Friday, 1 August 2014

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015-MATATIZO YA BERNARD K. MEMBE

Ludo,
Usichanganye maswala hapa. Mimi nimezungumzia utaratibu wa Marekani ambapo mtu anajitokeza  au anajitangaza kugombea urais wakati hata hajapitishwa
na chama chake na wewe unarukia na njama za akina Zitto kufanya mapinduzi ndani ya uongozi wa Chadema. The two are not the same. 
em


2014-08-01 6:43 GMT-04:00 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>:
Muganda,
hiki unachosema unataka kifanyike kwa vyama vyote au ccm peke yake?
maana umeonyesha ushabiki wa chama chako kufukuza walioonyesha nia
hiyo.

On 7/31/14, Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com> wrote:
> Haya mwenzetu  unamtaka nani umnadi basi lakini muda wa kampeni bado
> On Jul 31, 2014 12:16 PM, "'Godfrey Ngupula' via Wanabidii" <
> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>> Nimeleta topic hii ili kwa pamoja pia tujadili matatizo ya mtu mwingine
>> anayetajwa sana kuwa anaweza kuibuka kidedea katika kinyanganyiro cha
>> urais
>> CCM. Kwa mtazamo wangu Membe kwa haya yafuatayo sioni kama anafaa kuwa
>> raisi wa Tz:
>>
>> (a) Kwanza haaminiki: Ili mtu aweze kuaminika na jamii kubwa ya watazania
>> ni lazima ajulikane undani wake na ikibidi madhaifu yake na strengths
>> zake.Lakini Membe anaonekana yupo yupo tu na huku kwa nguvu zote
>> akijitahidi kujificha asili yake, na hiki watu makini hatuwezi kumuamini
>> haswa kwa dhamana ya nafasi kubwa kama uraisi. Binafsi siamini hata
>> kidogo
>> kama Membe anaweza kukemea chochote na kufanya chochote kwa maslahi ya
>> nchi
>> na haswa kitu kinachohusu kuwa na maamuzi magumu na yenye tija.
>>
>> (b) Sio safi. Watu wengi wanadhani Membe ni mtu safi. Lakini, ukweli ni
>> kuwa Membe si safi hata kidogo. Ni huyuhuyu ndiye aliyesema Tanzania
>> inaweza kupokea hela kutoka kokote na kwa masharti yeyote hata kama
>> anayetupatia fedha hizo ni shetani. Uraisi ni suala la values na
>> misimamo.
>> Kama mcha Mungu wa kweli ni lazima kuna mambo fulani mtu utakuwa nayo au
>> basi kukupa hofu kiasi fulani. Sipendezwi na mtu ambaye anaweza fanya
>> chochote ali mradi tu, afanikiwe katika mambo yake.Kwa lugha nyingine
>> Raisi
>> ajae hapaswi kuwa msani msanii kama Membe.
>>
>> (c) Hana maamuzi magumu: Nchi kwa jinsi ilivyo na inavyoenda kwa sasa
>> inatakiwa mtu mwenye uwezo wa kuleta displine katika system. Eti Tanzania
>> nayo ina ugaidi wa ndani, huu ni udhaifu wa kimfumo kutokana viongozi
>> wakuu
>> kufumbia macho  baadhi ya mambo kwa maslahi binafsi. Kwa tunakotaka
>> kwenda
>> Membe ni dhaifu sana  na hawezi kukemea chochote na haswa akijua kundi
>> fulani litampa kura,basi kundi hilo laweza fanya chochote na asifanye
>> kitu.
>> Hebu angalieni watu wanaompigia debe Membe, RidhiOne, Kigangwala,nk, wote
>> ni wasanii sanii tu ambao bado hawajatoshea katika kusimika misngi ya
>> kiinchi labda huko baadae.
>>
>> (d) Hana historia.  Kiukweli kabisa mpaka hapa tulipo nchi imepitia mambo
>> mengi. Binafsi huwa sipendi mtu kuibukia kona fulani na kutangaza nia ya
>> kuutaka uraisi kwa kisingizio unakerwa na kero za watanzania,lkn hata
>> wakati mmoja hujawahi kuwa suluhisho la kero hizo na ni kiongozi. Membe
>> hapo alipo ni kudra tu za familia ya JK na ndio hao wanataka kuendelea
>> kutuongoza tena kwa mgongo wa Membe,nafikiri watanzania tunayo haki ya
>> kuchagua mwingine tunayedhani ana uwezo wa kutusaidia.  na mengine
>> mengiiiiiiii...NGUPULA.
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment