    hiyo basi waliamua kuwageuza viongozi wa   upinzani    'Mambululala' kwasababu   hamfahamu Sheria na Nyie kwa Ujinga    wenu   mkakubaliana.        Mbatia acha   Sheria Ufuate mkono wake , Mbona Halima Mdee,    Sheikh Ponda Issa Ponda walivyoamua tea na   kufikishwa    mahakamani Mbona hatukukona   ukisimama bungeni kuomba Bunge    liarishwe   ili Mjadili kwanini Mdee ,Ponda wamepigwa na    kufikishwa mahakamani?        Na kwa taarifa yenu Nyie wabunge ambao   mmezusha zogo Bunge    Leo kwa    Shinikizo la kutaka ombi la Mbatia la kujadili    kipigo kwa Lipumba lijadiliwe Leo, kwa taarifa   yenu sisi    wasomi wa Sheria tunasema imekula   kwenu, Kwani Tayari    Mkurugenzi wa Mashitaka   (DPP), Biswalo Mganga    kaishamwandilisha   hati Mashitaka Lipumba na atafikishwa      mchana huu Katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam .        Na akishasomewa Mashitaka ya   nayomkabili ndiyo basi tena    Bunge linakuwa   limefungwa mikono kujadili Kesi iliyopo      mahakamani. Kwa Tafsiri nyepesi  Nyie wabunge    'wendawazimu' mliozusha zogo Leo   Bungeni mmejiaribia wenyewe    .        Mlijiona mnaakili sana   kuliko Spika Makinda.Mnamzarau    kwasababu ni   mwanamke? Sasa mjanja nani Kati ya Nyie wabunge    'machizi' na Makinga?Mjanja ni Makinda   na    Jeshi la Polisi na    Ofisi ya DPP.        Kama mnampenda sana Lipumba   jichangisheni Fedha    kumuwekee  Mawakili   wazuri au pandeni  Ndege    nendeni   makamuwekee dhamana Katika Mahakama ya Kisutu.        Nashauri Kanuni na sheria ya   Bunge ifanyiwe mabadiliko    ambayo   yataingizwa kipengele cha kuruhusu matumizi ya    virungu na mabomo ya machozi  yatumike ndani   ya bunge    pindi wabunge wakorofi wanapozusha   ukorofi ndani ya bunge n    kusababisha muda   wa bunge kuairishwa kwasababu ya vuugu      hizo.        Tumeishabaini   Sababu ya wewe Lipumba kuamisha  msiba wa      Pemba Kuja Mbagala ni kwasababu  wewe Lipumba    umeanza  kampeni za Ubunge jimbo la Temeke   Kama    mlivyokubalana na viongozi wenzio wa   UKAWA katika    vikao    vyenu vya siri  kuwa nyie viongozi   wa juu wa vyama    vinavyounda UKAWA  mgawane   majimbo yaani mkagombee    ubunge badala ya   urais kwani tayari mmeishaona nafasi ya      urais hampati.Hilo limejulikana.        Profesa Lipumna Kama una huruma na Marehemu    wale    siungeenda Pemba ukawakusanya wafiwa   Ukawapikia  Pilau    na Biliani na Tende na   Haruwa ungewapatia na ungeita na    viongozi   wa dini na Kisomo mngewasomea marehemu wale.        Fanya Kama Mwenyekiti wa   Makampuni  ya IPP, Reginal    Mengi yeye   anawaonea huruma Maalbino,walemavu wa viungo    hivyo kila Mwaka amenitengea siku Moja   kuwaandalia Mlo wa    Mchana anakula nao na   kuwasaidia.        Lipumba Janja   yako ya kutaka Ubunge jimbo la Temeke       imejulikana, na siyo kosa kisheria kutaka Kugombea jimbo   ila    kosa ni kukaidi amri Hali za mamlaka   husika.Usitumie    Kumbukumbu za misiba ya   watu kujifanyia kampeni katika jimbo    ka   Temeke, mizimu ya marehemu Hao itakusurubu. Lipumba    umebugi  Men.        Chanzo: Happy Katabazi    Blog:   www.katabazihappy.blogspot.com    Januari 28   Mwaka 2015.    0716 774494              Sent from my iPad        --     Send   Emails to wanabidii@googlegroups.com          Kujiondoa Tuma Email kwenda     wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com     Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma        Disclaimer:      Everyone posting to this Forum bears the sole   responsibility    for any legal consequences   of his or her postings, and hence      statements and facts must be presented responsibly. Your    continued membership signifies that you agree   to this    disclaimer and pledge to abide by   our Rules and Guidelines.    ---     You received this message because you are   subscribed to the    Google Groups   "Wanabidii" group.    To unsubscribe   from this group and stop receiving emails      from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.    For more options, visit       https://groups.google.com/d/optout.      --    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com      Kujiondoa Tuma Email kwenda      wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata   Email ya kudhibitisha ukishatuma      Disclaimer:   Everyone posting to   this Forum bears the sole responsibility for any legal   consequences of his or her postings, and hence statements   and facts must be presented responsibly. Your continued   membership signifies that you agree to this disclaimer and   pledge to abide by our Rules and Guidelines.   ---    You received this message   because you are subscribed to the    Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this group and stop   receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.   For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.                                                                     --       Send Emails to wanabidii@googlegroups.com             Kujiondoa Tuma Email kwenda       wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya   kudhibitisha ukishatuma             Disclaimer:      Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility   for any legal consequences of his or her postings, and hence   statements and facts must be presented responsibly. Your   continued membership signifies that you agree to this   disclaimer and pledge to abide by our Rules and   Guidelines.      ---       You received this message because you are subscribed to the   Google Groups "Wanabidii" group.      To unsubscribe from this group and stop receiving emails   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.      For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.       --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com    Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma    Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  ---   You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.  

0 comments:

Post a Comment