Thursday, 1 May 2014

Re: [wanabidii] Mwanafunzi wa chuo afia chumbani wakati akijaribu kutoa mimba

Hilde, hii ya manzese imenisisimua hakianani tutakuja chomwa moto hata kama mungu hakudhamiria.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, May 1, 2014 5:55:23 PM GMT+0100
Subject: Re: [wanabidii] Mwanafunzi wa chuo afia chumbani wakati akijaribu kutoa mimba

Ni kweli uzinzi hausababishwi kwa kukosa pesa. Ukitaka kuona matumizi mabaya-baada ya wanafunzi kupata fedha kwa DSM-nenda bar jirani na chuo mfano mlimani city Samakisamaki. hapo wamejaa wanatelemsha mizinga. Mwingine hawezi kusoma mpaka hela iishe. Piga sachi usiku bila ya taarifa vyo vikuu-utawafuma 6 badala ya 3 na housegirl wa kupika chakula kaajiriwa yupo hapo. Mungu atusadidie vijana wetu waache tamaa na ufahari wa kuonekana; wasome kwa bidii ili tuweze`kuwa na wataalamu wa kuweza kushindana katika uwekezaji. Ukiangalia simu zao za bei kuliko za walimu wao. Kama pesa ni tatizo simu anaitoa wapi. Msichana ana boyfriends-1. Bodaboda,2. Taxi, 3. Dreva wa bajaji hawa wa kumpeleka kokote atakako hata kwa bwanawake mwenye mipesa. Wao number 1-3 malipo yao ni inkind.Anaye boyfriend shuleni/chuoni ambae anamsaidia kuandika assignments. Malipo ni hayo inkind. Anaye mzee mipesa ndiye anamtoa kifedha anazotumia kujiremba, kumpa hela boyfriend na mahitaji
mengine. Buyfriend anaweza kuwa anamjua mzee mipesa lakini mradi naye yake anatimiziwa na pesa anapewa hana matatizo ni urafiki wa muda mfupi.

Kijana naye ana wake wa kutoka naye lakini ana mama lea (mtu mzima mwenye mihela) anayemuhisani. mama mihela anampa pesa na magari ya kubadilisha ila mambo yao ni siri. Akigombana naye akimpora magari-anaaibika na hata girlfriend atamkimbia maana hana kitu sasa. Vijana siku hizi wamepasta ujasiri wa kutongoza mtu mzima na wapo ambao wanajipanga msatri eneo mojawapo manzese mijimama hupita kuchagua hapo. Maisha yamebadilika tunapenda rahisi rahisi inayokuja kutuma maradhi na matatizo mengineyo. Kuna madreva wanaojifanya ni mabosi na magari hayo mazuri ni nayo. Msichana msomi chuo kikuu anakuja kujua kuwa huyo si bosi wa mabala na gari si yake ni dreva wa familia fulani wakati ameshabeba ujauzito. lakini kila alipomuhitaji alifika na kubadilisha magari na kumpeleka alipotaka yeye akidhani ni bwana mifedha mheshimiwa fulani. Imekula kwake.

Watoto wa shule za sekondari wana urafiki na dreva au tingo wa daladala ili kupanda bure bus daily. Urafiki na muuza chips hoteli jirani na shule au hapo shuleni. Yanapotokea matatizo ya mimba, mkwe utakayeambiwa mzazi utakimbilia kuitoa mimba. Madreva wanaopewa kuwapeleka watoto shuleni daily ni wa kuwaangalia pia. mambo ni mengi katika jamii.

Piga sachi ya ghafla shule ya secondary darasani au ya msingi au kwa wanao nyumbani utawakuta wana simu za bei mifukoni ambazo mzazi hajamnunulia.
Ni matatizo ktk jamii. Turudishe elimu ya kujitegemea pia tufundishe watoto stadi za maisha kuanzia shule za`msingi na mkazo nyumbani ktk malezi ili wajitambue, wajithamini, wajitume, waone mbali, wawe na mipango ya maisha na mitazamo chanya ya kujiletea maendeleo yao na ya familia yao; uvumilivu katika hali ngumu; kutunza afya zao na kuzingatia maadili ya maisha. Tuwabadilishe tunaowalea.

On Thursday, 1 May 2014, 8:50, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Hildergada na Lessian mmemaliza kila kitu.
Nothing less demanded.
Kudoos.
"...by citizenship am a Tanzanian, nationality African..."
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment