Thursday, 29 January 2015

Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'

Allan.
Mimi nafikiri huyu anawakilisha haiba ya chuo. Ndivyo kilivyo. Isingekuwa hivyo angeishaondolewa. Haiwezekani wakawa hawajayaona haya anayoyawakilisha humu na haiwezeka akawa na sura tofauti akiwa chuoni
--------------------------------------------
On Wed, 1/28/15, 'allanlawa@yahoo.co.uk' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 28, 2015, 11:06 PM

Happiness tumia lugha yenye staha
katika maandishi yako kwani unabeba haiba ya chuo kikuu cha
Bagamoyo. Wewe ni mwanafunzi wa sheria na siyo msomi wa
sheria. Huu ni ushauri wangu kwako utaheshimika kwa kujenga
hoja na siyo kwa kutukana.
Sent
from Yahoo Mail on Android








From:

'lucas haule' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;



To:


<wanabidii@googlegroups.com>;



Subject:

Re: [wanabidii] PROFESSA LIPUMBA
'UMEBUGI MEN'


Sent:

Wed, Jan 28, 2015 11:26:58 AM





Maumivu ya kichwa huanza
polepole.
--------------------------------------------
On Wed, 1/28/15, 'Happiness Katabazi'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] PROFESSA
LIPUMBA 'UMEBUGI MEN'
To:
"WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 28, 2015, 2:24 PM

PROFESSA LIPUMBA
'UMEBUGI MEN'

Na
Happiness Katabazi


JANUARI 27 Mwaka huu, jeshi la Polisi Mko wa Kipolisi
Temeke, liliamua kutumia Nguvu kuwatawanya
wafuasi
wa Chama
cha Wananchi (CUF) na kufanikiwa
kumkamata Mwenyekiti wa
Taifa wa Chama
hicho Profesa Ibrahim  Lipumba na
wenzake
.

Polisi walidai
wamekiuka sheria za nchi ikiwemo Kutenda

kosa  la kukaidi amri ya Jeshi Hilo iliyozuia
wasiandamane.

Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi ,
ilisema CUF il
iliandika barua ya kuomba
Kibali cha kufanya maandamano na
mkutano
eneo la Mbagala Zakhem Jana lakini Jeshi Hilo
lilikataa ombi Hilo na Kabla ya kufika siku ya
Jana Jeshi
Hilo lilikuwa limeishakipelekea
Chama cha CUF, barua ya
Jeshi Hilo
inayozuia CUF isifanye maandamano Jana na CUF na
Lipumba hadi Jana alikuwa hajawasilisha
maandishi pingamizi
la amri hiyo ya Jeshi
la Polisi.

Matokeo yake
Profesa Lipumba na wafuasi wake Jana waliamua
kutoka ofisini Kwao huku wakitembea  kwa
miguu kwa
kisingizio Kuwa wanaenda
kuairisha mkutano huo.


Lakini Wakati Lipumba na wenzake wakitumia mbinu hiyo ya
kutoti waliyofikiti itawasaidia kuwapiga
chenga ya mwili
Polisi ,na CUF wakisahau
Msemo usemao 'katika msafara wa

Mamba,Kenge Pia wamo'.

Jeshi la  Polisi kupitia 'mawashawasha
wao' yaani
makachero wao ,muda mrefu
sana Kumbe walikuwa wameishaibini
mbinu
hiyo ya Lipumba na wafuasi wao ya kukaidi kiaina amri
ya jeshi la Polisi iliyotaka CUF
wasiandamane.

Hiyo Polisi
gani kwenye akili timamu angeshindwa kubaini
hiyo mbinu ya CUF waliyoitumia
Jana ilikuwa na Lengo la
kukaidi amri ya
Jeshi la Polisi iliyowataka za

wasiandamane?


Ndipo Jeshi la Polisi lipoutangazia umati ule
wa CUF Kuwa
watawanyike kwasababu
wanachokifanya ni kinyume cha Sheria
lakini
baadhi ya wafuasi waliokaidi ndiyo Polisi waliamua
kutumia mabomu ya Machozi na kuwaadhibu
waliokaidi na Kisha
Kumtia nguvu ni 
Lipumba Ambaye ndiye alikuwa Kinara wa

maandamano hayo haramu.


Ieleweke wazi kuna taarifa Kuwa Lipumba anataka Kugombea
Ubunge jimbo la Temeke kwasababu amechoka
Kugombea nafasi ya
urais ambayo
ameishagombea zaidi ya Mara Tatu na amekuwa

akishindwa.

Kwa hiyo
kumbukizi hiyo ya Mauji ya waliokuwa wanachama wa
CUF kule
Pemba ambayo alikuwa akiyaongoza Jana ,ilikuwa ni
Karatasi ya kisiasa iliyokuwa imepangwa
kutumiwa na Lipumba
kuanza kujipitisha kwa
wakazi wa Jimbo la Temeke lakini
wajuzi wa
mambo wamelibaini Hilo Mapema wanamcheka Ujinga.

Wafuatiliaji wa siasa za
nchi hii tunajiuliza  ni
kwanini kabla ya
mwaka Huu wa uchaguzi mkuu , Lipumba na CUF

yake imekuwa haifanyi kumbukizi hiyo kwa Maandalizi
makubwa
kiasi hicho hadi Mwaka huu wa
uchaguzi Mkuu wa 2015 ndiyo
Lipumba na
Chama Chake kiwe na kimuemue cha kufanya

kumbukizi hiyo kwa Maandalizi kabambe?

Kuna ajenda gani ya siri ya kumbukizi hii ya
mauji ya
Pemba.Yaani msiba utoke Pembe -
Zanzibar halafu maandamano
ya kumbukizi
ikafanyiwe Mbagala - Dar es Salaam, wakati

wakazi wa Mbagala siyo wafiwa wa Msiba wa kumbukizi hiyo
ya
Mauji ya Pemba?

Watoto wa mjini tunasema Profesa Lipumba una
Lako jambo na
Si jingine ni unataka Ubunge
wa Jimbo la Temeke. Lipumba
Umebugi Men.

Hao marehemu mnaowafanyia
kumbukizi nao waliotuhumiwa
kuwachinja
Askari wa Jeshi la Polisi huko Zanzibar , Mbona
CUF haifanyi kumbukizi ya kukumbuka Askari
wale
waliochinjwa?

  Kila siku wabunge Bungeni wanaomba Jeshi la
polisi
liongezewe fedha za kununulia
vitendea kazi kama mabomu,
silaha za
kisasa, virungu, uniform Na Polisi waboreshewe
mishahara na makazi Yao.

Nauliza mnataka hivyo virungu Vya
Polisi,mabomu ya Machozi

yanayomilikiwa na Jeshi la Polisi  hayo mabomu ya
Machozi yakatumike kufanyia Uvuvi haramu wa
Samaki? Au hivyo
virungu Vya Polisi mnataka
Wapewe watu wa Kabila la Wamasai
wakatumie
virungu hivyo kuchungia Ng'ombe na Mbuzi?

Virungu na Mabomu ya Machozi
ni matumizi sahihi kwa watu
wakorofi Kama
Lipumba na wenzake .

Cha
Msingi hapa ni wananchi watii Sheria bila shuruti
.Ukitii Sheria bila shuruti utakuwa umeepuka
kupigwa virungu
na mabomu ya
machozi,mitama,nakozi na Matoke na kung'atwa na
Mbwa wa Polisi.

Binadamu wote ni sawa Mbele ya Sheria na Ibara
ya 13(1) ya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania ya Mwaka 1977 ,
inasomeka HIvi;
' Watu wote ni sawa mbele ya Sheria  na
wanayo haki , bila ya ubaguzi wowote
,kulindwa  na
kupata haki sawa  Mbele ya
Sheria'.

Kwa Tafsiri
nyepesi ya Ibara hiyo ,Jeshi la polisi

limetekeleza matakwa ya ibara hiyo kwa kukukamata wewe na
wenzako licha unayo madaraka makubwa na
kukufikisha katika
mkondo wa sheria
kwasababu watu wote ni sawa mbele ya

sheria.

Kwani wasomi wa
sheria tunaposema  Usawa mbele ya
sheria 
basi usawa huo auangalii umri wa ,elimu

,itikadi wala rangi kwani binadamu wote ni sawa mbele ya
jicho la sheria.

Nalipongeza Jeshi la Polisi chini ya IGP-
Ernest Mangu kwa
kuzinduka usingizini sasa
kuanza kuwatia 'displine' viongozi

wa juu wa vyama Vya siasa Kama Lipumba Jana
mlivyomtia adabu
.

Nalipongeza sana mAana hawa viongozi wa juu wa
baadhi ya
vyama siasa ni Kama mashetani
wamekuwa na tabia chafu ya
kuwana na ajenda
zao binafsi za kuleta Uvunjifu wa Amani

nchini ambazo wafuasi wao Wengi hawazijui wanaamua
kuwaunga
mkono mwisho wa siku wafuasi wao
Ndio wanaishia
kushughulikiwa na Jeshi la
Polisi.

Rais wa
Zimbambwe  Robert Mugabe na Rais wa Uganda

,Yoweri Mseveni  huwa hawataki kuendekeza viongozi wa
aina hiyo, wanausalama wa majeshi hayo uwa
wanaanza
kuwashughulikia kwa vipigo
vitakatifu Hao viongozi wa juu wa
vyama Vya
upinzani na viongozi wa juu wa Makundi mengine
ambayo yanaamasisha wafausi Hao washiriki
maandamano
haramu.

Tulimshuhudia Rais Mugabe alivyotoa adabu
aliyekuwa kiongozi
wa upinzani nchini
Zimbabwe ,Tsvangirai na rais Mseveni

alipomtia adabu Besige hadi Leo hii hao vinara wa
Chokochoko
wamefyata Mkia.


Enzi za Utawala wa Rais Benjamin Mkapa
wakati jeshila Polisi
likiongozwa na IGP-
Omar Mahita aliweza kudhibiti na
kumaliza
Nguvu za baadhi ya wanasiasa wa upinzani na

wanaharakati uchwara waliokuwa hawana ajenda zenye
mashiko
waliokuwa wakikaidi amri ya Jeshi
la Polisi .


Mchana wa Leo ,Mbunge wa kuteuliwa James
Mbatia aliliomba
Bunge liairishwe ili
waweze kujadili hoja ya kwanini Jeshi
la
Polisi limempatia ' mkong'oto heavy ' Lipumba
Jana Kwani
eti Lipumba ni kiongozi
mkubwa,watoto na
waandishi wa Habari
walioumizwa Jana.

Spika Anne Makinda akitumia
mamlaka yake na Kusema ametumia
madaraka
yake kuimuru serikali Kesho ije kujieleza bungeni
kuhusu tukio Hilo.

Wakati Makinda akitoa agizo Hilo, baadhi ya
wabunge 
kwakweli mi nadiriki kuwaita ni
wendawazimu na ambao hawana
nidhamu wala
staha,waliinuka na kuanza kupinga agizo Hilo la
Makinda tena bila kutoa kipengele gani
kinawaruhusu kufanya
hivyo hali
iliyosababisha zogo Kuzuka bungeni utafikiri watu
wapo Sokoni.

Jamani, Kama Bunge la Tanzania ambalo wabunge
wake ndiyo
watunga Sheria na Ndio baadhi
Yao wanakuwa wakwanza
kutoheshimu na kutii
maagizo ya kiongozi wao yaani Spika,
HIvi
tunaweza Kusema
tunawatunga Sheria kweli ?

Nikisema kuna baadhi ya wabunge wa upinzani ni
wendawazimu
nitakuwa nakosa?Nidhamu na
busara kwa wabunge Hao wa
upinzani Iko
wapi? Eti hawa ndiyo Watanzania turuhusu vyama
Vya upinzani kiongozi taifa hili kwa tabia
Kama hizi za
kiuwenda wazi?haiwezekani.

Mbatia aliyoyasema Leo
Bungeni HIvi haramu Mbele ya
Wanasheria wa
namuona ni Mtu wa ajabu sana?

Maana Kifungu cha 8 cha Sheria ya Kanuni ya
Adhabu ya Mwaka
2002, inasema kutofahaumu
Sheria siyo kinga yakutoadhibiwa.

Mbatia haelewi Sheria na Huyo Lipumba
hawaelewi Sheria hivyo
ndiyo mAana
wanafikiri hawawezi kufadhiliwa.Mnajidanganya.
Mbatia Leo bungeni Kasema eti waliwahi
kuzungumza na Rais wa
Nchi wakasema eti
viongozi wa juu nawatapigwa?

HIvi rais wa nchi, IGP ni Sheria?Rais wa nchi,
IGP wote
Taasisi zao zimeanzishwa kwa
mujibu wa Sheria na wanatakiwa
wafanyakazi
zao kwa mujibu wa Sheria.Kama kweli mlikubaliana
hiyo basi waliamua kuwageuza viongozi wa
upinzani
'Mambululala' kwasababu
hamfahamu Sheria na Nyie kwa Ujinga
wenu
mkakubaliana.

Mbatia acha
Sheria Ufuate mkono wake , Mbona Halima Mdee,
Sheikh Ponda Issa Ponda walivyoamua tea na
kufikishwa
mahakamani Mbona hatukukona
ukisimama bungeni kuomba Bunge
liarishwe
ili Mjadili kwanini Mdee ,Ponda wamepigwa na
kufikishwa mahakamani?

Na kwa taarifa yenu Nyie wabunge ambao
mmezusha zogo Bunge
Leo kwa
Shinikizo la kutaka ombi la Mbatia la kujadili
kipigo kwa Lipumba lijadiliwe Leo, kwa taarifa
yenu sisi
wasomi wa Sheria tunasema imekula
kwenu, Kwani Tayari
Mkurugenzi wa Mashitaka
(DPP), Biswalo Mganga
kaishamwandilisha
hati Mashitaka Lipumba na atafikishwa

mchana huu Katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam .

Na akishasomewa Mashitaka ya
nayomkabili ndiyo basi tena
Bunge linakuwa
limefungwa mikono kujadili Kesi iliyopo

mahakamani. Kwa Tafsiri nyepesi  Nyie wabunge
'wendawazimu' mliozusha zogo Leo
Bungeni mmejiaribia wenyewe
.

Mlijiona mnaakili sana
kuliko Spika Makinda.Mnamzarau
kwasababu ni
mwanamke? Sasa mjanja nani Kati ya Nyie wabunge
'machizi' na Makinga?Mjanja ni Makinda
na
Jeshi la Polisi na
Ofisi ya DPP.

Kama mnampenda sana Lipumba
jichangisheni Fedha
kumuwekee  Mawakili
wazuri au pandeni  Ndege
nendeni
makamuwekee dhamana Katika Mahakama ya Kisutu.

Nashauri Kanuni na sheria ya
Bunge ifanyiwe mabadiliko
ambayo
yataingizwa kipengele cha kuruhusu matumizi ya
virungu na mabomo ya machozi  yatumike ndani
ya bunge
pindi wabunge wakorofi wanapozusha
ukorofi ndani ya bunge n
kusababisha muda
wa bunge kuairishwa kwasababu ya vuugu

hizo.

Tumeishabaini
Sababu ya wewe Lipumba kuamisha  msiba wa

Pemba Kuja Mbagala ni kwasababu  wewe Lipumba
umeanza  kampeni za Ubunge jimbo la Temeke
Kama
mlivyokubalana na viongozi wenzio wa
UKAWA katika
vikao
vyenu vya siri  kuwa nyie viongozi
wa juu wa vyama
vinavyounda UKAWA  mgawane
majimbo yaani mkagombee
ubunge badala ya
urais kwani tayari mmeishaona nafasi ya

urais hampati.Hilo limejulikana.

Profesa Lipumna Kama una huruma na Marehemu 
wale
siungeenda Pemba ukawakusanya wafiwa
Ukawapikia  Pilau
na Biliani na Tende na
Haruwa ungewapatia na ungeita na
viongozi
wa dini na Kisomo mngewasomea marehemu wale.

Fanya Kama Mwenyekiti wa
Makampuni  ya IPP, Reginal
Mengi yeye
anawaonea huruma Maalbino,walemavu wa viungo
hivyo kila Mwaka amenitengea siku Moja
kuwaandalia Mlo wa
Mchana anakula nao na
kuwasaidia.

Lipumba Janja
yako ya kutaka Ubunge jimbo la Temeke

imejulikana, na siyo kosa kisheria kutaka Kugombea jimbo
ila
kosa ni kukaidi amri Hali za mamlaka
husika.Usitumie
Kumbukumbu za misiba ya
watu kujifanyia kampeni katika jimbo
ka
Temeke, mizimu ya marehemu Hao itakusurubu. Lipumba
umebugi  Men.

Chanzo: Happy Katabazi
Blog:
www.katabazihappy.blogspot.com
Januari 28
Mwaka 2015.
0716 774494



Sent from my iPad

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com


Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment