Wednesday 28 January 2015

Re: [wanabidii] ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO

Bei gani, wenzi wako kwenye mabanda
--------------------------------------------
On Thu, 1/29/15, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO
To: "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, January 29, 2015, 10:12 AM

ASKARI SHUPAVU LAZIMA APITE DEPO
* WALINZI WA LIPUMBA HAWAKUPITA DEPO NDIYO MAANA SIYI
SHUPAVU

Na Happiness Katabazi
WALINZI  wa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba
siyo Askari  shupavu kwasababu hawajapita Depo na
Lipumba ona haja sasa ya kuajiri walinzi wengine wapya ambao
wana Mafunzo na mbinu za kisasa za Kupambana na maadui wako.


Haiingii akilini Mlinzi wa kiongozi mkubwa kama Lipumba
anakubali kudhibiti wa kirahisi 
namna   ile na polisi halafu kufurukuta
kidogo mbele ya wanaume wenzio 'polisi' ushindwe.Bora
Lipumba uniajiri Mimi niwe mlinzi wako Kwani kwa video hii
ni wazi Huna walinzi imara na ipo siku watakuja kukutelekeza
kwenye Majanga Kama ya aina hiyo ili wazinusuru nafasi zao.

Tunaambiwa Kuwa mlinzi anayemlinda kiongozi yupo Tayari kufa
yeye kwanza  ili kuakikisha anamnusuru kiongozi anakuwa
salama Katika balaa lolote. Profesa Lipumba au walinzi wako
Hao ni Makorokoroni?

Video hii ,Polisi wameweza kuwazingira  na kuwatandika
kirahisi na kumchukua kiraini  Boss wao Lipumba ambaye
Lipumba wakati akiwa mikononi   mwa wanaume
'Polisi' alionekana Kuwa mpole sana na nidhamu ya hali ya
juu utafikiri siyo Lipumba huyu tunayemfahamu ambaye awapo
majukwaani na Katika mikutano ya waandishi wa Habari uwa
anajifanya mwanaume  Jabari wa kuongea na Kumea mambo
utafikiri anaweza kurusha ngumi,Kumbe wapi.

Binafsi wakati mwingine uwa na wanazarau sana wanaume
wanapenda sana kuongeaongea sana huku mitaani na kujifanya
wenyewe ni wanaume washoka hawaogopi kitu.

Kwasababu wanaume Wengi wa Ana hiyo nimewashuhudia sana
wakifikishwa mahakamani,Polisi au wakiwa magerezani kwakweli
wanakuwa na nidhamu ya Hali ya juu, Isipokuwa Swaiba wangu
Mchungaji Christopher Mtikila ,huyu ni mwanaume wa Shoka na
Nina mkubali sana Kwani hata akiwa mikononi mwa
Polisi,Magereza yeye ujasiri wake upo pale pale na kidogooo
pia 'mume wangu wa zamani', Mwenyekiti wa Chama cha TLP,
Agustine Mrema.

Wito wangu kwa wananchi Tusikubali kushiriki maandamano
yanayovunja Sheria za nchi ambayo yamekatazwa mwisho wa siku
mtaishia kula kisago na  Fedha za kujitinia majeraha ni
tabu kupata, Mwenzenu Lipumba Jana kaugua kidogo Maradhi ya
moyo kukimbizwa haraka Hospitali ya mAana kutibiwa, Nyie
Maskini wenzangu nani aliwapatia Fedha ya kwenda kujitinia
majeraha?

By Happiness Katabazi
Januari 29 Mwaka 2015.
0716 774494


Sent from my iPad

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment