Huu wa leo kuhusu Dr.Slaa, nadhani ni uzushi mkuu ambao mabadiliko
chadema amewahi kuzusha.
dokta hakufukuzwa upadre,aliomba kuacha na akaruhusiwa kwa mujibu wa
canon law,na kanisa limekwisha eleza sana juu ya hayo.
josephine,siyo mke wa mahimbo tena kisheria.na sasa ni mchumba/mke
halali wa dokta wakiwa na mtoto junior. juhudi za mahimbo na vibaraka
kuchafua dokta,ziliishia kumdhalilisha mwenyewe.
kuwa dokta ametelekeza mke ni uzushi pia.kumbukumbu zinawaonyesha
wakisimama pamoja jukwaani na kamili akimuombea kura. ndoa wakati
mwingine huwa zinavunjika,au kutengana na dokta slaa is not
exceptional. hata hivyo kesi iliyopelekwa mahakamani context yake siyo
hii ya mabadiliko chadema.
dokta siyo mlemavu wa mkono,bali ana majeraha baada ya kupata ajali
tajwa. hata mabadiliko chadema,anaweza kupata ajali.
la uzee wazi ni hoja malipyoto na malechela alishalijibu kuwa uraisi
siyo kazi ya kubeba zege. kwa hiyo mpaka hapo hakuna udhaifu hata
mmoja.labda uanze kesho.
Mwl.Ludovick
On 8/1/14, hosea.ndaki@gmail.com <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
> Muganda, kati ya mbowe na kingunge yupi akiingia ikulu atawatumikia wananchi
> ipasavyo? Katika nchi masikini kama yetu tunahitaji kiongozi mwenye uwezo na
> nguvu ya kusimamia maendeleo yetu.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, August 1, 2014 2:14:20 PM GMT-0400
> Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - UDHAIFU WA DR W P SLAA
>
> Ronald Reagan aligombea urais akiwa na umri wa miaka 72. Hillary Clinton
> hivi sasa ni 68 na ndiye front runner miongoni mwa Demokrats na hakuna
> aliyemwambia
> \wenzake wamestaafu. Let jingine.
> em
>
>
> 2014-08-01 11:39 GMT-04:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
>
>> Umesahau moja , ana umri wa miaka zaidi ya 60 yaani wenzake wameshastaafu
>> .
>>
>>
>> On Friday, August 1, 2014 6:27:50 PM UTC+3, MABADILIKO CHADEMA wrote:
>>>
>>> - Alifukuzwa Upadre wa Kanisa Katoliki
>>>
>>> - Ni kinganganizi mfano aliposhindwa kwenye kura za maoni mwaka
>>> 1995 jimboni karatu akakimbilia CHADEMA
>>>
>>> - Alibadilisha Katiba ya CHADEMA kuhusu ukomo wa madaraka ili
>>> awe madarakani Milele na chaguzi zisifanyike
>>>
>>> - Ametekeleza Mke wa kwanza na watoto mpaka ameshtakiwa
>>> mahakamani
>>>
>>> - Mchumba ake wa sasa ni Mke wa Mtu .
>>>
>>> - Ana ulemavu mkono mmoja , alipata ajali mwaka 2010
>>>
>>> - Ni mtu mwenye hasira na mropokaji hovyo .
>>>
>>> - Hajawahi kufuta kauli ya kutomtambua Rais Jakaya Mrisho
>>> Kikwete
>>>
>>> - Hana historia nyingine ya kitaaluma zaidi ya Upadre na Ubunge
>>> .
>>>
>>> - Hashiriki Mchezo wowote .
>>>
>>> - Amejikopesha mamilioni ya CHADEMA
>>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment