Friday, 1 August 2014

Re: [wanabidii] VIONGOZI WA UKAWA WANAZIDI KUKATISHA TAMAA

Mtatiro,
unatuzuia kuamini propaganda hii ili tusubiri propaganda ya kwenu?
maana hamna tofauti. nijuavyo na nimeshasema,mtarudi bungeni hata ccm
wasipobadilika.hapa mnapiga mikwara tu! tusubiri.

On 8/1/14, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
> Mtatiro
> Uzi ni ule ule kuheshimiwa kwa maoni ya wananchi short of that no
> retreat no surrender
> Katiba sio hisani tutadai kuheshimiwa kwa maoni ya wananchi hata kama
> itachukua miaka 100
>
> On 8/1/14, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
>> Hili Taifa la watu wa ajabu sana.
>>
>>
>> On 8/1/14, 'Julius' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>> Wadau,
>>> Jambo msilolijua ni vema muulize taarifa rasmi zitolewe.
>>>
>>> Stori hii yote ni ya kutunga na ni Propaganda tu.
>>>
>>> Subirini wakati ukifika mtapewa taarifa.
>>>
>>>
>>>
>>> Julius Mtatiro,
>>> Katibu wa UKAWA Ndani ya BMK,
>>> P.O Box 10979,
>>> Dar Es Salaam,
>>> Phone; ➕255717536759,
>>> Email; juliusmtatiro@yahoo.com.
>>>
>>>
>>> -----Original Message-----
>>> From: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: ‎8/‎1/‎2014 19:07
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WA UKAWA WANAZIDI KUKATISHA TAMAA
>>>
>>> Hapa inaonekana nia ya masuala yao si katiba. wana lingine ndani ya
>>> kificho
>>> cha UKAWA na katiba. Waafrika sisi Mungu atupe nini? Kil;a mara nchi
>>> zetu
>>> ni
>>> ubinafsi, malumbano mpaka kufikia vita vya kuharibu nchi, kuua na
>>> kuharibu
>>> uchumi. hao wa Libya, Misri wamepata nini. Congo nako, Nigeria na nchi
>>> nyingine Africa utata mtupu.Mzuingu anafurahi kuona monkeys tunaendelea
>>> kuota na kukuza mikia yetu badala ya kushirikiana, kuelewana na kuleta
>>> maendeleo. Mmakonde kasema-Yonda ni Yonda tu mtupie tu ndizi!! Mungu
>>> tusaidie tufunuke tuache misifa na ubinafsi.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> On Friday, 1 August 2014, 18:16, Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> wrote:
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> VIONGOZI wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Kataba ya Wananchi
>>> (Ukawa),
>>> wanadaiwa kumkatisha tamaa na kumvunja moyo Msajili wa Vyama vya Siasa
>>> nchini, Jaji Francis Mutungi, katika kufikia maridhiano ya pande mbili
>>> zinazotishia kukwamisha mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya.
>>>
>>>
>>> Habari za uhakika kutoka ndani ya kikao cha maridhiano kati ya wajumbe
>>> wa
>>> Ukawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kilichokutana kutwa nzima
>>> ya
>>> jana katika hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam, na baadaye kuthibitishwa
>>> na
>>> baadhi ya maofisa wa Ofisa ya Msajili waliokuwa eneo hilo la hoteli,
>>> zinasema wajumbe wa Ukawa wamekuwa ni watu wasioeleweka kutokana na
>>> tabia
>>> yao kuibua mambo mapya kila kinapoitishwa kikao baina ya pande mbili
>>> hizo.
>>>
>>>
>>> Kikao hicho cha jana kilichofanyika chini ya upatanishi wa Msajili wa
>>> Vyama, Jaji Mutungi, kinaelezwa kuwa cha nne tangu Msajili huyo aanze
>>> juhudi za kuwaweka pamoja wajumbe wa pande mbili hizo za Ukawa na CCM,
>>> ili
>>> pamoja na mambo mengine, vikao vya Bunge Maalum la Katiba kwa ajili ya
>>> kutafuta Katiba mpya viweze kuendelea kama kawaida mjini Dodoma.
>>>
>>>
>>> Kwa mujibu wa habari hizo, kikao hicho cha jana kilitarajiwa kuwa kikao
>>> cha
>>> mwisho cha maridhiano katika juhudi hizo za kukwamua mchakato huo ili
>>> kuwapa
>>> wajumbe wa Ukawa, ambao pia ni wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, nafasi
>>> ya
>>> kujiandaa na safari ya kuelekea Dodoma kwenye vikao vya Bunge hilo
>>> vinavyotarajiwa kuanza rasmi Jumanne ijayo, Agosti 5, mwaka huu.
>>>
>>>
>>> Hata hivyo, hadi tunakwenda mitamboni jana, kulikuwa na taarifa za ndani
>>> ya
>>> kikao hicho zinazoeleza wazi kwamba hakukuwa na uwezekano wowote wa
>>> pande
>>> mbili hizo kufikia maridhiano baada ya Ukawa kuwasilisha hoja zao tisa
>>> mpya,
>>> badala ya hoja mbili ambazo ziliridhiwa na pande mbili hizo katika kikao
>>> kilichopita ambacho kilikuwa ni cha tatu, kwamba zingejadiliwa katika
>>> kikao
>>> jana na kufikia hitimisho la majadiliano hayo.
>>>
>>>
>>> Kwa mujibu wa habari hizo, hoja tisa hizo zilizowasilishwa na Ukawa
>>> katika
>>> kikao hicho cha jana, zilishajadiliwa na kufikiwa muafaka na pande mbili
>>> hizo katika kikao kilichopita, zikawekwa kiporo hoja mbili ambazo ndizo
>>> zilipaswa kujadiliwa jana kabla ya kufikia hitimisho.
>>>
>>>
>>> "Hawa Ukawa wanamvuruga tu Msajili kwa sababu hawaeleweki ni kitu gani
>>> hasa
>>> wanachokitaka…kwa kweli wamem-put off (kuvunja moyo, kuvunja nguvu)
>>> Msajili
>>> wa vyama vya siasa, uwezekano wa kufikia maafikiano na maridhiano ili
>>> tuweze
>>> kurejea bungeni kuendelea na mchakato wa kutafuta Katiba mpya ni mdogo
>>> sana," kilisema chanzo chetu kutoka ndani ya kikao kwa sharti la
>>> kutotajwa.
>>>
>>>
>>> Nje ya kikao hicho, baadhi ya maofisa wa Ofisi ya Msajili walionyesha
>>> kushangazwa na hali hiyo ya kutofikia muafaka, wakisema kwa vikao vinne
>>> tu
>>> hivyo, Ofisi ya Mshajili imeingia gharama kubwa kuliko ilivyofikiriwa
>>> awali,
>>> wakati Jaji Mutungi anapanga mipango ya kuzikutanisha pande mbili hizo.
>>>
>>>
>>> Kwa mujibu wa maofisa hao, kikao cha kwanza cha pande mbili hizo za
>>> Ukawa
>>> na
>>> CCM, kilichofanyika chini ya upatanishi wa Jaji Mutungi, kiliwakutanisha
>>> wenyeviti na makatibu wakuu wa vyama vinne vya siasa vya CCM, Chadema,
>>> CUF
>>> na NCCER-Mageuzi, na hivyo kikao hicho kuwa na wajumbe tisa akiwemo
>>> mpatanishi, Msajili wa vyama.
>>>
>>>
>>> Hata hivyo, katika kikao hicho cha kwanza, habari zinasema Ukawa
>>> waliomba
>>> kupanuwa wigo kwa kuongeza idadi ya wajumbe zaidi, ili kila upande uwe
>>> na
>>> wawakili 20, kwa maana ya Ukawa wawe na wajumbe 20 na CCM wawe na
>>> wajumbe
>>> 20.
>>>
>>>
>>> Habari zinasema, busara ya Msajili wa vyama na wajumbe wengine wa kikao
>>> hicho, wazo hilo la Ukawa lilikubalika na hivyo kikao cha pili, cha tatu
>>> na
>>> hicho cha jana vikawa vinahudhuriwa na wajumbe 41, kwa maana ya Ukawa
>>> 20,
>>> CCM 20 na Msajili wa vyama.
>>>
>>>
>>> Idadi hiyo ya wajumbe na mahali vinavyofanyikia vikao hivyo, hoteli ya
>>> Sea
>>> Cliff, kuanzia ukumbi na huduma nyingine za hoteli, ikiwemo chakula na
>>> vinywaji ndivyo vinavyodaiwa kuongeza gharama ambayo awali Ofisi ya
>>> Msajili
>>> haikuwa imezifikiria.
>>>
>>>
>>> Tayari juzi viongozi wa Ukawa walikutana katika ofisi ndogo ya makao
>>> makuu
>>> ya CUF, Buguruni na kutoa tamko la kutorejea kwenye Bunge Maalum la
>>> Katiba
>>> kuendelea na vikao, wakisema ni muujiza tu ndio unaoweza kuwafanya
>>> warejee.
>>>
>>>
>>> Hata hivyo, juzi hiyo hiyo, Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake ya
>>> kila
>>> mwisho wa mwezi aliwaomba Ukawa kuacha kususa na kurejea bungeni
>>> kuendelea
>>> na mchakato huo, yeye binafsi akiahidi kusaidia kama Ukawa au upande
>>> wowote
>>> unaohusika na mchakato huo utaomba afanye hivyo.
>>>
>>>
>>> http://lukwangule.blogspot.com/2014/08/ukawa-wakatisha-tamaaa.html
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>
>>
>> --
>> Ephata Nanyaro
>> P.o.box 15359
>> Arusha
>> +255 754 834152
>> Skype.nanyaro.ephata
>>
>> "truth shall set you free"
>>
>
>
> --
> Ephata Nanyaro
> P.o.box 15359
> Arusha
> +255 754 834152
> Skype.nanyaro.ephata
>
> "truth shall set you free"
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment