Wananchi huwa na maamuzi ya jazba. kama rasimu ya warioba kila iliyosema ilikuwa final-kusingekuwa na haja ya bunge la katiba bali ni wananchi labda taifa kupiga kura final. Maadam bunge la katiba liliundwa-ni kujadili na kubadili vipengee kidemokrasia na kwa kutumia wataalamu na wazoefu wa masuala kama hayo nchi nyingine yanakoenda vizuri. Katiba ni muongozo-haiwezi kusema kila kitu cha dunia yetu. Vingine vitatafsiriwa na kutekelezwa na SERA na Sheria ya sekta au issu husika. haki zitatajwa na kuzingatia miongozo ya Kimataifa pia. Itafanyikaje haki hiyo-sera, sheria, guidelines na mikakati yao itatimiza haki hizo ambazo baadhi wala hatuzizingatii ina makelele tu na kulinda KURA tupate KULA. Vyama vilivyobaki bungeni na waliotoka (UKAWA) waache ubinafsi warudi wajadiliane ikamilike. Asiyetaka kurudi-arudishe pesa zetu. Wasubiri tu tutakapowavamia tuwachape bakora kweupeeee! wasidhanie watu tu wajinga, tunaona. Wingi wa kura wa kutaka serikali 2 au 3 au 4 si kitu. Kitu ni-issue gani inayowafanya watake 4 badala ya 2. jee hizo sababu au matatizo yanaweza kuondoshwa, kivipi kisheria, kimajadiliano au mikakati ya kuweka usawa n.k kuwa na chache kwa gharama na fuu na kwa haki ya uhuru kwa wote. hapa ndio majadiliano yatasaidia. SIO eti 2/3 walitaka 4 CCM isibadili-huo ni mtindio wa akili. Why 4 au 3au 2??-Gharama, na muungano utaathirika vipi kipi bora ili tuishi kwa amani na kila mmoja apate haki tambulika ? Lipumba-asitegemee ataweza kuwa Rais ZNZ-awashauri wenzake warudi wamalize ngwe ya Katiba.
On Friday, 1 August 2014, 0:02, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:
Haki na Uhuru vinatafutwa kwa wachache. Tuko fragmented sana kama nchi. Hatuwezi kufikiria nje ya cage ya vyama vyetu!
Date: Thu, 31 Jul 2014 23:42:19 +0300
Subject: RE: [wanabidii] KATIBA MPYA - MABADILIKO YA TABIA NCHI
From: bmwasaga@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Kikatiba ni kuhakikisha kuwa masuala ya haki, uhuru na wajibu wa wadau wote yanabainishwa wazi.

0 comments:
Post a Comment