Thursday, 28 August 2014

Re: [wanabidii] MCHUNGAJI MSIGWA CHALI IRINGA MJINI

Uana siasa na uharakati ni mambo tofauti kabisa. Ila kwavile wanatuhusu lazima tutetee hii ni hulka ya wanadamu.

On Aug 28, 2014 5:09 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:
Ongezea hapo na Martin Luther King, Jr. Ingawa hakugombea kiti cha siasa lakini mengi aliyoyafanya yalikuwa siasa tupu.
em

2014-08-28 10:05 GMT-04:00 mwalugeni <mwalugeni@gmail.com>:
wewe unayeuliza wachungaji wanafuata nini bungeni au kwenye siasa kasome historia vizuri ya wapigania haki na uhuru duniani kama askofu desmund tutu na mchungaji jesse jackson unapata majibu

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kwa tafsiri ya kiroho kwa (Wakristo) mchungaji ni kama bibi harusi (au mke) wa Bw. Yesu. Kujihusisha na siasa ni kama uzinzi (ukahaba) wa kiroho. Mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili. Hao kiroho wanaonekana waajabu kama mtu mwenye vichwa viwili. Kama mada haikuchangiwa mwanzoni haimaanishi kuwa haikuwa na umuhimu. No comment yaweza kuwa I accept.

On Thursday, August 28, 2014 3:26 PM, Augustine Rukoma <rukomapekee@gmail.com> wrote:

roho ya mungu haiwezi kukaa katika mwili mchafu, wacha wakakae kotekote. Mbona mbunge anakuwa waziri, mjumbe wa nyumba kumi na mjumbe au mwenyekiti wa bodi fulani na hatusemi. sioni kama hili ni swala la msinsingi kujadili labda ndio maana hoja ilijifia

2014-08-28 15:08 GMT+03:00 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kuna hoja iliwahi kutolewa huku mtandaoni kuwa wachungaji wanafuata nini bungeni?   Haikupatiwa majibu.Utawezaje kuukosoa mfumo ambao na wewe upo ndani yake? . Inatakiwa wachague moja kati ya ufalme wa Mbinguni au ufalne wa dunia hii. Hawawezi kuishi katika falme mbili. Nami nawashauri wachague ufalme wa Mungu ili waweze kuombea na kukemea uovu katika ufalme wa dunia hii. Mchungaji kujihusisha na siasa ni kupoteza mwelekeo na Mungu.

On Thursday, August 28, 2014 1:03 PM, Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com> wrote:

Hatiame Mabadiliko Chadema ashutumiwa kwa tuhuma za USHOGA

2014-08-15 17:32 GMT+01:00 MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>:
KWA KHELI CHADEMA IRINGA MJINI
CHADEMA IRINGA YAMCHOKA MSIGWA ,KAMATI YA UCHAGUZI YAFYEKA JINA LAKE KUWANIA UENYEKITI .........
KAMATI ya uchaguzi wa mkuu wa wilaya ya Iringa mjini kupitia chama cha Demokrasia na maende
leo (CHADEMA) imemuengua katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa wilaya hiyo mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa ambae ndie alikuwa wenyekiti anayemaliza muda wake kwa kukosa sifa ya kutetea tena nafasi hiyo.

Hatua hiyo ya kuenguliwa kwa Msigwa imekuja baada ya wajumbe kulalamikia hatua ya chama kushindwa kulipa kodi ya ofisi ya kata na ile ya wilaya pia ugomvi mkubwa uliopo kati ya mbunge Msigwa na mbunge mwenzake wa viti maalum mkoa Chiku Abwao aliyekuwa akigombea nafasi ya kiti mkoa wa Iringa nafasi ambayo msigwa pia alitangaza kugombea .

Hivyo kutokana na mvutano huo kamati hiyo iliyoketi usiku wa leo ukumbi wa Sambala mjini hapa ililazimika kuchukua uamuzi mgumu wa kufyeka majina ya wabunge hao kugombea nafasi hizo ili kunusuru chama.

Mmoja kati ya makada wa ambae alishiriki kikao hicho cha kumuengua Msigwa na Chiku alisema kuwa chanz

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment