Friday, 1 August 2014

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - UDHAIFU WA DR W P SLAA

Kwanza ni uwongo kuwa Dr. Slaa alifukuzwa upadre. Inaonekana maCCM wamelishikilia hilo hata baada ya kuthibitishwa kuwa hakufukuzwa.
Pili, kuna ubaya gani kuingia chama kingine kama chama chako kimekukataa? Ni CCM hao hao waliopinga uamuzi wa ,mahakama wa kuruhusu
mgombea binafsi. Dr. Slaa angekuwa mgombea binafsi angeshinda kiti cha Karatu. Hayo mengine ni porojo zisizohitaji kujibiwa na mtu mwenye akili timamu.
Lakini if that is all CCM na vikaragosi wake wanaweza kusema kuhusu Dr. Slaa then let it be so.
em

2014-08-01 12:07 GMT-04:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:

Duh Juma??? Mwkti , makamu wenyeviti, na katibu mkuu wa CCM wana miaka 40 eeeh? Vyama vingine havijaonesha ni nani na nani watagombea. Kuanza kuwajadili ni uchuro tu.

On 1 Aug 2014 18:39, "Juma Mzuri" <jumamzuri@gmail.com> wrote:
Umesahau moja , ana umri wa miaka zaidi ya 60 yaani wenzake wameshastaafu .

On Friday, August 1, 2014 6:27:50 PM UTC+3, MABADILIKO CHADEMA wrote:

-         Alifukuzwa Upadre wa Kanisa Katoliki

-         Ni kinganganizi mfano aliposhindwa kwenye kura za maoni mwaka 1995 jimboni karatu akakimbilia CHADEMA

-         Alibadilisha Katiba ya CHADEMA kuhusu ukomo wa madaraka ili awe madarakani Milele na chaguzi zisifanyike

-         Ametekeleza Mke wa kwanza na watoto mpaka ameshtakiwa mahakamani

-         Mchumba ake wa sasa ni Mke wa Mtu .

-         Ana ulemavu mkono mmoja , alipata ajali mwaka 2010

-         Ni mtu mwenye hasira na mropokaji hovyo .

-         Hajawahi kufuta kauli ya kutomtambua Rais Jakaya Mrisho Kikwete  

-         Hana historia nyingine ya kitaaluma zaidi ya Upadre na Ubunge .

-         Hashiriki Mchezo wowote .

-         Amejikopesha mamilioni ya CHADEMA 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment