Friday, 1 August 2014

Re: [wanabidii] VIONGOZI WA UKAWA WANAZIDI KUKATISHA TAMAA

Hili Taifa la watu wa ajabu sana.


On 8/1/14, 'Julius' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Wadau,
> Jambo msilolijua ni vema muulize taarifa rasmi zitolewe.
>
> Stori hii yote ni ya kutunga na ni Propaganda tu.
>
> Subirini wakati ukifika mtapewa taarifa.
>
>
>
> Julius Mtatiro,
> Katibu wa UKAWA Ndani ya BMK,
> P.O Box 10979,
> Dar Es Salaam,
> Phone; ➕255717536759,
> Email; juliusmtatiro@yahoo.com.
>
>
> -----Original Message-----
> From: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: ‎8/‎1/‎2014 19:07
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WA UKAWA WANAZIDI KUKATISHA TAMAA
>
> Hapa inaonekana nia ya masuala yao si katiba. wana lingine ndani ya kificho
> cha UKAWA na katiba. Waafrika sisi Mungu atupe nini? Kil;a mara nchi zetu ni
> ubinafsi, malumbano mpaka kufikia vita vya kuharibu nchi, kuua na kuharibu
> uchumi. hao wa Libya, Misri wamepata nini. Congo nako, Nigeria na nchi
> nyingine Africa utata mtupu.Mzuingu anafurahi kuona monkeys tunaendelea
> kuota na kukuza mikia yetu badala ya kushirikiana, kuelewana na kuleta
> maendeleo. Mmakonde kasema-Yonda ni Yonda tu mtupie tu ndizi!! Mungu
> tusaidie tufunuke tuache misifa na ubinafsi.
>
>
>
>
>
>
> On Friday, 1 August 2014, 18:16, Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
> VIONGOZI wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Kataba ya Wananchi (Ukawa),
> wanadaiwa kumkatisha tamaa na kumvunja moyo Msajili wa Vyama vya Siasa
> nchini, Jaji Francis Mutungi, katika kufikia maridhiano ya pande mbili
> zinazotishia kukwamisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya.
>
>
> Habari za uhakika kutoka ndani ya kikao cha maridhiano kati ya wajumbe wa
> Ukawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kilichokutana kutwa nzima ya
> jana katika hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam, na baadaye kuthibitishwa na
> baadhi ya maofisa wa Ofisa ya Msajili waliokuwa eneo hilo la hoteli,
> zinasema wajumbe wa Ukawa wamekuwa ni watu wasioeleweka kutokana na tabia
> yao kuibua mambo mapya kila kinapoitishwa kikao baina ya pande mbili hizo.
>
>
> Kikao hicho cha jana kilichofanyika chini ya upatanishi wa Msajili wa
> Vyama, Jaji Mutungi, kinaelezwa kuwa cha nne tangu Msajili huyo aanze
> juhudi za kuwaweka pamoja wajumbe wa pande mbili hizo za Ukawa na CCM, ili
> pamoja na mambo mengine, vikao vya Bunge Maalum la Katiba kwa ajili ya
> kutafuta Katiba mpya viweze kuendelea kama kawaida mjini Dodoma.
>
>
> Kwa mujibu wa habari hizo, kikao hicho cha jana kilitarajiwa kuwa kikao cha
> mwisho cha maridhiano katika juhudi hizo za kukwamua mchakato huo ili kuwapa
> wajumbe wa Ukawa, ambao pia ni wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, nafasi ya
> kujiandaa na safari ya kuelekea Dodoma kwenye vikao vya Bunge hilo
> vinavyotarajiwa kuanza rasmi Jumanne ijayo, Agosti 5, mwaka huu.
>
>
> Hata hivyo, hadi tunakwenda mitamboni jana, kulikuwa na taarifa za ndani ya
> kikao hicho zinazoeleza wazi kwamba hakukuwa na uwezekano wowote wa pande
> mbili hizo kufikia maridhiano baada ya Ukawa kuwasilisha hoja zao tisa mpya,
> badala ya hoja mbili ambazo ziliridhiwa na pande mbili hizo katika kikao
> kilichopita ambacho kilikuwa ni cha tatu, kwamba zingejadiliwa katika kikao
> jana na kufikia hitimisho la majadiliano hayo.
>
>
> Kwa mujibu wa habari hizo, hoja tisa hizo zilizowasilishwa na Ukawa katika
> kikao hicho cha jana, zilishajadiliwa na kufikiwa muafaka na pande mbili
> hizo katika kikao kilichopita, zikawekwa kiporo hoja mbili ambazo ndizo
> zilipaswa kujadiliwa jana kabla ya kufikia hitimisho.
>
>
> "Hawa Ukawa wanamvuruga tu Msajili kwa sababu hawaeleweki ni kitu gani hasa
> wanachokitaka…kwa kweli wamem-put off (kuvunja moyo, kuvunja nguvu) Msajili
> wa vyama vya siasa, uwezekano wa kufikia maafikiano na maridhiano ili tuweze
> kurejea bungeni kuendelea na mchakato wa kutafuta Katiba mpya ni mdogo
> sana," kilisema chanzo chetu kutoka ndani ya kikao kwa sharti la kutotajwa.
>
>
> Nje ya kikao hicho, baadhi ya maofisa wa Ofisi ya Msajili walionyesha
> kushangazwa na hali hiyo ya kutofikia muafaka, wakisema kwa vikao vinne tu
> hivyo, Ofisi ya Mshajili imeingia gharama kubwa kuliko ilivyofikiriwa awali,
> wakati Jaji Mutungi anapanga mipango ya kuzikutanisha pande mbili hizo.
>
>
> Kwa mujibu wa maofisa hao, kikao cha kwanza cha pande mbili hizo za Ukawa na
> CCM, kilichofanyika chini ya upatanishi wa Jaji Mutungi, kiliwakutanisha
> wenyeviti na makatibu wakuu wa vyama vinne vya siasa vya CCM, Chadema, CUF
> na NCCER-Mageuzi, na hivyo kikao hicho kuwa na wajumbe tisa akiwemo
> mpatanishi, Msajili wa vyama.
>
>
> Hata hivyo, katika kikao hicho cha kwanza, habari zinasema Ukawa waliomba
> kupanuwa wigo kwa kuongeza idadi ya wajumbe zaidi, ili kila upande uwe na
> wawakili 20, kwa maana ya Ukawa wawe na wajumbe 20 na CCM wawe na wajumbe
> 20.
>
>
> Habari zinasema, busara ya Msajili wa vyama na wajumbe wengine wa kikao
> hicho, wazo hilo la Ukawa lilikubalika na hivyo kikao cha pili, cha tatu na
> hicho cha jana vikawa vinahudhuriwa na wajumbe 41, kwa maana ya Ukawa 20,
> CCM 20 na Msajili wa vyama.
>
>
> Idadi hiyo ya wajumbe na mahali vinavyofanyikia vikao hivyo, hoteli ya Sea
> Cliff, kuanzia ukumbi na huduma nyingine za hoteli, ikiwemo chakula na
> vinywaji ndivyo vinavyodaiwa kuongeza gharama ambayo awali Ofisi ya Msajili
> haikuwa imezifikiria.
>
>
> Tayari juzi viongozi wa Ukawa walikutana katika ofisi ndogo ya makao makuu
> ya CUF, Buguruni na kutoa tamko la kutorejea kwenye Bunge Maalum la Katiba
> kuendelea na vikao, wakisema ni muujiza tu ndio unaoweza kuwafanya warejee.
>
>
> Hata hivyo, juzi hiyo hiyo, Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake ya kila
> mwisho wa mwezi aliwaomba Ukawa kuacha kususa na kurejea bungeni kuendelea
> na mchakato huo, yeye binafsi akiahidi kusaidia kama Ukawa au upande wowote
> unaohusika na mchakato huo utaomba afanye hivyo.
>
>
> http://lukwangule.blogspot.com/2014/08/ukawa-wakatisha-tamaaa.html
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>


--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

"truth shall set you free"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment